Uingereza imesababisha urusi kuchapika Ukraine

Uingereza imesababisha urusi kuchapika Ukraine

Kumbe Urusi anachapika huko so why kutafuta huruma,so kwa nini mlilia lia kimuomba Urusi atoe majeshi yake Keivu??
 
Moskva imeshazama kwa msaada wa Anti-ship missiles. Kwa ambao hawaijui Moskva, ni meli ya kivita ya kisasa zaidi ya urusi. Urusi wanasema moto ndio chanzo cha kuzama meli hiyo wakati Ukraine wanasema waliishambulia kwa kombora la Neptune ndo ikapelekea kuzama.. Mwisho wa siku hii ilikua meli inayoogopeka sana na magharibi...ila inazidi kuonyesha Russia hua inafanya tu vitisho juu ya silaha zake
Huu mstari wako mwisho ungeandika kwa herufi kubwa. Jeshi lilimuaminisha vibaya Putin kuwa lina uwezo mkubwa, naye akaamini hivyo, kumbe uhalisia wa mambo haupo hivyo.

Ukraine imekiri kuwa ilituma mashine mbili na ikafanikiwa kuizamisha moskva. Hii ndo meli ambayo ilkuwa inashambulia na inaweza ikatumika kama kambi kwa ajili ya ulinzi. Ni kama ulivyosema kuwa ndio meli ambayo western walikuwa wakiihofu.
 
Moskva imeshazama kwa msaada wa Anti-ship missiles. Kwa ambao hawaijui Moskva, ni meli ya kivita ya kisasa zaidi ya urusi. Urusi wanasema moto ndio chanzo cha kuzama meli hiyo wakati Ukraine wanasema waliishambulia kwa kombora la Neptune ndo ikapelekea kuzama.. Mwisho wa siku hii ilikua meli inayoogopeka sana na magharibi...ila inazidi kuonyesha Russia hua inafanya tu vitisho juu ya silaha zake
Wamekufa watu 400+ walio okolewa ni 54 pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita ya chini ni ngumu sana especially pale ambapo askari wengi hawana morale ya kupigana kwa kuwa hawaelewi hata sababu ya wao kuingizwa vitani

Russia yeye abaki tu kwenye long range missiles. Huko ground anachezea kipondo
Na hizo long range zake watu wanamsoma tu, wanaendelea kumsoma.
 
ATA hueleweki kwahyo Russia akijipanga Ukrein wanalala, na iyo meli eti ilikuwa imepaki rada zilikuwa off,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na hivyo vimeli vingine wavipaki sasa
Kuna ule uzi unazungumzia kwa undani kabisa namna meli ilivyozamishwa. Eti meli ilizimwa wakati inajua iko km kadhaa na eneo la mapambano, wakati huohuo akijua ndani ya wik hii UK alitangaza kumpa silaha za kuzamisha meli Ukraine.
 
Watu toka vita ya pili ya dunia tulikua na imani sana na Russia ila kwa kipigo alicho kipata ni aibu sana...[emoji24][emoji24][emoji24]
Wanatuona kuwa kama tuna chuki na Russia, wakitazama ID zetu wataona tupo humu kitambo, tulikuwa tukiikubali mno Russia toka miaka na miaka, tukiwa na mijadala na akina Elungata, hakuna mnazi au pro russia humu ndani kama Elungata. Tunaposema kuwa Russia ktk hili amechemka wanatuona kama hatujui kitu ila sisi tunajua tukifanyacho.
 
Aibu kubwa sana nafikiri hata north korea kapata funzo kubwa sana ni bora awekeze kuboresha maisha ya wananchi wake naona vibom anavotutisha navyo ni vya kutungulia maembe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom