Mchepuko wa ndugu yangu unataka kuumaliza undugu

Choosen85

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
563
1,364
Wakuu salama uko mliko? Nina miaka 2 npo huku kikaz bahati nzuri nilimkuta ndugu yng huku mtoto wa aunt yng ( rip ) nlifurahi kumkuta uku kama mwenyeji wng, ana mke na watoto wawili na ana kamchepuko sa huo mchepuko wake ulitokea kunizoea na kunishriksha mambo yake bnafs na mahusiano yake na ndugu yng nashauri inapobdi, sa kumbe mi sjui hli wala lile mdada yule akikaa na ndugu yng anamwambia mambo meng sn akdai nimesema mimi juz ndugu yng alinpgia cm aknilaumu mimi nimemwambia mtu eti yeye ndugu yng nae atakufa na ukimwi kama mama yake yan kama marehem aunt yng aisee nilijskia kulia kwa uchungu sn ukzngatia mi sina ujasiri wa kusema maneno mazto kama ayo tena kwa mtu baki tu uku mi sina rafk wa ukaribu kias cha kukaa nae kumwambia neno zto km ilo nilimuomb ndugu yng amuite uyo alomwambia tuweke kikao athibtishe kauli iyo ndugu yng amekataa eti ananiambia nikumbuke nlimwambia nani wkt hata sjawai sema iyo kaul ila ni ule mchepuko wake maana c mara ya kwanza kuambiwa maneno chanzo akiwa yeye. Mnashauri nn?
 
Ndio maana siku watu wamepunguza kutembeleana

Kuna kuchunguana sana siku hizi.

Watu wanapewa social status kwa msingi ya elimu, gari, nyumba na Hela zao.

Mara unoko unoko huku na kule.

Mi siku hizi tunakutana na ndugu kwenye matukio au ugonjwa.

Maswala ya kukaa vikao na kupishana stori za kilikwenda kilirudi ndio umbea umbea unaanzia hapo.

Kuna baadhi wako tayari kukupa pesa ila hawawezi kukupa assist ujitegemee maana wanaogopa kuzidiwa mafanikio. Nimeshalishuhudia hili.
 
Wakuu salama uko mliko? Nina miaka 2 npo huku kikaz bahati nzuri nilimkuta ndugu yng huku mtoto wa aunt yng ( rip ) nlifurahi kumkuta uku kama mwenyeji wng, ana mke na watoto wawili na ana kamchepuko sa huo mchepuko wake ulitokea kunizoea na kunishriksha mambo yake bnafs na mahusiano yake na ndugu yng nashauri inapobdi, sa kumbe mi sjui hli wala lile mdada yule akikaa na ndugu yng anamwambia mambo meng sn akdai nimesema mimi juz ndugu yng alinpgia cm aknilaumu mimi nimemwambia mtu eti yeye ndugu yng nae atakufa na ukimwi kama mama yake yan kama marehem aunt yng aisee nilijskia kulia kwa uchungu sn ukzngatia mi sina ujasiri wa kusema maneno mazto kama ayo tena kwa mtu baki tu uku mi sina rafk wa ukaribu kias cha kukaa nae kumwambia neno zto km ilo nilimuomb ndugu yng amuite uyo alomwambia tuweke kikao athibtishe kauli iyo ndugu yng amekataa eti ananiambia nikumbuke nlimwambia nani wkt hata sjawai sema iyo kaul ila ni ule mchepuko wake maana c mara ya kwanza kuambiwa maneno chanzo akiwa yeye. Mnashauri nn?
Umepataje kazi hujui hata kuandika? Barua yako ya kuomba kazi imepitishwaje? Ndomaana hatuendelei
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom