Uhusiano wa namba hizi na majini,Shetani ....

Uhusiano wa namba hizi na majini,Shetani ....

Ivi jamani, mmeshasema ni namba ya shetani! Unaitaji nini kutoka kwa shetani???

Kuna watu wanamhitaji shetani mfano:
1. Wachawi kila siku kabla ya kuwanga lazima wakutane na MKUU WA GIZA atoe maelekezo ya wapi na ruhusa ya nani wa kumdhuru na aina ya madhara, pia watoe report ya jana yake, wanaokosea adhabu hapohapo ikiwemo kuuwawa

2. Waganga wa kienyeji (ambao sio matapeli) kabla ya kutibu lazima awasiliane na MKUU WA GIZA aelekezwe kuhusu dawa na masharti kwa mteja, na kwamba Shetani atapata nini kwa kusaidiwa huyo mteja, lazima shetani apate uhai wa ndugu (damu), au ampandikizie mabalaa mengine kwa familia au kizazi chake

3. Watafuta utajiri, hawa lazima wajisalimishe kwa wakuu wa giza na watoe UZIMA wao, simaanishi uhai wa mwili, la, ni uzima wa kiroho, kwamba wapewe utajiri lakini hawawezi kupata TOBA tena, yaani hata wakitubu vipi, wakawa viongozi wa dini wanauhakika wa kwenda jehanum. Baadhi yao huitwa freemasons, satanist nk

Katika kitabu cha Hesabu... LAKINI MTU AKIFANYA DHAMBI YOYOTE KUSUDI, HUYO AMTUKANA BWANA...
 
Awali ya yote, hakuna uthibitisho kwamba mungu au shetani wapo kiuhalisi na si habari za kufikirika tu.

All those hostilities and you cannot provide a single evidence of no God.

I refuted all of your non theist hogwash. You lack the intellectual honesty to admit correction.
 
It only takes a fool to say there is no God.

And a bigger fool to say there is god without an iota of credible evidence.

I asked you to show that god exists.

You haven't.

What you did was resorting to name calling.

The refuge of argumentless fools.
 
Kama inavyofikiriwa kuwa Binadamu wa mwanzo alikuwa Nyani mwisho akabadilika akaja kuwa Binadamu kwanini wasiendele kubadilika ?
Kwa nini tusifikiri kuwa wapo?

Hiv mpaka leo hii kitu bado inafundishwa?
 
Majini na mashetani ni viumbe wa kufikirika tu.

'Na majini tuliwaumba kabla (ya Binaadamu) kwa moto wa upepo umoto (gas fire)

Qur'an: 15:27

'Huyo Ndiye Allah, Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu, Hapana (mungu mwingine ) ila Yeye, Muumba wa kila kitu. Basi Muabuduni Yeye tu. Naye ni Mtegemewa wa kila Kitu.

Macho hayamfikii (hajawahi kuonekana wala kuchorwa picha) bali Yeye anayafikilia macho (ya kila alicho kiumba). Naye (Mwenyezi Mungu) ni Mjuzi, Mwenye Habari.

Qur'an:6: 102-103.
 
And a bigger fool to say there is god without an iota of credible evidence.

I asked you to show that god exists.

You haven't.

What you did was resorting to name calling.

The refuge of argumentless fools.
Kwani wewe una ushahidi kuwa mungu hayupo?
 
Kwani wewe una ushahidi kuwa mungu hayupo?

Kisichopo hakiwezi kuwa na ushahidi kwamba hakipo.

Kwa sababu ili kitu kuwa na ushahidi, inabidi kiwepo.

Hii ni kanuni ya msingi kabisa ya ushahidi.

Huwezi kuwa na alama za vidole za mtu ambaye hayupo kama ushahidi kwamba mtu huyo hayupo.
 
Kisichopo hakiwezi kuwa na ushahidi kwamba hakipo.

Kwa sababu ili kitu kuwa na ushahidi, inabidi kiwepo.

Hii ni kanuni ya msingi kabisa ya ushahidi.

Huwezi kuwa na alama za vidole za mtu ambaye hayupo kama ushahidi kwamba mtu huyo hayupo.
Kwahiyo vitu usivyoviona huwa hauamini kama vipo?
 
Umejuaje kama anajipinga mwenyewe?

For starters, tunaambiwa ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, huo upande mmoja.

Upande wa pili tunaona dunia iliyojaa mabaya.

Mungu gani mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote anaweza kujipinga nature yake ya upendo kwa kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekanika wakati ana uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao ubaya hauwezekaniki?

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekanika wakati anao uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekaniki ni kujipinga nature yake yeye mwenyewe.
 
Back
Top Bottom