Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,252
- 3,074
Hapa kwanza pangepatikana mtaalamu , akatupa difference between Jini ni yupi na Shetani ni nini ?
Au Jini ndiyo Shetani ?
Note : Lucifer , Devil , Satan and Ghost are they the same ?
Tuanzie hapo
Ebooo ww ukiambiwa mtu na jitu hujui kutofautisha Jini ni kiumbe km ww ila akiwa korofi,mshenzi na akiwa anaenda kinyume na sharia zao ndo huwa anaitwa Shetani yaani ameasi