Charlie chaplin
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 336
- 314
HaTaHiZi pi a 0713,0656,0718 NazIngInESheTaNi aNapEnDqqqq
Hivi wewe na pdidy mnaundugu au umechizika na mvua za leo
HaTaHiZi pi a 0713,0656,0718 NazIngInESheTaNi aNapEnDqqqq
Sawa mkuu .....!!
Inadaiwa kuwa teknologia yote tunayotumia inaanzia huko kuzimu mkuuHicho kitu nilishawahi kukisikia mkuu, Sijawahi kujaribu ila najiuliza ni shetani gani au majini gani wanakuwa na simu, au hilo kundi la watu linakuwa na mission gani!?
Mkuu sijajua badona ni nani aliyegundua hicho kitu!?
Kwa wewe kufuata masharti yaohalafu hao watu, wanagawaje pesa!?
Hapana mkuu ...Mkuu hivi ile stori ya Nyisake uliiamini!?
Ndio maana tunafanya utafitivipi mkuu haya mambo hayawezi kufanana na ile stori!?
Sawa mkuu ...!!Ngojea nifanye utafiti wa hichi kitu hawa watu ni kina nani!?
Inadaiwa na nani mkuu!? inamaana Mungu hawezi kuwapa watu wake Teknolojia!?Inadaiwa kuwa teknologia yote tunayotumia inaanzia huko kuzimu mkuu
OkayMkuu sijajua bado
Sasa masharti yao utayajuaje, kama saa nyingine ndio kama yale majibu yao, "usitusumbue"Kwa wewe kufuata masharti yao
Ile stori nili reason, basi niki reason kuna wapendwa wananiambia wewe amini tu... unajua Mungu ni mkuu, nikiuliza maswali sana wanakwazika, inabidi niwe mpole tu... Ya kwamba alimng'ang'ania na malaika mpaka akapata na alama, alikuwa hataki kurudi...Hapana mkuu ...
Okay sawa, tuendeleze utafiti mkuu...Ndio maana tunafanya utafiti
Sawa mkuu ...!!
mimi nimeshawahi kupiga wamepokea lakini nilikuwa nasikia maji tu kama ya bahari ila wenyewe hawakuongea
Unaukumbuka unabii wa Danieli wa "maarifa yataongezeka" huu unabii ulikuwa unazungumzia kitu chema kweli mkuu?Inadaiwa na nani mkuu!? inamaana Mungu hawezi kuwapa watu wake Teknolojia!?
Kama ni shetani anauwezo wa kujua nia yako,mara nyingi watu wanaowapigia ni wale ambao wanawakejeli au kuwahadaa na ndio maana kuna wakati hawapokei au wakipokea wanakuambia tu hivyo "usitusumbue"!Okay
Sasa masharti yao utayajuaje, kama saa nyingine ndio kama yale majibu yao, "usitusumbue"
Ile story ina mambo mengi ya kutilia mashaka ...Ile stori nili reason, basi niki reason kuna wapendwa wananiambia wewe amini tu... unajua Mungu ni mkuu, nikiuliza maswali sana wanakwazika, inabidi niwe mpole tu... Ya kwamba alimng'ang'ania na malaika mpaka akapata na alama, alikuwa hataki kurudi...
Sawa mkuu ....!!Okay sawa, tuendeleze utafiti mkuu...
hizo namba ni za emergency.. 111 na 999 lakin hata ukiziongeza namba znazofanana simu huita na hupokewa na polisi..Acheni kupiga hizo namba mnawapa usumbufu polisi wetu..Hakuna cha Freemason wala nini??
Yeah naukumbuka mkuu, ila unabii hauku elekeza kwamba hayo maarifa yatatoka kwa watu fulani...Unaukumbuka unabii wa Danieli wa "maarifa yataongezeka" huu unabii ulikuwa unazungumzia kitu chema kweli mkuu?
Source ya hizo namba sijui ni ipi mkuu!?Kama ni shetani anauwezo wa kujua nia yako,mara nyingi watu wanaowapigia ni wale ambao wanawakejeli au kuwahadaa na ndio maana kuna wakati hawapokei au wakipokea wanakuambia tu hivyo "usitusumbue"!
Nia ya stori kama hizo sijui huwa ni nini mkuu!?Ile story ina mambo mengi ya kutilia mashaka ...
Inawezekana huyo dada alikuwa anaongea hivyo bila ya kujua historia ya Jehanum ni ipi!?Kuna mahali anasema kuwa "Mungu angejua kuwa Jehanam binadamu wangeingia angeipunguza ukali",kauli hii inamfanya Mungu kuwa sio mjuzi wa yote na alifanya kitu asichokijua wakati moja ya sifa za Mungu ni kujua mwisho kuanzia mwanzo
Ana stori kama za kina Zabron Mwita aliyeenda Gamboshi... baadae akaja kutolewa kivuli Kigoma... lakini Zabron yeye anaelezea kwa ufasaha zaidi...Simuamini huyo dada....
Okay mkuu...Sawa mkuu ....!!
Kama mkuu watu wanasema ni za polisi, mtu hapo juu amesema alipiga akasikia kama maji ya bahari, inawezekana polisi walienda nayo baharini wakawa wanavua nayo samaki, walikuwa busy wakivua samaki inawezekana ndio maana wakaiacha hewani...Hahahahahaaaa
Walikua wanavua samaki au?
Inadaiwa na nani mkuu!? inamaana Mungu hawezi kuwapa watu wake Teknolojia!?
Okay
Sasa masharti yao utayajuaje, kama saa nyingine ndio kama yale majibu yao, "usitusumbue"
Ile stori nili reason, basi niki reason kuna wapendwa wananiambia wewe amini tu... unajua Mungu ni mkuu, nikiuliza maswali sana wanakwazika, inabidi niwe mpole tu... Ya kwamba alimng'ang'ania na malaika mpaka akapata na alama, alikuwa hataki kurudi...
Okay sawa, tuendeleze utafiti mkuu...