ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,869
- 3,260
nitawatafuta hao mashetani niwaulize mamlaka gani zimewapa hzi namba
hahaahah mamlaka wameyashika wao na ndo wenye mitandao ya mawasiliano
nitawatafuta hao mashetani niwaulize mamlaka gani zimewapa hzi namba
hahaahah mamlaka wameyashika wao na ndo wenye mitandao ya mawasiliano
kama hujawahi kuhojiana nao umejuaje kuwa ni "watu" wanaojua wanachokifanya?Mkuu nimewahi kupiga lakini sijafanikiwa kuhojiana nao kwani wanaonekana ni "watu" wanajua wanachokifanya!
tetettette hapa mkuu umenifanya nicheke sanaaaaMi siku yenyewe nliyopiga nlikuwa natetemeka nashukuru hawakupokea maana nlikuwa naogopa kujiingiza kwenye maagano ambayo ntashindwa kutoka
naunga mkono hojaHapa kwanza pangepatikana mtaalamu , akatupa difference between Jini ni yupi na Shetani ni nini ?
Au Jini ndiyo Shetani ?
Note : Lucifer , Devil , Satan and Ghost are they the same ?
Tuanzie hapo
hapana mkuu kuna uhusiano kati ya aliyoyataja na mada yenyewe usimfunge mwache pengine safari yetu ya kujua itaanzia katika maelezo hayo.Mkuu hapa tunataka kujua kuhusu hizo namba hayo mengine hapa sio mahala pake ...!!
una maana gani kuwa jini ni kiumbe kama mtu uliyemtaja?Ebooo ww ukiambiwa mtu na jitu hujui kutofautisha Jini ni kiumbe km ww ila akiwa korofi,mshenzi na akiwa anaenda kinyume na sharia zao ndo huwa anaitwa Shetani yaani ameasi
una maana gani kuwa jini ni kiumbe kama mtu uliyemtaja?
tuene tofauti ya mtu na jini
mtu- anazaliwa
jini?
mtu anonekana hana nguvu za ziada ya ubinadamu wake
jini- anapotea anajibadili umbo n.k (tumekuwa tukiambiwa hivyo?
mtu - kiumbe cha kuoza/udongo/mwili
jini- kiumbe cha moto/roho tumekuwa tukiambiwa hivyo)
mtu- hufa
jini?
mtu- hula/hunya/ana damu nk
jini?
nijuze kiongozi usawa wa binadamu na jini upo wapi?
unataka kusema jini na shetani ni sawa?
ulinielewa vibaya tu kiongozi sikutaka kuzua mada yoyote nilitaka kuelewa ni hilo tu. maana kauli yako ya wali ndio iliyonitatiza kusema jini ni kiumbe kama wewe. hii ilikuwa tungo tata kidogo sasa umeeleza vyema kumbe usawa ulikuwa tu kuwa hawa wote ni viumbe walioumbwa na waishio ila kila mmoja ni tofauti na mwenzake ktk mambo fulani na wanafanana ktk baadhi ya mambo.Ww uelewa wako umeenda mbali sana nimesema Jini ni kiumbe km ww. That means hata wanyama ni kiumbe km walivo wanaadabu Ndege ni kiumbe yamaanisha Hiyo ni sifa ya kwamba chochote kilichopo ktk uso wa dunia na kina roho bas nikiumbe cha Mungu sijui umeelewa hapo.
Jini na mwanaadam ni viumbe viwili tofauti havifanani ila wote ni viumbe wa Mwenyezi Mungu.
Labda nikusaidie tuu maswali yako
Jini anazaliwa na anakufa bado anabeba sifa yakiumbe.
Anakula na anakunywa na anakunya.
Ameumbwa na cheche za moto na haimanishi yakwamba yy moto ameumbwa tu kwa cheche za moto.
Jini anajigeuza hujakosea ndivo walivojaaliwa.
Mwisho usawa wa binaadamu na majini wote ni viumbe wa Mungu na watahukumiwa kwa kile walichokitenda siku ya mwisho km unaamini kuna Siku ya mwisho.
Shetani ni jina Najua unataka kuzua mada ktk hii sehemu na kwataarifa yako hata binaadamu anaweza kuitwa shetani. Isipokuwa tuu lahaja hii inatumika sana kwa hao majini. Note: haitwi Jini jina shetani mpaka awe ameasi,anaenda kinyume na matakwa ya Mungu.
Maana ya shetani ni kiumbe kilicholaaniwa na mwenyezi Mungu. Ambae ameasi, anaenda kinyume na Mungu.
Usipoelewa hapa tena mtafute mzizimkavu akufahamishe.
naunga mkono hoja
na watueleze kinaga ubaga kila mmoja na sifa zake na namna anavyofanya kazi mission zao duniani ni nini ili tujue je hao nao wanatumia technolojia hii yetu bila athari yoyote?
maana nasikia wengine wapo facebook na twitter !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ivi jamani, mmeshasema ni namba ya shetani! Unaitaji nini kutoka kwa shetani???