CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Mmmhhhh.... Jamani sumu haijaribiwi kwa kuionja! Imagine unapiga halafu wanapokea utajieleza nini??? Kwanza wanatumia lugha gani ya mawasiliano???
Je wakikwambia tueleze shida yako na wewe ukawaeleza na wakakusaidia kisha mwisho wa siku na wewe wakakuomba uwasaidie walau damu kidogo tu utafanyaje???
Je utamlaumu mtu???
Je wakikwambia tueleze shida yako na wewe ukawaeleza na wakakusaidia kisha mwisho wa siku na wewe wakakuomba uwasaidie walau damu kidogo tu utafanyaje???
Je utamlaumu mtu???