Uhusiano wa namba hizi na majini,Shetani ....

Uhusiano wa namba hizi na majini,Shetani ....

Kwahiyo ulitaka Mungu aumbe viumbe wawe kama maroboti, I mean wawe programmed kwa chochote watachofanya?
 
For starters, tunaambiwa ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, huo upande mmoja.

Upande wa pili tunaona dunia iliyojaa mabaya.

Mungu gani mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote anaweza kujipinga nature yake ya upendo kwa kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekanika wakati ana uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao ubaya hauwezekaniki?

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekanika wakati anao uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekaniki ni kujipinga nature yake yeye mwenyewe.
Kwahiyo ulitaka Mungu atuumbe kama maroboti, I mean tuwe programmed kwa kila kitu ili mabaya yasitokee?
 
Kwahiyo ulitaka Mungu aumbe viumbe wawe kama maroboti, I mean wawe programmed kwa chochote watachofanya?

Nani kasema hivyo?

Na kwa nini unafikiri kwa mujibu wa maelezo ya dini za uislamu/ukristo kwa mfano, ambazo zinaaminiwa sana kwetu huko, na hata kwa kuangalia dunia inavyoenda tu, kama unaamini dunia imeumbwa na mungu, mungu hajaumba viumbe vyake wawe kama ma robot, wako programmed kwa chochote watakachofanya?
 
Samahani sijaelewa...rudia maelezo, samahani lakini
 
hiyo ni namba ya polisi... ukipiga 111 ni sawa na kupiga 11111 jaribu kuandika namba unayoifaham na uongeze namba za ziada mwishoni mwa namba hiyo alafu upige utagundua kwamba namba inaita hata uongeze namba nyingi zaid mwishoni.. kwa mfano 0768464608 ni sawa na kupiga 07684646089911.. kwa hiyo kuongeza namba mbele ya namba ya polisi haibadili namba...
 
Samahani sijaelewa...rudia maelezo, samahani lakini

Wapi nimesema kwamba nataka mungu atuumbe kama maroboti?

Na unaweza vipi kunibishia nikikwambia kwamba, kama unaamini mungu yupo, ama kama unaamini mungu wa Biblia/Quran au mungu yeyote, na mungu huyu ndiye aliyeumba dunia na viumbe vyake, basi mungu huyu kaumba viumbe vyake viwe vinaenda kama ma robot yaliyokuwa programmed?

For starters, waamini wanasema mungu anajua yote. Alijua mambo yote yatakavyokuwa kabla hayajawa.

Maana yake, alijua mtu mwizi atakuwa mwizi kabla huyo mtu mwizi hajazaliwa.

Na kwa sababu mungu ujuzi wake hauna makosa, akishajua ni kama na kwamba kapanga.Ujuzi wake si kama utabiri wa hali ya hewa kwamba anaweza kujua itanyesha mvua halafu isinyeshe.

Sasa mungu akijua kwamba fulani atazaliwa na kuwa mwizi, huyo fulani anaweza kubadili hilo alilolijua mungu?

Zaidi ya hapo, wewe unaweza kurudi nyuma katika muda?

Kama huwezi, huoni kuwa tayari ushakuwa programmed kwamba uweze kwenda mbele tu katika muda na usiweze kurudi nyuma?
 
Wapi nimesema kwamba nataka mungu atuumbe kama maroboti?

Na unaweza vipi kunibishia nikikwambia kwamba, kama unaamini mungu yupo, ama kama unaamini mungu wa Biblia/Quran au mungu yeyote, na mungu huyu ndiye aliyeumba dunia na viumbe vyake, basi mungu huyu kaumba viumbe vyake viwe vinaenda kama ma robot yaliyokuwa programmed?

For starters, waamini wanasema mungu anajua yote. Alijua mambo yote yatakavyokuwa kabla hayajawa.

Maana yake, alijua mtu mwizi atakuwa mwizi kabla huyo mtu mwizi hajazaliwa.

Na kwa sababu mungu ujuzi wake hauna makosa, akishajua ni kawa na kwamba kapanga.Ujuzi wake si kama utabiri wa hali ya hewa kwamba anaweza kujua itanyesha mvua halafu isinyeshe.

Sasa mungu akijua kwamba fulani atazaliwa na kuwa mwizi, huyo fulani anaweza kubadili hilo alilolijua mungu?

Zaidi ya hapo, wewe unaweza kurudi nyuma katika muda?

Kama huwezi, huoni kuwa tayari ushakuwa programmed kwamba uweze kwenda mbele tu katika muda na usiweze kurudi nyuma?
Okey....hapo nimekupata, kwahiyo wewe unatoa maoni gani juu ya chanzo cha Dunia au hata chanzo cha binadamu, nyani, n.k? ( Yaani hivyo vimetoka wapi)
 
Okey....hapo nimekupata, kwahiyo wewe unatoa maoni gani juu ya chanzo cha Dunia au hata chanzo cha binadamu, nyani, n.k? ( Yaani hivyo vimetoka wapi)

Sijui chanzo.

Lakini najua kwamba havijaumbwa na huyo mungu anayesemwa mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Kwa sababu habari nzima ya mungu mjuzi wa yote, muweza yote na mwenye upendo wote kuumba ulimwengu huu inajipinga yenyewe kama nilivyosema hapo juu.
 
nyingine ni hii hapa 0758278962 iliwai kunipigia saa nane usku nikakuta misscall asubui kuipigia ikawa haipokelewi nilivyoichunguza kwenye mpesa nilitaka kuzimia
 
Sijui chanzo.

Lakini najua kwamba havijaumbwa na huyo mungu anayesemwa mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Kwa sababu habari nzima ya mungu mjuzi wa yote, muweza yote na mwenye upendo wote kuumba ulimwengu huu inajipinga yenyewe kama nilivyosema hapo juu.
Kama hujui chanzo chake, nakufahamisha kuwa ni Mungu...kuhusu hayo mengine jaribu kuyatafutia majibu ww mwenyewe.
 
Wakuu,

Sina kawaida ya kudharau jambo hata kama linaonekana ni la kijinga na nimeshapata faida kubwa kutokana na mtazamo wangu huu,nimeshafanikiwa kwenye mambo mengi ambayo watu waliyaona ni ya kijinga na wengine walijifunza kupitia hili

Leo naomba niwashirikishe jambo hili ambalo ni mewauliza watu kadhaa na wameonekana kunishangaa mtu kama mimi ni kwanini hasa nimeamua kulifuatilia hili,lakini najua kupitia hili naweza kujifunza kitu ambac ho sikua nakijua au nikajikuta napoteza muda wangu,yote haya ni matokeo na nimejiandaa kwa yote

Kuna namba watu wamekuwa wakidai kuwa kama unataka kuzungumza na Shetani au majini basi unaweza kuzipiga,kuna jamaa yangu aliwahi kuzipiga nikiwa nae na simu iliita na ikapokelewa halafu aliulizwa shida yake na alisema lakini aliepokea simu alimuambia kuwa "huwezi wewe na usitusumbue"

Kuna jamaa yangu mwingine alipiga nae simu ilipokelewa na aliambiwa kuwa wapo busy hivyo hawahitaji usumbufu

Ukiangalia namba hizi hazina namba kiunganishi ili ujue hata location ya namba hizi,kitu hiki kimenifanya nijiulize sana kama hii inakubalila kwa mamlaka husika za mawasiliano

Sina ufahamu hasa wa mambo ya mawasiliano na nadhani hapa kuna watu wengi wanaweza kunipa maelezo ya kutosha na nikaridhika kuhusiana na dhana hii kuwa namba hizi ukipiga unazungumza na shetani au majini,sidhani kama jambo hili halina maelezo kwa wale ambao wanajua kuhusu mawasiliano na ndio maana nikaamua kuja kuuliza hapa ili jambo hili niachane nalo

Namba zenyewe ni 11111111111 na 999999999 nadhani zipo na zingine,hebu wakuu nisaidieni hapo ili niweze kujua

Nikwanini hakuna namba kiunganishi lakini simu inaita?
Je ni akina nani wanaopokea simu hizi?

Karibuni ....

Mkuu juve2012 hebu sogea pan de hizi tuendelee kujifunza mambo haya,karibuni na wengine pia .....!!
hizo ni namba za polisi 111 na 999
 
Last edited by a moderator:
Kama hujui chanzo chake, nakufahamisha kuwa ni Mungu...kuhusu hayo mengine jaribu kuyatafutia majibu ww mwenyewe.

Unanifahamisha?

Kwa uthibitisho gani ulio nao wewe?

Na utawezaje kunifahamisha kabla ya kujibu hiyo mikanganyo niliyokutajia?

Au unataka kulazimisha jibu ambalo silo?
 
Unanifahamisha?

Kwa uthibitisho gani ulio nao wewe?

Na utawezaje kunifahamisha kabla ya kujibu hiyo mikanganyo niliyokutajia?

Au unataka kulazimisha jibu ambalo silo?
Sijakulazimisha, ila nimekufahisha kwa kua ulisema hujui
 
Okey...nimekupata, ni kweli najua Mungu yupo na nilitaka kujua tu kuwa kama naww unajua kama hayupo bila kuoteaotea...

Hilo si jibu la swali nililouliza.

Sijauliza kama unajua au hujui kwamba mungu yupo.

Nimeuliza nitajuaje kwamba wewe unajua na huotei otei tu?

Hujajibu swali hili.
 
Hilo si jibu la swali nililouliza.

Sijauliza kama unajua au hujui kwamba mungu yupo.

Nimeuliza nitajuaje kwamba wewe unajua na huotei otei tu?

Hujajibu swali hili.
Jibu rahisi mbona, mimi siotei otei kwa sababu ya wewe kushindwa kueleza chanzo cha Dunia, na mambo mengine mengi....kwa sababu umeshindwa kuelezea vyanzo va hivyo vitu, ndo maana na jua na kuamini Mungu yupo
 
Hizo namba kwa kweli zinachanganya,mara zipatikane,mara busy,mara hazipatikani,! Kuna cku mi nilipiga likapokea lijitu lina sauti mkwaruzo,lilinitisha na kunieleza kuwa wao hawachezewi! niliogopa mpaka kesho sitajaribu tena hizo namba!
 
Jibu rahisi mbona, mimi siotei otei kwa sababu ya wewe kushindwa kueleza chanzo cha Dunia, na mambo mengine mengi....kwa sababu umeshindwa kuelezea vyanzo va hivyo vitu, ndo maana na jua na kuamini Mungu yupo

Hahahaha.

Unachosema hapa ni swa na mtu kusema "kwa kuwa umesema kwamba hujui square root ya mbili ni nini, jibu lake ni nane".

Ukweli kwamba mimi sijui square root ya mbili ni nini haumaanishi jibu lako lolote lile ni sahihi.

Inabidi utuonyeshe jibu lako limepatikanaje.

Isitoshe, naweza kuwa sijui square root ya mbili ni nini, lakini nikajua kwamba jibu lazima liwe dogo kuliko mbili, na hivyo ukinipa jibu la namba nane, nitajua si jibu sahihi, hata kama sijui jibu sahihi ni lipi.

Sasa niambie, unajuaje kwamba mungu yupo?

Unaweza kuthibitisha?
 
Back
Top Bottom