Uhusiano wa namba hizi na majini,Shetani ....

Unamfananisha mtengeneza gari, ambaye hata chuma anachotumia kutengeneza b ari hakitengenezi na mungu aliyeumba vyote?

Kanuni ya kufananisha vitu inakutaka kufananisha vinavyofanana.

Kwa kumfananisha mtengeneza gari, ambaye hata chuma anachotumia kutengeneza gari hajakiumba from scratch na mungu ambaye mnadai kaumba kila kitu from scratch na ana ujuzi wote na uwezo wote unaonyesha kutoelewa kanuni za kufananisha vitu na hivyo kuchanganya mambo.

Hapo ndipo unapolosea.

Unaangalia ujuzi wa huyo unayemdai kuwa mungu, mjuzi wa yote na muweza yote kama unavyoangalia ujuzi wa binadamu, wakati binadamu hawezi yote na hajui yote.

Una tatizo la kimsingi kabisa katika fikara zako nzima kuhusu kumuelewa huyu mungu wako.

Kwa upande mmoja umempaza awe mjuzi wa yote na muweza yote, kwa upande mwingine umemshusha awe sawa na nwanadamu tu.

Chagua moja.

This is a contradiction.

Hapana,hakuna kujikinza kokote hapo;

Nilichokifanya nilitumia mantiki ya swali lako kukupa mfano wa kimantiki kuhusu mtengeneza gari na mwendeshaji,nilidhani kuwa unaweza kuling'amua hili kumbe huwezi,pole sana

Point ya msingi hapo ni namna ambavyo kanuni na tabia zote zilizoko ulimwenguni hazihusiki na maamuzi binafsi ya kila mmoja wetu bali zinafanya kazi kama zilivyo

Nilikuambia kuhusu kanuni ya mvuto vile ambavyo inakupa unachokihitaji kwa kufikiri,sijui kama ulioona hii au hata hukusoma

Kanuni zimewekwa kusimamia viumbe kupata vile ambavyo vitataka kwa hiyari yavyo na sio kuvipangia cha kupata kama vile ambavyo muendesha gari hapangiwi mahali pa kupita na mtengeneza gari!
 
Sasa huyo jamaa yako alikuwa anataka nini kutoka kwa hao wenye namba? au wanatoa huduma gani mpaka uwatafute? sasa si uwapigie wewe mwenyewe?

Umesoma mada kweli wewe?
 
Hapana,hakuna kujikinza kokote hapo;

Nilichokifanya nilitumia mantiki ya swali lako kukupa mfano wa kimantiki kuhusu mtengeneza gari na mwendeshaji,nilidhani kuwa unaweza kuling'amua hili kumbe huwezi,pole sana

Point ya msingi hapo ni namna ambavyo kanuni na tabia zote zilizoko ulimwenguni hazihusiki na maamuzi binafsi ya kila mmoja wetu bali zinafanya kazi kama zilivyo

Nilikuambia kuhusu kanuni ya mvuto vile ambavyo inakupa unachokihitaji kwa kufikiri,sijui kama ulioona hii au hata hukusoma

Kanuni zimewekwa kusimamia viumbe kupata vile ambavyo vitataka kwa hiyari yavyo na sio kuvipangia cha kupata kama vile ambavyo muendesha gari hapangiwi mahali pa kupita na mtengeneza gari!

Umefananisha visivyolingana, the peoverbial comparing apples to oranges.

Huwezi kufananisha mtengeneza gari (ambaye hana ujuzi wote na uwezo wote, hata chuma cha kutengenezea gari hajakitengeneza) na mungu (mwenye uwezo wote na ujuzi wote, ambaye kauumba ulimwengu wote from scratxh).

Mfano wako ume fail kuanzia hapo tu.

Unapofananisha vitu, fananisha vinavyofanana.
 
asante mkuu kwa uzi huu ngoja niupitie page hadi nyingine huenda nikapata majibu nami niliyokuwa najiuliza siku nyingi.
Karibu tujifunze wote mkuu
Huyo jamaa yako aliyejibizana nao, walimjibu kwa lugha gani?
Kiswahili mkuu ....!
 
Umefananisha visivyolingana, the peoverbial comparing apples to oranges.

Huwezi kufananisha mtengeneza gari (ambaye hana ujuzi wote na uwezo wote, hata chuma cha kutengenezea gari hajakitengeneza) na mungu (mwenye uwezo wote na ujuzi wote, ambaye kauumba ulimwengu wote from scratxh).

Mfano wako ume fail kuanzia hapo tu.

Unapofananisha vitu, fananisha vinavyofanana.

Bado huelei tu na unaendelea kung'ang'ania hili hutaelewa kabisa

Nilichokuandikia inawezekana hujakisoma,kitendo cha wewe kurudia jambo lile lile wakati limeshajibiwa inaonesha tatizo kubwa ulilonalo

Nimekuambia kuwa,kilicho cha msingi sio wahusika bali ni logic ya walichokifanya,kitu ambacho ni msingi wa swali lako pia

Au hukujua aina ya swali ulilouliza Kiranga?

Msingi wa hoja yako ni kanuni ambazo wewe unadhani zinahusika moja kwa moja na maamuzi au uhuru wa zinaowasimamia,mimi nikaja nikakupa jibu ambalo liko kwenye msingi huo huo wa kanuni na anaesimamiwa na kanuni hizo na kukuonesha ni kwa namna gani kanuni hazihusiki na maamuzi ya anaezitumia

Huelewi hata hili dogo tu?
 
Logic inakataza kulinganisha visibyolingana.

Huwezi kufanya hesabu kwa kulinganisha the finite with the infinite.

Huwezi kufanya equation ya hivyo.

Huwezi kuandika a mathematical equation to the effect of

"Finite = infinite".

Utachekesha watu wanaojua kanuni za kufananisha.

Ndicho ukichofanya wewe hapa.

Umefananisha mtengeneza gari na mungu.

Umefanya "mtengeneza gari = mungu".

Ukisema habari kama hizi kwa wahafidhina wanaweza kukupiga mawe mpaka kukuua kwamba unakufuru.
 
Hivi unasoma ninachokuandikia?

Nilichokilinganisha hapa ni logic na sio wahusika,na tena nimetumia logic yako wewe mwenyewe,huelewi hili?

Mbona ni rahisi sana?

Sijavunja kanuni ya logic bali wewe ndio mwenye maruwe ruwe tu....

Cha msingi hapa ni kanuni na sio watoa kanuni,weka kichwani hiyo ....!
 
Utalinganishaje visivyolingana na kusema unalinganisha logic?

Mungu wako analingana na mtengeneza gari?
 
Naona unatumia kila jitihada kutokuelewa,kila la kheri ....!!
 
Kati yangu ninayekuambia habari rahisi kabisa ya kwamba hutakiwi kulinganisha visivyolingana, na wewe usiyetaka kukubali hilo, nani anatumia kila jitihada kutokuelewa?
 
Huwezi kuita kitu ni jibu wakati hakuna swali.

Of course.

Loke I said. Ukiwa huna uwezo wa kunielewa sitegemei uone swali hata pale nilipouliza na kuweka alama ya kuuliza.
 
Ndiyo maana nikasema mwenye kujua vitu vingi ni tofauti na mwenye uelewa mpana.

Kuelewa ni tofauti na kujua.
 
Kati yangu ninayekuambia habari rahisi kabisa ya kwamba hutakiwi kulinganisha visivyolingana, na wewe usiyetaka kukubali hilo, nani anatumia kila jitihada kutokuelewa?

I think based on logic of omnipotent, omnipresent na omniscient ni sawa kabisa kuwa Mungu anapanga na anajua kila kinachotokea kwenye maisha ya Binadamu. Kama yeye ndiye source then ndiye anawajibika kwa hata kila nukta ya existence ya creation yake....
 
Back
Top Bottom