UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,233
- 9,651
Watu wanaokwenda upande ulipo wewe ni wale ambao kuna tatizo huko watokako ila si kuvutiwa na hoja za upande huo(yawezekana nawe umekumbwa na hilo). Sasa kuhusu kudai kwamba kuna wanaokuelewa basi hao ni wale waliyoupande mmoja nawe,lakini hujawahi kueleza kitu hadi useme kuna watu wengi wanakuelewa,maana hauna unachokieleza hadi kuwe kuna wanaokuelewa na wasiokuelewa(kama muelewa utaelewa namaanisha nini).
Na kuhusu maarifa..ni mfano wa mtu ambaye anasema anaenda shule kujifunza ila anapoingia dalasani huziba masikio yake kiasi kwamba hata hapati nafasi ya kusikia kinachoongelewa. Ni wazi mtu huyo ajakusudia kujifunza na ataendelea kubaki na alichonacho.
Last edited by a moderator: