UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,193
- 9,606
"Fanya hivyo" vipi?
Kuquote
"Fanya hivyo" vipi?
Kwa namna gani hii logic inamfanya Mungu awe mpangaji?
Inaonekana hujasoma nilichoandika na kama umesoma hujaelewa
Hoja yangu sio wahusika wa utengenezaji wa uumbaji,bali hoja yangu ni kwenye kanuni amazi tayari zimewekwa kama zinahusika kumpangia mambo mtumiaji au hazihusiki
Kama hata hili umeshindwa kilielewa au umeshindwa kuchora line between wawekaji kanuni na kanuni zenyewe utapata dhida sana kuelewa mambo ya Mungu
Kwa kukusaidia soma swali lake la kwanza lililozaa jibu langu,ukichemka na hapo sitakuwa na namna ya kukusaidia dada yangu!
Wakuu,
Sina kawaida ya kudharau jambo hata kama linaonekana ni la kijinga na nimeshapata faida kubwa kutokana na mtazamo wangu huu,nimeshafanikiwa kwenye mambo mengi ambayo watu waliyaona ni ya kijinga na wengine walijifunza kupitia hili
Leo naomba niwashirikishe jambo hili ambalo ni mewauliza watu kadhaa na wameonekana kunishangaa mtu kama mimi ni kwanini hasa nimeamua kulifuatilia hili,lakini najua kupitia hili naweza kujifunza kitu ambac ho sikua nakijua au nikajikuta napoteza muda wangu,yote haya ni matokeo na nimejiandaa kwa yote
Kuna namba watu wamekuwa wakidai kuwa kama unataka kuzungumza na Shetani au majini basi unaweza kuzipiga,kuna jamaa yangu aliwahi kuzipiga nikiwa nae na simu iliita na ikapokelewa halafu aliulizwa shida yake na alisema lakini aliepokea simu alimuambia kuwa "huwezi wewe na usitusumbue"
Kuna jamaa yangu mwingine alipiga nae simu ilipokelewa na aliambiwa kuwa wapo busy hivyo hawahitaji usumbufu
Ukiangalia namba hizi hazina namba kiunganishi ili ujue hata location ya namba hizi,kitu hiki kimenifanya nijiulize sana kama hii inakubalila kwa mamlaka husika za mawasiliano
Sina ufahamu hasa wa mambo ya mawasiliano na nadhani hapa kuna watu wengi wanaweza kunipa maelezo ya kutosha na nikaridhika kuhusiana na dhana hii kuwa namba hizi ukipiga unazungumza na shetani au majini,sidhani kama jambo hili halina maelezo kwa wale ambao wanajua kuhusu mawasiliano na ndio maana nikaamua kuja kuuliza hapa ili jambo hili niachane nalo
Namba zenyewe ni 11111111111 na 999999999 nadhani zipo na zingine,hebu wakuu nisaidieni hapo ili niweze kujua
Nikwanini hakuna namba kiunganishi lakini simu inaita?
Je ni akina nani wanaopokea simu hizi?
Karibuni ....
Mkuu juve2012 hebu sogea pan de hizi tuendelee kujifunza mambo haya,karibuni na wengine pia .....!!
Ana uwezo wote, anajua yote na yupo kila mahali. Sijui kama unaelewa ipasavyo tafsiri na depth ya haya maneno
Kanuni na wawekaji kanuni ni separate entinty? Kwahiyo hizo kanuni nani anazi govern?
111 ni free crime stopper ya vodacom. Usitishike na uwingi wa hizo namba maana mtandao unaishia kutambua kwenye idadi ya tarakimu za kimtandao. Mfano chukua simu nyingine andika namba yako kwa usahihi kisha ongeza namba kwa uwingi unaoutaka mbele yake na kupiga, utaona ikiita kwako. Mfano namba yako ni 0702878282 waweza andika 0702878282826782865432 na bado ikaita kwako.
Kwani ww unataka kuthibitisha kwa njia ipi?
Nakushauri mkuu rudia kusoma nilichoandika halafu u-comment tena!
Nadhani pia hujaelewa nilichokiandiaka. Kwa ufupi ni kwamba 111111111 ukipiga (to be specific kwa mtandao wa vodacom) itakuunganisha na free crime stopper ambayo wameipa special number 111.
Hivyo hakuna uhusiano wowote wa majini/shetani na namba 111111111 kwa mtandao wa vodacom.
Bwana Banzi unapoteza muda wako kumuelimisha huyo mtu kuhusu uwepo wa Mungu. Watu wengi humu alishawashinda licha ya kuja na nondo za maana.
Kuquote
Ndio maana nikakuambia urudie kusoma mkuu kwasababu haya maelezo yako yamejibiwa kwenye maelezo ya mada pamoja na baadhi ya wachangiaji
Hebu soma mada halafu soma na maoni ya wachangiaji halafu utaona!
Ili iweje?
Unaupenda ubishi ila hauwezi.
Unajuaje hilo ni kweli na si mawaa ya ukungu wa tongotongo katika ubongo wako tu?
Jambo ambalo liko wazi kabisa.