Mungu anauwezo wa kujua kama kuwa wewe utaenda kujisaidia haja kubwa baada ya masaa mawili,swali la msingi hapa ni kuwa amejuaje?
Mungu anajua kwasababu anaweza akasafiri hadi future kisha akarudi present muda huo huo yaani anaweza akaona mwisho kuanzia mwanzo,sasa basi kile ambacho Mungu anakijua ni kile ambacho kitatokea kiuhalisia lakini hii haina maana kuwa amepanga
Wewe ndio utapanga kuwa utajisaidia baada ya masaa mawili na sio Mungu,Mungu yeye amejua tu kile ambacho wewe utakifanya na ndio maana huwa anatoa taarifa kuwa kuna hiki na hiki kitatokea
Matukio ya maisha yetu anayajua lakini ni kwasababu tu ana uwezo wa kujua kabla hatujatenda na kwa maana hiyo anajua wewe utaishia kufanya nini kwenye maisha yako,hii ni kama vile unaangalia muvi ambayo tayari umeshaiona!
Kwanini usipange?Wewe utapanga vipi kitu ambacho kishajulikana kitakavyokuwa kabla wewe hujazaliwa?
Ili uweze kueleweka vizuri ni muhimu kusema hayo mabaya ni yapi na ni mabaya kwa maana ipiNa itakuwaje mungu ambaye katunyima uwezo wa kusafiri nyuma katika muda awe hajapanga?
Kwa kutunyima uwezo wa kurudi nyuma katika musa tu na kusahihisha mabaya tuliyofanya nyuma tayari kashatupangia kwamba gunaishi kwenda mbele tu katika muda.
Sawa .....Utasemaje hajapanga?
Wakati yeye ndiye kaamua ulimwengu uweje from scratch, binadamu awe na uwezo gani,
Umetoa wapi hii?yeye mungu awe na uwezo gani,
Sijui ni nani amekuambia haya au ulikoyatoa sijui ni wapinani azaliwe Manzese kwa Mfuga mbwa kwenye wezi, nani azaliwe karibu na monastery kusiko wezi, nani awe na DNA za tamaa ya wizi, nani aziikose etc.
Kwanini?Utasemaje hajapanga?
Ukisema mungu hajapanga hili unasema hakuna looote mungu alilopanga.
Hilo haliko sawa ....Na ikisema mungu kapanga lolote, basi mlinganyo wa alilopanga utayapatiliza maisha ya wote, kwa kufuatilia uzito wa mipango yake ya kimungu.
Mbunge aliyeko bungeni anapopanga sheria kuwa ni marufuku kuchukua kitu chochote cha mtu bila ridhaa yake na ukifanya hivyo unakuwa umeiba na ni kosa kisheria anakuwa anapanga watu wakaibe?Huwezi kusema mungu kapanga misingi ya ulimwengu, halafu hapo hapo hajaingilia kupanga maisha ya binadamu.
Naona wwe ndio hujaelewa hapa...Utakuwa hujaelewa vizuri uzito mzima wa habari ya mungu kupanga misingi ya ulimwengu.
Hapana tunathibitisha ukuu wake ....Ukizidi kusisitiza ukubwa wa mungu aliyeumba ulimwengu huu uliojaa mabaya ndivyo unavyozidi kusisitiza upuuzi mzima wa habari ya kuwepo kwa mungu.
Hapana sio kweli hiyo .....!Ukubwa na uwezo wa mungu ni kamba inayoinyonga hiyo dhana ya mungu.
Kwanini usipange?
Huyo yeye kajua tu kile ambacho unakipanga baasi,narudia tena kujua sio kupanga
Ili uweze kueleweka vizuri ni muhimu kusema hayo mabaya ni yapi na ni mabaya kwa maana ipi
Lakini kama unamaana mabaya kwa maana ya kumkosea Mungu napenda nikupe habari njema kuwa huna haja ya kurudi nyuma ili kuyabadili bali unaweza kuyasahihisha sasa na Mungu hatayakumbuka kamwe
Kama unamaanisha mabaya yale ya "kawaida ya kimaisha" kama vile kutumia vibaya pesa ulizopata ujanani,naweza kusema kuwa hayo sio makosa kwa maana ya makosa kwasababu binadamu tunakuwa bora sana pale tunapokosea na kujifunza kupitia hayo makosa,kwahiyo sio sahihi kusema hayo ni makosa kwakuwa hayo ndio yanatufanya tuwe bora zaidi
Sawa .....
Umetoa wapi hii?
Sijui ni nani amekuambia haya au ulikoyatoa sijui ni wapi
Kuna kitu kinaitwa kanuni ya mvuto,sijui kama unakijua
Hii ni kanuni inayoendesha maisha ya kila mmoja,yaani unakipata kile ambacho unakitaka na unakitaka kwa njia ya kufikiri,kama umejikuta unaishi gongo la mboto au Mbezi,Mungu hahusiki na uwepo wako hapo bali wewe ndio ulietaka yote hayo
Tunavuta yale tunayokutana nayo kwa nguvu ya mawazo,kama unataka kubadili maisha yako badili namna ya kufikiri na sio kunlaumu Mungu
Kwanini?
Hilo haliko sawa ....
Mbunge aliyeko bungeni anapopanga sheria kuwa ni marufuku kuchukua kitu chochote cha mtu bila ridhaa yake na ukifanya hivyo unakuwa umeiba na ni kosa kisheria anakuwa anapanga watu wakaibe?
Naona wwe ndio hujaelewa hapa...
Hapana tunathibitisha ukuu wake ....
Hapana sio kweli hiyo .....!
kutrace namba hakuhitaji kiunganishi ( dialing code ) siku hizi mambo yamekua makubwa, kuna triangulation ambayo unahitaji signal tu kujua eneo la mpigaji..kuitrace namba ambayo unaipigia ni against customer privacy kwene makampuni ya mawasiliano unless uwe unamakubaliano na unaempigia, otherwise angekua anakupigia wewe ungeenda kutoa report police na wakafanya kuitafuta ( na hapo kuwe na ukiukwaji wa sheria kutoka kwa yule anaekupigia ). Mambo ya shetani anamiliki simu and all that mi sina imani so nashindwa kusapoti wala kupinga, ila ndugu yangu unaweza kutumia uwezo wa kawaida tu wakufikiria, " KAMA SHETANI ANATAKA KUKUFIKIA ATAKUFIKIA TU, UNLESS UWE NA VIPINGAMIZI KAMA BIBLIA AU QURAN AU VINGINE AMBAVYO DINI IMETAJA VINAWEZA KUMZUIA ". Ukisoma vitabu vya dini vinavyoeleza kuhusu shetani vinamuelezea kama kiumbe wa ajabu mwenye nguvu za kiushawishi ambazo binadamu hana ko kama angetaka ujiunge nae hahitaji umpigie simu atakufuata tu.Wakuu,
Sina kawaida ya kudharau jambo hata kama linaonekana ni la kijinga na nimeshapata faida kubwa kutokana na mtazamo wangu huu,nimeshafanikiwa kwenye mambo mengi ambayo watu waliyaona ni ya kijinga na wengine walijifunza kupitia hili
Leo naomba niwashirikishe jambo hili ambalo ni mewauliza watu kadhaa na wameonekana kunishangaa mtu kama mimi ni kwanini hasa nimeamua kulifuatilia hili,lakini najua kupitia hili naweza kujifunza kitu ambac ho sikua nakijua au nikajikuta napoteza muda wangu,yote haya ni matokeo na nimejiandaa kwa yote
Kuna namba watu wamekuwa wakidai kuwa kama unataka kuzungumza na Shetani au majini basi unaweza kuzipiga,kuna jamaa yangu aliwahi kuzipiga nikiwa nae na simu iliita na ikapokelewa halafu aliulizwa shida yake na alisema lakini aliepokea simu alimuambia kuwa "huwezi wewe na usitusumbue"
Kuna jamaa yangu mwingine alipiga nae simu ilipokelewa na aliambiwa kuwa wapo busy hivyo hawahitaji usumbufu
Ukiangalia namba hizi hazina namba kiunganishi ili ujue hata location ya namba hizi,kitu hiki kimenifanya nijiulize sana kama hii inakubalila kwa mamlaka husika za mawasiliano
Sina ufahamu hasa wa mambo ya mawasiliano na nadhani hapa kuna watu wengi wanaweza kunipa maelezo ya kutosha na nikaridhika kuhusiana na dhana hii kuwa namba hizi ukipiga unazungumza na shetani au majini,sidhani kama jambo hili halina maelezo kwa wale ambao wanajua kuhusu mawasiliano na ndio maana nikaamua kuja kuuliza hapa ili jambo hili niachane nalo
Namba zenyewe ni 11111111111 na 999999999 nadhani zipo na zingine,hebu wakuu nisaidieni hapo ili niweze kujua
Nikwanini hakuna namba kiunganishi lakini simu inaita?
Je ni akina nani wanaopokea simu hizi?
Karibuni ....
Mkuu juve2012 hebu sogea pan de hizi tuendelee kujifunza mambo haya,karibuni na wengine pia .....!!
Tabia zipi?
"From scratch" ndio nini?
Sawa....
Kabla sijajibu hili,lile la kujua na kupanga tumekubalianaje?
Ok....
Umeuliza kuhusu ulimwengu na tabia zake zilipotokea ....
Jibu lake ni Mungu kaumba hivyo ....!
Mungu atawezaje kupanga ulimwengu mzima utakuwaje na tabia zake zitakuwaje bila kugusa habari ya kupangia wanadamu maisha yao?
Kama wanadamu wanaishi kwenye ulimwengu, ulioumbwa na kupangwa na mungu.
Watawezaje kuishi maisha ambayo hayajapangwa na mungu?
Jifunze maana ya haya maneno:Mungu atawezaje kupanga ulimwengu mzima utakuwaje na tabia zake zitakuwaje bila kugusa habari ya kupangia wanadamu maisha yao?
Kama wanadamu wanaishi kwenye ulimwengu, ulioumbwa na kupangwa na mungu.
Watawezaje kuishi maisha ambayo hayajapangwa na mungu?
Tabia zote za ulimwengu, kuanzia nguvu za uvutano mpaka muda unavyokwenda mbele tu, spidi ya mwanga etc.
From scratch maana yake ni kutoka mwanzo kabisa.
Ulimwengu umetokeaje from scratch ma kupata tabia zake zote?
Tabia zote za ulimwengu, kuanzia nguvu za uvutano mpaka muda unavyokwenda mbele tu, spidi ya mwanga etc.
From scratch maana yake ni kutoka mwanzo kabisa.
Mtengeneza gari anapanga gari ili liondoke ataliwasha atakanyaga klachi na kuingiza gia na baadae kuachia klachi taratibu huku akikanyaga mafuta na gari litaanza kuondoka,huo ni mfumo na mpangilio ambao mtengeneza gari ameweka
Lakini namna dereva atakavyolipeleka gari,spidi atakayotumia na njia atakayopitia sio suala la mtenmgenezaji bali mwendeshaji!
Wakuu,
Sina kawaida ya kudharau jambo hata kama linaonekana ni la kijinga na nimeshapata faida kubwa kutokana na mtazamo wangu huu,nimeshafanikiwa kwenye mambo mengi ambayo watu waliyaona ni ya kijinga na wengine walijifunza kupitia hili
Leo naomba niwashirikishe jambo hili ambalo ni mewauliza watu kadhaa na wameonekana kunishangaa mtu kama mimi ni kwanini hasa nimeamua kulifuatilia hili,lakini najua kupitia hili naweza kujifunza kitu ambac ho sikua nakijua au nikajikuta napoteza muda wangu,yote haya ni matokeo na nimejiandaa kwa yote
Kuna namba watu wamekuwa wakidai kuwa kama unataka kuzungumza na Shetani au majini basi unaweza kuzipiga,kuna jamaa yangu aliwahi kuzipiga nikiwa nae na simu iliita na ikapokelewa halafu aliulizwa shida yake na alisema lakini aliepokea simu alimuambia kuwa "huwezi wewe na usitusumbue"
Kuna jamaa yangu mwingine alipiga nae simu ilipokelewa na aliambiwa kuwa wapo busy hivyo hawahitaji usumbufu
Ukiangalia namba hizi hazina namba kiunganishi ili ujue hata location ya namba hizi,kitu hiki kimenifanya nijiulize sana kama hii inakubalila kwa mamlaka husika za mawasiliano
Sina ufahamu hasa wa mambo ya mawasiliano na nadhani hapa kuna watu wengi wanaweza kunipa maelezo ya kutosha na nikaridhika kuhusiana na dhana hii kuwa namba hizi ukipiga unazungumza na shetani au majini,sidhani kama jambo hili halina maelezo kwa wale ambao wanajua kuhusu mawasiliano na ndio maana nikaamua kuja kuuliza hapa ili jambo hili niachane nalo
Namba zenyewe ni 11111111111 na 999999999 nadhani zipo na zingine,hebu wakuu nisaidieni hapo ili niweze kujua
Nikwanini hakuna namba kiunganishi lakini simu inaita?
Je ni akina nani wanaopokea simu hizi?
Karibuni ....
Mkuu juve2012 hebu sogea pan de hizi tuendelee kujifunza mambo haya,karibuni na wengine pia .....!!
Sasa jamaa yangu alipiga wakapokea na aliweka laudi spika na walimuambia kama nilivyosema hapo juu
Ngoja tusubiri wajuzi waje watupe maelekezo maana inawezekana ikawa kutokujua kwetu ndio kunatufanya tuhusishe na masuala haya ya mashetani na majini!