Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,511
- 151,761
Ndiyo maana nikasema mwenye kujua vitu vingi ni tofauti na mwenye uelewa mpana.
Kuelewa ni tofauti na kujua.
If that was so, you wouldn't even know.
Ndiyo maana nikasema mwenye kujua vitu vingi ni tofauti na mwenye uelewa mpana.
Kuelewa ni tofauti na kujua.
I think based on logic of omnipotent, omnipresent na omniscient ni sawa kabisa kuwa Mungu anapanga na anajua kila kinachotokea kwenye maisha ya Binadamu. Kama yeye ndiye source then ndiye anawajibika kwa hata kila nukta ya existence ya creation yake....
If that was so, you wouldn't even know.
Jitahidi uwe unaelewa sio kuishia kujua tu.
Kuelewa nini?
Hilo suala la Mungu kupanga umelitoa wapi?I think based on logic of omnipotent, omnipresent na omniscient ni sawa kabisa kuwa Mungu anapanga na anajua kila kinachotokea kwenye maisha ya Binadamu. Kama yeye ndiye source then ndiye anawajibika kwa hata kila nukta ya existence ya creation yake....
Hilo suala la Mungu kupanga umelitoa wapi?
Ulishindwa kunielewa kwenye jambo dogo sana la mantiki,ni kitu gani kinakufanya udhani utaweza kunielewa nikufafanulia hili?Ukishasema mungu kamuumba binadamu, basi mungu kampangia binadamu maisha.
Kwa maana hata hakumuuliza kama anataka kuishi ama hataki kuishi. Kamuumba tu.
Huwezi kusema mungu mjuzi wa yote, muweza yote, ambaye yupo pote kaumba ulimwengu from scratch, kaupa ulimwengu tabia na aheria zake, bila kumahirikisha binadamu, kamuumba binadamu, bila kumuuliza, halafu hajampangia maisha.
Ulishindwa kunielewa kwenye jambo dogo sana la mantiki,ni kitu gani kinakufanya udhani utaweza kunielewa nikufafanulia hili?
Ungeelewa mantiki ungeelewa kutolinganisha visivyolinganika.
Kwasababu hukunielewa na kikubwa zaidi inaonekana hutaki kabisa kuelewa nililokuambia ndio maana unaendelea kufanya makosa yale yale
Nikikuambia sikulinganisha kati ya alietengeneza gari na aliyemuumba binadamu,wewe unakuja kudai nalinganisha hivyo,nadhani unaweza kujadiliana na mwingine kwenye hili na sio mimi kwasababu inaonekana mmoja anataka kufanya mjadala ambao tutaweza kujifunza pamoja na wingine yupo kwaajili ya kukataa tu
Ukitaka tujadiliane na tujifunze pamoja utaniambia!
Yapi hayo?
Specificity is king.
Aiseeee ....
We jamaa ni hatari...!
Hilo suala la Mungu kupanga umelitoa wapi?
Hivi kuna mtu japo hata mmoja aliyewahi kukuelewa hayo unayoyazungumzaga(unayoyajua)?
Na je,unajua kwanini ktk kujadiliano kwako kote kwa muda mrefu lakini hakuna maarifa uliyopata ktk majadiliano yote hayo?