Uhusiano ndani miaka 9, ana mimba ya mtu mwingine.

Uhusiano ndani miaka 9, ana mimba ya mtu mwingine.

Unashangaa nini 0'level miaka 3 A'level 2 chuo 3 mwaka 1 wa kazini kujipanga kabla hatujaoana, acheni tu jamani inaniuma sana.

uhusiano uliota pembe na mvi mwenzio akachoka kusubiri best!
 
Uchumba kwa muda wa miaka 9, halafu unalalamika kuwa ana mimba ya mtu mwingine. Jiulize kwanza kwa nini miaka 9 yote hana mimba wala mtoto wako. Huyo keshaona kuwa wewe sio mwoaji, ila unavuta tu utamu, kajilengesha kwa mwoaji.

...inawezekana hata mbegu huna....kalengesha mpaka kachoka.....kapime manii zako kwanza uwe na uhakika.....
 
Utakua na matatizo miaka9 hata mimba haijangia kajicheki hosptal kama una mbegu active
 
Mlianza uchumba tangu form one hadi chuo kikuu au...mlianza lini huo uchumba? nahisi alikulengeshea sanaaaaaa ila MTARIMBO wako ukawa umelala DORO, kuteleza pembeni kidogo kesha-up load

Ukimchunguza mno Bata Hutomla
 
ulisubiri mfanye jubilee ya miaka 25 ndo umuoe? uo ni uchumba au ulikuwa unatafuta sababu ya kumbwaga? afadhali kakubwaga wewe.
 
Kama amepata mimba kwa mtu mwingine na alikataa
1. Sio mwaminifu, lazima ataendelea kugegedwa
2. Sio mkweli
3. Atakuwa na watoto wataono, mmoja tu atakuwa wako wa halali
4.
5.
 
wewe unajua la kufanya... acha kua -----.. hata ukiamua kuoa tambua pia mtoto wa pili hatakua wako.. utalea wa wenzako tu
 
Nina mchumba ambaye nimedumu nae kwa muda wa miaka 9 lakini sasa ana mimba ya jamaa mwingine stori kamili nimeipata toka kwa rafiki yake nimembana amekubali na kuniomba msamaha nimeshindwa la kufanya na tayari tulishatambulishana kwa wazazi.


wewe ni zezeta.
Acha ulee watoto wa wenzio.
Miaka 9 ulikuwa unawashikia watu mapembe tu, wenzio wanakamua maziwa
 
huna mbegu ndo maana mama ameamua kutimua mbiyo,maana miaka 9!!! si mchezo,kamuone dr unamatatizo
 
hapa lazima tupate msaada wa mwalimu saudari

Kwa kipindi kile cha zamani tunaweza kusema ni uchuma kwasababu kipindi kile watu walikua wanaanza shule za msingi wakiwa watu wazima hivyo kupelekea hata kupata wachumba kutoka shuleni na hatimae kuoana.

Ila miaka hii mtu anamwanzisha mtoto wake shule akiwa na miaka 5/6 na akifikia miaka 12/13 kashamaliza elimu ya msingi. Hapo tunaona atakua bado ni mtoto hivyo atakua anajaribisha uchumba lakini sio kuwa katika uchumba.
 
Nina mchumba ambaye nimedumu nae kwa muda wa miaka 9 lakini sasa ana mimba ya jamaa mwingine stori kamili nimeipata toka kwa rafiki yake nimembana amekubali na kuniomba msamaha nimeshindwa la kufanya na tayari tulishatambulishana kwa wazazi.

miaka tisa ni mchumba au hujui maana ya uchumba? uhawara si uchumba huo ni urafiki tu. Uchumba lazima uwe umeshajitambulisha kwa wazazi in an official/traditional manner na umeshatoa angalau kitu....

kama hukufuata taratibu hizo alikuwa hawara tu na ana mchumba aliyemtia mimba.
 
asante sana mwalimu
Kwa kipindi kile cha zamani tunaweza kusema ni uchuma kwasababu kipindi kile watu walikua wanaanza shule za msingi wakiwa watu wazima hivyo kupelekea hata kupata wachumba kutoka shuleni na hatimae kuoana.

Ila miaka hii mtu anamwanzisha mtoto wake shule akiwa na miaka 5/6 na akifikia miaka 12/13 kashamaliza elimu ya msingi. Hapo tunaona atakua bado ni mtoto hivyo atakua anajaribisha uchumba lakini sio kuwa katika uchumba.
 
mambo mengine magumu hata kuomba ushauri, basi tu watakushauri ila wengi tunashangaa miaka 9.
 
Back
Top Bottom