Uhusiano ndani miaka 9, ana mimba ya mtu mwingine.

Uhusiano ndani miaka 9, ana mimba ya mtu mwingine.

Miaka tisa ya uchumba inaweza kuonekana sio mingi kama uhusiano una future. Unadate na mtu hakutambulishi kwa ndugu yake wala rafiki? Ngastuka.
Oa huyo huyo bwana, walau haukumfumania. kitanda hakizai haramu
 
9 yrs damn....bado unalalamika anamimba ya mwengine. You are time waster...
 
Nina mchumba ambaye nimedumu nae kwa muda wa miaka 9 lakini sasa ana mimba ya jamaa mwingine stori kamili nimeipata toka kwa rafiki yake nimembana amekubali na kuniomba msamaha nimeshindwa la kufanya na tayari tulishatambulishana kwa wazazi.

mh mkuu ulikuw unasubiri nin kumpa wewe hyo mimba miaka yote tisa hyo? Then howcome uchumba wa miez 9? Hyo ndo ile chelewachelewa... Hata hvyo kama ni kweli hyo mimba c yako huna mchumba hapo jpange upya!
 
Mmedumu miaka 9, mlikuwa shule ama tayari uraini. Kama shule I can try to understand labda mlianza mahusiano mkiwa form 1 kama uraiani duh mvumilivu huyo dada...mie ningeibeba na miaka 5 tu na wala nisingekuomba radhi.

duu! We mkali!
 
miaka tisa sio mingi hivyo.
Mnaanza uhusiano mkiwa form 1, mkimaliza form 6 na chuo ni miaka kumi hiyo, baada ya kumaliza chuo hapo ndio mnafunga ndoa. Watu wengi tu wameoana kwa mtindo huu.

okay!
nimekuelewa andate
 
Last edited by a moderator:
huo uchumba unatia mashaka... miaka 9???

Pole sana
 
huo uchumba unatia mashaka... miaka 9???

Pole sana

Unashangaa nini 0'level miaka 3 A'level 2 chuo 3 mwaka 1 wa kazini kujipanga kabla hatujaoana, acheni tu jamani inaniuma sana.
 
Hakuna mwanamke ambae nitakuja kumwamini katika maisha yangu.
 
Form tuu ulikua na miaka mingapi mpaka ukamchumbia?jee wazazi wako walikuruhusu kumchumbia ukiwa form2 mpaka useme uchumba wenu ulianza tangu ukiwa form2??????

Lakini you get the consept that they were jus friend and not mchumba in deed
 
Nimeajiriwa mwaka jana ndo nilikuwa najinga kumuoa rasmi lakini yametokea hayo tena kapewa mimba na mume wa mtu ambae hawezi kumuoa, nimeumia sana nimeshindwa la kufanya ikitegemea pande zote mbili zilikuwa zikifahamu uhusiano wetu.

Muache akapate tabu ndipo atakapogundua kuwa cha m2 mavi na ukikiona kitemee mate(cham2 sumu).ataikumbuka sana hiyo 9yrs nakugundua kuwa ilikuwa na umuhimu wake.
 
Nafikria kufanya kwa sabab nampenda nahisi nitautesa moyo wangu kwa kumuacha

Ila ndugu yangu ulikaa mda mrefu sana miaka 9?unamchezea 2!.japo hakufanya vizuri ila sijapenda alipoenda juzaa na mume wa m2.bora angetafuta wakwakwe.
 
Hata kama ni kuchunguzana hii ya kwenu ya miaka 9 is too much pilipili.

Miaka yote hiyo mmekaa nae hata hukutangaza nia?

Hapo kama ni kumlaumu mwanamke nitamlaumu kidogo tu, ila wewe ndo wakulaumiwa sana.

Mwanamke kaangalia akaona wewe hauna plan yoyote na yeye.

Unawezatuambia "hata ndani ya hiyo miaka 9 hauja nanilihu".
mmh jamani
 
Nina mchumba ambaye nimedumu nae kwa muda wa miaka 9 lakini sasa ana mimba ya jamaa mwingine stori kamili nimeipata toka kwa rafiki yake nimembana amekubali na kuniomba msamaha nimeshindwa la kufanya na tayari tulishatambulishana kwa wazazi.
Nini kilichokushinda kufanya hapo?, jinga wewe ndo maana huyo huyo sijui mchumba wako kapigwa mimba upo umeng'aa macho tu, eti nimeshindwa la kufanya. Piga chini faster, tembea mbele wanawake kibao, mbulu wewe, so unataka tukuambie msamehe au?.
 
kha kugongewa nigongewe na mimba apewe alafu nicjue la kufanya hayo mapenzi au uzoba,piga chini start a fresh!!!
 
aliona huna mbegu! we miaka 9 hujamvimbisha mwenzio, unategemea nini,
 
huu ulikuwa uchumba sugu miaka9? si mchezo mpaka watu wanawasahau..
 
Back
Top Bottom