Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,551
Last edited by a moderator:
Nadhani alikuwa anasubiri mimba ili amwoe akiwa na FAIDA
miaka 9
au ndo ile ya bunduki bila risasi.
Possible binafsi nilioa after 9 years of relationship between which 3yrs mahusiano ya kimapenzi.uhusiano (uchumba) miaka tisa?!?!?!?! mhhh
Mwambie aje bhana, mi sitaki kurefusha uchumba hadi wa deposit mimba watu wengine,
Yawezekana hajawahi sikia neno NITAKUOA kutoka kwako ndo maana kabeba mimba ya mtu mwingine,miaka 9!
Na wewe ulizidi kumuweka mwenzio miaka mingi bila kutangaza ndoa.
Nina mchumba ambaye nimedumu nae kwa muda wa miaka 9 lakini sasa ana mimba ya jamaa mwingine stori kamili nimeipata toka kwa rafiki yake nimembana amekubali na kuniomba msamaha nimeshindwa la kufanya na tayari tulishatambulishana kwa wazazi.
We kubwa jinga,yani miaka 9 unapiga sound kwa kumgegeda tuuuuuuuuuuuuuuuuu unategemea nini?nyambafu,tena mie ndiye niliyemjaza kenge wewe!Nina mchumba ambaye nimedumu nae kwa muda wa miaka 9 lakini sasa ana mimba ya jamaa mwingine stori kamili nimeipata toka kwa rafiki yake nimembana amekubali na kuniomba msamaha nimeshindwa la kufanya na tayari tulishatambulishana kwa wazazi.