Uhuru wa wachunguzi huru

Pole
pole saña ndugu maana hujui kàma hujui
 
hapo mwisho unajicommit kuwa hujui wakati mwanzo ulishaconclude!!

Hakuna tatizo hapo.

Kusema sijui siyo kosa na nimesema hivyo kulingana na muktadha mahsusi wa ulichouliza.

Teh teh...hapo umeonyesha kushindwa kuelewa.

Ila dizaini mwenyewe kwenye akili yako unadhani umenikamata.

Hahahaa....bado sana wewe. Huna umakini wa kunikamata mtu kama mimi. Labda kama ujaribu tena.
 
Kwa kwa maelezo yako swala Hapa ni Chadema kukubali na si kumtafuta muharifu aliyetàka kutoà roho ya mtanzania mwenzetu right¿
The situation at hand is not a hypothetical one.

Lissu and his driver are not dead.

So no need to hypothesize with what 'ifs'.
Chief,I work for General mills but based in Malawi, I will be in Minneapolis- Minnesota from October 15th to December 20th,çan we meet,I believe ili kujustify kuishi kwà USA umeoa mwànamke Mzee sana,sasa ili kukop nae inabidi utumie akili yàke,coz I don't believe
 
Kwahiyo tunapenda kutengeneza sababu zisizo na msingi au vipi? Kazi kweli kweli.
 
mbona jibu la swali lako ni rahisi tu
watawalipa kwa kodi za watanzania
anayekusanya kodi ni serikali ya CCM
Hizo pesa sio za CCM ..Ni za watanzania wote..vyama vyote...Serikali lazima iwalipe
 
Kenya walitumia njia gani kupata wachunguzi hapo nyuma.
 
Noooo!!....mwanzoni umeconclude kuwa hakuna lishindikanalo chini ya jua then nikakuuliza vikwazo vinaweza kushindikana chini ya jua?......ukajibu hujui!!!.....maana yake umeipinga kauli yako ya mwanzo kitu ambacho ni non-sense!!
 
Noooo!!....mwanzoni umeconclude kuwa hakuna lishindikanalo chini ya jua then nikakuuliza vikwazo vinaweza kushindikana chini ya jua?......ukajibu hujui!!!.....maana yake umeipinga kauli yako ya mwanzo kitu ambacho ni non-sense!!
Uko mgumu kuelewa.

Hakuna nilichokipinga hapo.

Kusema sijui siyo kupinga.

Kama nilisema hakuna lishindikanalo chini ya jua halafu baadaye nikaja kusema lipo lishindikanalo...hapo ungekuwa sawa. Ungekuwa sawa kwa sababu hizo kauli zinakinzana.

Lakini kusema sijui hakukinzani hata kidogo na nilichosema awali.

Hahaha wewe bado sana...haupo kwenye levels.

Ila unaweza kujipa faraja na kujiaminisha kuwa umenikamata...kwako hiyo ni accomplishment [emoji23] [emoji23]

But nah...don't flatter yourself. You are not on my level.
 
Kusema hujui kitu ambacho mwanzoni ulisema unajua siyo kujipinga mwenyewe??![emoji23] [emoji23] [emoji23] (kauli ya kwamba hakuna lishindikanalo chini ya jua ni conclusive na ni kukiri kuwa unajua kuhusu usemalo!)
 
Umefuatilia mission ya Pablo Escobar? Ilifanikishwa kwa kiasi kikubwa na DEA kwa msaada wa vyombo vya ndani vya colombia. So mimi nafikiri ni kitu kinachowezekana kulingana na taratibu za nchi husika na umuhimu wa jambo husika na pia maslahi ya nchi husika pande zote mbili zinazo shiriki kufanya hiyo mission.
 
Kusema hujui kitu ambacho mwanzoni ulisema unajua siyo kujipinga mwenyewe??![emoji23] [emoji23] [emoji23] (kauli ya kwamba hakuna lishindikanalo chini ya jua ni conclusive na ni kukiri kuwa unajua kuhusu usemalo!)
Hahaaa hivi shuleni ulikuwa unapata maksi ngapi wewe?

Hahahaa daah[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hakuna nilipojipinga. Hakuna nilichosema najua.

Unajiaminisha tu.
 
Kuhusu maslahi ya nchi mbili (Tanzania na hiyo itakayokuja), siyaoni kwa hii ishu ya Lissu (labda yapo mtu anionyeshe).

Jambo linalotatiza ni hawa ndugu zetu wa upande wa pili ni kuwa wanataka "wachunguzi huru".. ambao hawatahiusisha serikali na vyombo vyake kwenye kazi ya "kuchunguza" kwa madai kuwa "watavuruga".. ndio maana najiuliza je hilo jambo linawezekana kisheria na kitaratibu?
 

Hawa FBI na wengineo walikuja kuchunguza uhalifu uliotokea kwenye ubalozi na mauaji ya padiri. Hawakuja kuichunguza TZ pamoja na vyombo vyake vya usalama kama walihusika.

CDM wanamtuhumu Rais Magufuli ,kwa kutumia polisi na usalama wa taifa, kuhusika na shambulizi la Lissu.

Ili kuufanya huu uchunguzi FBI watataka kuwa na rekodi zote za mawasiliano (simu, txt, video za mikutano, na mbinu zote za mawasiliano, n.k.) kati ya askari na viongozi wote wa vyombo vya dola. Watataka kujua utendaji wao wa kikazi (modus operandi).

Kama hiki kitaruhusiwa kifanyike basi usalama wa tanzania utakuwa umekuwa compromized vibaya sana. Hivi nyie mnajua mnachokitaka kifanyike?
 
Bado huwezi kuruhusu FBI na CIA wajue kila kitu na mnavyopanga ulinzi wenu. Raisi analindwaje, analala wapi, wanawasilianaje kwa kutumia non-verbal communications, n.k.

Kama wanajua kila kitu mbona hawakuweza kumuua Gadafi kwa kupiga mabomu makazi yake. Aliuawa na Walibya wenyewe baada ya nchi ilipovamiwa.

Kwa hiyo kuficha mbinu za usalama wa taifa ni muhimu sana. Sasa ukiwaruhusu waje wapekue wenyewe humu ndani ni kwamba hata ule usiri mdogo tulionao utapotea. Ni rahisi kwao kuweka vitu vyao vya kurekodi kila kitu ndani ya maofisi ya vyombo vya dola. You can't be serious.
 

Mbona unajaribu kubadilisha hoja. Nani kasema kwamba watakuja kivichunguza vyombo vya usalama? Wao kazi yao ni kuchunguza tukio la uhalifu la kutaka kumuua Lisu. Sasa kama.kwenye uchunguzi wao wataona kuwa kuna uhusika wa vyombo vya usalama vya nchi watasema. Kama havihusiki pia watasema, huu uwoga unatoka wapi?
 
Usijitie hamnazo. Suspects hapa ni serikali, vyombo vya usalama TZ na CDM wenyewe.
 
P

Ok Kifyatu basi tusubiri uchunguzi ufanywe na vyombo vya dola vya Tz i.e. mtuhumiwa anajichunguza mwenyewe!! na bado tutapata report saafi kabisa isiyoegemea upande wowote!!

Kuhusu Gadafi kwani ni lini Gadafi alikuwa anawindwa na FBI na CIA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…