Uhuru wa wachunguzi huru

Uhuru wa wachunguzi huru

Pole
Nimeongea na FBI wamecheka sana halafu wakauliza nchini kwenu mnazungumza lugha gani. Nilipojibu kiswahili ndio wakaona ni kituko suala la uchunguzi wa hivi kufanywa na FBI.

Ila walisema wao wanafanya kazi za taifa la Marekani. Huenda nje inapotokea ishu kama ya ubalozi wao kupigwa. Na ni brainer wapelelezi wao wanashirikiana na polisi, jeshi na wapelelezi wa nchi husika. Usitegemee wafike uwanja wa fisi kwenda kuhoji watuhumiwa.

Na hilo la gharama kuna zaidi ya gharama. Vifaa na miundo mbinu. Hivi polisi wanafukuzaje gari ya watuhumiwa kwenye foleni ya magari ya bongo

https://www.fbi.gov/about/leadership-and-structure/international-operations

The Role of the Legal Attaché
The FBI legal attaché works with the law enforcement and security agencies in their host country to coordinate investigations of interest to both countries. The role of legal attachés is primarily one of coordination, AS THEY DO NOT CONDUCT FOREIGN INTELLIGENCE GATHERING OR COUNTERINTELLIGENCE INVESTIGATIONS. The rules for joint activities and information sharing are generally spelled out in formal agreements between the U.S. and the host nation.

Typical duties of a legal attaché include coordinating requests for FBI or host country assistance overseas; conducting investigations in coordination with the host government; sharing investigative leads and information; briefing embassy counterparts from other agencies, including law enforcement agencies, as appropriate, and ambassadors; managing country clearances; providing situation reports concerning cultural protocol; assessing political and security climates; and coordinating victim and humanitarian assistance.

WANAOTAKA FBI WAJE BE CAREFUL WHAT YOU WISH.
pole saña ndugu maana hujui kàma hujui
 
hapo mwisho unajicommit kuwa hujui wakati mwanzo ulishaconclude!!

Hakuna tatizo hapo.

Kusema sijui siyo kosa na nimesema hivyo kulingana na muktadha mahsusi wa ulichouliza.

Teh teh...hapo umeonyesha kushindwa kuelewa.

Ila dizaini mwenyewe kwenye akili yako unadhani umenikamata.

Hahahaa....bado sana wewe. Huna umakini wa kunikamata mtu kama mimi. Labda kama ujaribu tena.
 
If you really mean it, hao US na UK wafute madeni wanayotudai ambayo walitumia uhuni kutuingiza mkenge.
====
Hoja yako NN ina mashiko. Ili kuondoa utata huu, kwa maandishi na kutangaza hadharani, chadema wawaahidi watanzania kuwa watakubaliana na matokeo hayo ambayo serikali itawajibika kuyatoa kutoka kwa hao wachunguzi huru. maana ni serikali yenye mamlaka ya kualika wachunguzi huru kutoka nje ya nchi. Ila nasisitiza wachunguzi hao wasitoke nchi ambazo hatuko sawa katika masuala ya mapambano ya kiuchumi (IPTL, Barrick, nakadhalika). Ingekuwa vyema wachunguzi watoke Russia, Ama nchi za schendinavia ambazo haziko kwenye umoja NATO!!
Kwa kwa maelezo yako swala Hapa ni Chadema kukubali na si kumtafuta muharifu aliyetàka kutoà roho ya mtanzania mwenzetu right¿
The situation at hand is not a hypothetical one.

Lissu and his driver are not dead.

So no need to hypothesize with what 'ifs'.
Chief,I work for General mills but based in Malawi, I will be in Minneapolis- Minnesota from October 15th to December 20th,çan we meet,I believe ili kujustify kuishi kwà USA umeoa mwànamke Mzee sana,sasa ili kukop nae inabidi utumie akili yàke,coz I don't believe
 
Mwakyembe na wahuni wenzake wa kamati ya Richmond walisafiri mpaka Marekani kukusanya ushahidi, lakini shahidi muhimu/ mtuhumiwa alikuwa umbali wa mita 200 tu kutoka ofisi za Dar esbsalaam na hawakwenda kumuhoji wala hawakumuita.

Labda wewe ni mgeni Tanzania.
Kwahiyo tunapenda kutengeneza sababu zisizo na msingi au vipi? Kazi kweli kweli.
 
Tokea Mh. Lissu anusurike kwenye shambulio dhidi ya uhai wake siku ashara na kitu zilizopita, kumekuwepo na sauti kadhaa zinazodai au zinazotaka tukio hilo lichunguzwe na wachunguzi 'huru' kutoka nje ya nchi.

Sababu yake kubwa ni kwamba vyombo vya ndani [ya nchi] vya usalama haviko huru kuweza kufanya uchunguzi huo kwa sababu vyenyewe ndivyo vinavyoshukiwa kupanga na kutekeleza jaribio hilo ili kutimiza matakwa ya mtu au watu wa huko serikalini na kwenye CCM.

Hisia hizo [za kuishuku na kuituhumu] nazielewa. Hivyo watu wanaotaka kuona wachunguzi huru wakichunguza nao nawaelewa.

Ila, kuna vitu vinanitatiza kidogo kuhusu huo u huru wa hao wachunguzi na utayari wa kambi ya Lissu na kambi ya serikali kuyakubali matokeo ya huo uchunguzi wao endapo utatokea.

La kwanza, ni nani atayeingia gharama za hao wachunguzi?

Tuseme CHADEMA na wafadhili wao ndiyo wataingia hizo gharama.

Kama hivyo ndo itavyokuwa, je, hao wachunguzi watakuwa huru kiasi gani ilhali wanalipwa na upande wa mnusurika wa jaribio?

CHADEMA kweli inaweza kuwalipa hao wachunguzi huru halafu hao wachunguzi watoe uchunguzi ambao ni kinyume na madai ya CHADEMA [kwamba serikali kupitia vyombo vyake vya usalama ndiye mhusika]? Kama wataletwa na CHADEMA maana yake ni kwamba wao ni waajiriwa wa hicho chama. Akili yangu haioni ni jinsi gani hao wachunguzi huru wanaweza kutoa matokeo yaliyo kinyume na hisia za watu waliowaajiri.

Je, serikali nayo ipo tayari kweli kuyakubali matokeo ya hao wachunguzi huru ambao huenda wakalipwa na hicho chama pinzani?

Na vipi kwa mfano serikali ikubali ujio wa hao wachunguzi na iingie gharama kwa kazi watayoifanya, je, CHADEMA ipo tayari kuyapokea na kuyakubali matokeo ya huo uchunguzi hata kama yakiwa tofauti na vile wao wadhaniavyo?

Kumbuka, kama serikali ndiyo itayoingia gharama za hao watu maana yake ni kwamba watakuwa wanaitumikia serikali iliyopo madarakani ambayo ni ya CCM.

Kwa mtaji huo hao wachunguzi huru watakuwa wapo huru kiasi gani?

Hili suala ni gumu kwa kweli. Kila ninapowaza na kuwazua sipati majibu.

Sijui nyie wadau mnalionaje hilo suala.

Jumapili njema.
mbona jibu la swali lako ni rahisi tu
watawalipa kwa kodi za watanzania
anayekusanya kodi ni serikali ya CCM
Hizo pesa sio za CCM ..Ni za watanzania wote..vyama vyote...Serikali lazima iwalipe
 
Kenya walitumia njia gani kupata wachunguzi hapo nyuma.
 
Hakuna tatizo hapo.

Kusema sijui siyo kosa na nimesema hivyo kulingana na muktadha mahsusi wa ulichouliza.

Teh teh...hapo umeonyesha kushindwa kuelewa.

Ila dizaini mwenyewe kwenye akili yako unadhani umenikamata.

Hahahaa....bado sana wewe. Huna umakini wa kunikamata mtu kama mimi. Labda kama ujaribu tena.
Noooo!!....mwanzoni umeconclude kuwa hakuna lishindikanalo chini ya jua then nikakuuliza vikwazo vinaweza kushindikana chini ya jua?......ukajibu hujui!!!.....maana yake umeipinga kauli yako ya mwanzo kitu ambacho ni non-sense!!
 
Uko mgumu kuelewa.

Hakuna nilichokipinga hapo.

Kusema sijui siyo kupinga.

Kama nilisema hakuna lishindikanalo chini ya jua halafu baadaye nikaja kusema lipo lishindikanalo...hapo ungekuwa sawa. Ungekuwa sawa kwa sababu hizo kauli zinakinzana.

Lakini kusema sijui hakukinzani hata kidogo na nilichosema awali.

Hahaha wewe bado sana...haupo kwenye levels.

Ila unaweza kujipa faraja na kujiaminisha kuwa umenikamata...kwako hiyo ni accomplishment

But nah...don't flatter yourself. You are not on my level.
 
Kusema hujui kitu ambacho mwanzoni ulisema unajua siyo kujipinga mwenyewe??! (kauli ya kwamba hakuna lishindikanalo chini ya jua ni conclusive na ni kukiri kuwa unajua kuhusu usemalo!)
 
Kwanza naomba kuuliza, hivi kuna sheria Tanzania au nchi yoyote ambayo inaruhusu Jeshi la nchi moja kuingia kufanya kazi kwenye ardhi ya nchi nyingine? (Ukiacha peace making missions za UN kwenye maeneo yenye vita?).

Au Tuseme labda kuna mtu ambaye yupo very critical kwa serikali ya Marekani akauwawa, je Scotland Yard inaweza kweli kwenda kufanya uchunguzi Marekani? Kwa sababu eti wananchi wanahisi kuwa FBI au Homeland security hawatakuwa huru, je hili linawezekana?

Au hata kama wakiruhusiwa hapa Tanzania hao "wachunguzi huru" watawezaje kufanya kazi bila jeshi la polisi kuhusika? Maana wao ndio wana machinery ya all criminal investigations hapa Tanzania. Hao "wachunguzi huru" watakuwa huru kiasi gani kwenye nchi ambayo si ajabu hata lugha yake hawaiongei.

Labda tuseme Interpol watakuja.. sasa Interpol si ndio polisi hao hao, hata ofisi zao zipo pale Police headquarters.

Silazimishi mtu kunielewa.. Nyani Ngabu ameshasema ' You're entitled to your own imagination' lakini hivi hili swala tunaliangalia vizuri kweli?

Narudia sijakushikia akili, amini utakavyo.
Umefuatilia mission ya Pablo Escobar? Ilifanikishwa kwa kiasi kikubwa na DEA kwa msaada wa vyombo vya ndani vya colombia. So mimi nafikiri ni kitu kinachowezekana kulingana na taratibu za nchi husika na umuhimu wa jambo husika na pia maslahi ya nchi husika pande zote mbili zinazo shiriki kufanya hiyo mission.
 
Kusema hujui kitu ambacho mwanzoni ulisema unajua siyo kujipinga mwenyewe??! (kauli ya kwamba hakuna lishindikanalo chini ya jua ni conclusive na ni kukiri kuwa unajua kuhusu usemalo!)
Hahaaa hivi shuleni ulikuwa unapata maksi ngapi wewe?

Hahahaa daah

Hakuna nilipojipinga. Hakuna nilichosema najua.

Unajiaminisha tu.
 
Umefuatilia mission ya Pablo Escobar? Ilifanikishwa kwa kiasi kikubwa na DEA kwa msaada wa vyombo vya ndani vya colombia. So mimi nafikiri ni kitu kinachowezekana kulingana na taratibu za nchi husika na umuhimu wa jambo husika na pia maslahi ya nchi husika pande zote mbili zinazo shiriki kufanya hiyo mission.
Kuhusu maslahi ya nchi mbili (Tanzania na hiyo itakayokuja), siyaoni kwa hii ishu ya Lissu (labda yapo mtu anionyeshe).

Jambo linalotatiza ni hawa ndugu zetu wa upande wa pili ni kuwa wanataka "wachunguzi huru".. ambao hawatahiusisha serikali na vyombo vyake kwenye kazi ya "kuchunguza" kwa madai kuwa "watavuruga".. ndio maana najiuliza je hilo jambo linawezekana kisheria na kitaratibu?
 
Ukirudia kusoma hiki ulichoandika nadhani hutaamini macho yako. Sijui una umri gani lakini nikukumbushe tukio la kulipuliwa ubalozi wa Marikani hapa Dar. Ni FBI ndio walikuja nchini kufanya upelelezi na hata kugundua ni nani walihusika. Sijui kama unakumbuka mauaji ya Padri kule Zanzibar? Kikwete aliruhusu wapelelezi kutoka nje waje wasaidie kufichua wahusika wa mauaji yale. Kwa hiyo mjomba uhuru wa nchi hauuzwi kwa kuruhusu wapelelezi wa nje kuja kusaidia hawa wa ndani. Labda hujui tu kwamba baadhi ya hao wapelelezi wetu wamepata mafunzo kutoka kwa hao wazungu unaowaogopa.

Hawa FBI na wengineo walikuja kuchunguza uhalifu uliotokea kwenye ubalozi na mauaji ya padiri. Hawakuja kuichunguza TZ pamoja na vyombo vyake vya usalama kama walihusika.

CDM wanamtuhumu Rais Magufuli ,kwa kutumia polisi na usalama wa taifa, kuhusika na shambulizi la Lissu.

Ili kuufanya huu uchunguzi FBI watataka kuwa na rekodi zote za mawasiliano (simu, txt, video za mikutano, na mbinu zote za mawasiliano, n.k.) kati ya askari na viongozi wote wa vyombo vya dola. Watataka kujua utendaji wao wa kikazi (modus operandi).

Kama hiki kitaruhusiwa kifanyike basi usalama wa tanzania utakuwa umekuwa compromized vibaya sana. Hivi nyie mnajua mnachokitaka kifanyike?
 
Mkuu hivi USA wana haja gani na kuichunguza Tz wakati details nyingi za Tz wanazo? teknolojia zote za vyombo vya ulinzi na usalama vya Tz zinatoka nje na zote kwa USA ni vitu vinavyjulikana kinagaubaga maana wao walishapitia hivyo makumi ya miaka iliyopita hivyo hatuna cha msingi saaaaaaaana cha kuwaficha.

Kwa taarifa yako tu USA wana taarifa za kila mtumiaji wa computer hii ni kwa kuwa kwenye hard disk kuna namna ambayo USA wana access na taarifa zilizohifadhiwa humo wakitaka unalijua hili???

High tech co. zote za sillicon valley zina uhusiano mkubwa sana na vyombo kama CIA na FBI hivyo wao kupata taarifa si jambo kubwa saana unalijua hili!

Hivi kipindi kile cha ajali ya MV bukoba si Mkapa kupitia Jeshi la wanamaji wa Tz aliomba msaada South Africa???

Halafu scotland yard si walienda Kenya kipindi fulani kuchunguza mauaji kule na baadhi ya vyombo vya usalama vya Kenya vilichunguzwa??

We ulitaka chadema wahamishe magoli waseme mtuhumiwa wa mtu wao ni yule wanayeamini kuwa siye???

Mkuu thamani ya uhai wa mtu haiwezi kulinganishwa maslahi mufilisi ya siasa za hovyo zinazoendelea Tz, ni zawadi toka kwa Mungu!!
Bado huwezi kuruhusu FBI na CIA wajue kila kitu na mnavyopanga ulinzi wenu. Raisi analindwaje, analala wapi, wanawasilianaje kwa kutumia non-verbal communications, n.k.

Kama wanajua kila kitu mbona hawakuweza kumuua Gadafi kwa kupiga mabomu makazi yake. Aliuawa na Walibya wenyewe baada ya nchi ilipovamiwa.

Kwa hiyo kuficha mbinu za usalama wa taifa ni muhimu sana. Sasa ukiwaruhusu waje wapekue wenyewe humu ndani ni kwamba hata ule usiri mdogo tulionao utapotea. Ni rahisi kwao kuweka vitu vyao vya kurekodi kila kitu ndani ya maofisi ya vyombo vya dola. You can't be serious.
 
Hawa FBI na wengineo walikuja kuchunguza uhalifu uliotokea kwenye ubalozi na mauaji ya padiri. Hawakuja kuichunguza TZ pamoja na vyombo vyake vya usalama kama walihusika.

CDM wanamtuhumu Rais Magufuli ,kwa kutumia polisi na usalama wa taifa, kuhusika na shambulizi la Lissu.

Ili kuufanya huu uchunguzi FBI watataka kuwa na rekodi zote za mawasiliano (simu, txt, video za mikutano, na mbinu zote za mawasiliano, n.k.) kati ya askari na viongozi wote wa vyombo vya dola. Watataka kujua utendaji wao wa kikazi (modus operandi).

Kama hiki kitaruhusiwa kifanyike basi usalama wa tanzania utakuwa umekuwa compromized vibaya sana. Hivi nyie mnajua mnachokitaka kifanyike?

Mbona unajaribu kubadilisha hoja. Nani kasema kwamba watakuja kivichunguza vyombo vya usalama? Wao kazi yao ni kuchunguza tukio la uhalifu la kutaka kumuua Lisu. Sasa kama.kwenye uchunguzi wao wataona kuwa kuna uhusika wa vyombo vya usalama vya nchi watasema. Kama havihusiki pia watasema, huu uwoga unatoka wapi?
 
Usijitie hamnazo. Suspects hapa ni serikali, vyombo vya usalama TZ na CDM wenyewe.
 
P
Bado huwezi kuruhusu FBI na CIA wajue kila kitu na mnavyopanga ulinzi wenu. Raisi analindwaje, analala wapi, wanawasilianaje kwa kutumia non-verbal communications, n.k.

Kama wanajua kila kitu mbona hawakuweza kumuua Gadafi kwa kupiga mabomu makazi yake. Aliuawa na Walibya wenyewe baada ya nchi ilipovamiwa.

Kwa hiyo kuficha mbinu za usalama wa taifa ni muhimu sana. Sasa ukiwaruhusu waje wapekue wenyewe humu ndani ni kwamba hata ule usiri mdogo tulionao utapotea. Ni rahisi kwao kuweka vitu vyao vya kurekodi kila kitu ndani ya maofisi ya vyombo vya dola. You can't be serious.

Ok Kifyatu basi tusubiri uchunguzi ufanywe na vyombo vya dola vya Tz i.e. mtuhumiwa anajichunguza mwenyewe!! na bado tutapata report saafi kabisa isiyoegemea upande wowote!!

Kuhusu Gadafi kwani ni lini Gadafi alikuwa anawindwa na FBI na CIA?
 
Back
Top Bottom