Uhuru siyo kama marais wengine Afrika Mashariki, oneni

Uhuru siyo kama marais wengine Afrika Mashariki, oneni

Watafuta maneno na wakikuyu. Watakuja kukutukana.
Subiri

Suala la muhimu zaidi ya mimi kutukanwa au kutotukanwa, ni ukweli wa niliyoyasema.

Africa the bar is set so low jitu familia yake imeiba ardhi ya umma na kuihodhi ki imla kwa nusu karne, leo likifanya some token bs cutting of salaries na gov costs, salaries ambazo wezi hawa hata hawazihitaji, tunawasifia saana kwa uadilifu utafikiri katubu na kurudisha hiyo ardhi na dola milioni mia tano zake ambazo zimepatikana kwa wizi.
 
Nimeanza kumkubali uhuru kinyata taratibu,
juzi alionekana mtaani akiwa peke yake ananunua karanga kwa mtoto mmoja aliyekuwa anauza karanga akampa 2000 hata hakudai chenchi
sasa ameonekana arusha bla shamrashamra yeyote bg up kenyata

Hakuna geni hapa, hata shetani alimuendea Yesu na majaribu taliyosheheni neno la Mungu! Usisahau kwamba Idd Amin wa Uganda alifanya makubwa zaidi kwa kufikia kwenda sokoni na baiskeli na kushindana kuogelea na raia wa kawaida! Kenyata anaweza kuwa ameficha gharama kwa kumwaga usalama wa taifa kibao, na akifika Bongo anajua hilo ni jukumu letu, sasa lipi la ajabu? WATU WENGINE BWANA?!?!?!?!
 
https://www.facebook.com/notes/the-...and-ownership/175784218108?comment_id=6237770

Kenyatta Family Land Ownership
October 19, 2009 at 11:44am
We got this from the Mars Group website (www.marsgroupkenya.org)

7032_162909102266_6591772_a.jpg

The Kenyatta family own land that can resettle all the IDP's in Kenya

The growing land crisis in the country, experts say, will be difficult to solve because the most powerful people in the country are also among its biggest landowners. However, as we celebrate Kenyatta Day, one of Kenya's biggest land owners can help alleviate this crisis somewhat. The Kenyatta family should mark the day named after their patriarch, by donating some of the land they own to landless Kenyans.
When you consider how much land Kenya's first family really own, it's actually not too much of a request.

The Genesis of the Kenyatta Family Land Ownership
During Kenyatta's 15-year tenure in State House, there was an elaborate scheme funded by the World Bank and the British Government, the Settlement Transfer Fund Scheme, under which the family "legally" acquired large pieces of land all over the country. Yaani, the World Back and the former colonial government funded the ‘Settlement Transfer Fund Scheme' which was supposed to "buy" back land stolen by the colonial British government and give it back to Kenyans. Somehow, the Kenyatta family ended up owning hundreds of thousands of acres of land through this scheme.

The Land Ownership Breakdown

1. The extended Kenyatta family alone owns an estimated 500,000 acres of land in Kenya.

NB: Most of the holders of the huge parcels of land are concentrated within the 17.2 % part of the country that is arable. The remaining 80 % is mostly arid and semi arid land.
According to the Kenya Land Alliance, more than a half of the arable land in the country is in the hands of only 20 per cent of the 30 million Kenyans. That has left up to 13 per cent of the population absolutely landless while another 67 per cent on average own less than an acre per person.

2. The Kenyatta family also owns 24, 000 acres in Taveta sub-district (adjacent to the 74, 000 acres owned by former MP Basil Criticos).

3. Others are 50, 000 acres in Taita that is currently under Mrs Beth Mugo, Minister for Public Health & Sanitation and niece of the first President
4. They also own 29, 000 acres in Kahawa Sukari along the Nairobi Thika highway
5. 10, 000 acre Gichea Farm in Gatundu
6. A 5, 000 acre tract of land in Thika
7. 9,000 acres in Kasarani
8. 5, 000-acre Muthaita Farm.
9. The Brookside Farm, Green Lee Estate, Njagu Farm all in Juja (size unknown)
10. A quarry in Dandora in Nairobi
11. A 10, 000-acre ranch in Naivasha
12. A 52,000-acre farm in Nakuru
13. A 20,000-acre one, also known as Gichea Farm, in Bahati under Kenyatta's daughter, Margaret
14. A 10, 000 acre farm in Rumuruti owned by former first lady Mama Ngina
15. A 40,000 acre farm in Endebes, Rift Valley Province
16. A 1,000-acre farm in Dagoretti owned by Kenyatta's first wife Wahu

7032_162913582266_1726337_a.jpg

If this man is ever going to be a serious contender for president, he has to re-distribute the land his family owns

The acreage quoted in this report (Mars Group report) is not extracted from official government records there are none and those that exist are scattered and some cases incomplete but are estimates based on close to a year of interviews with farm staff, independent surveyors, Ministry of Lands experts and land rights NGOs.

Under President Kenyatta, most of the power wielders either formed or were associated with land buying companies through which they acquired huge chunks of land around the country, especially at the Coast and in Rift Valley. They took most of the land previously owned by the former white settlers, which had initially been earmarked for resettling those who had been turned into squatters by the colonial land policies.
 
Imekuwa ni tabia ya Uhuru Kenyatta rais wa Kenya kuishi maisha ambayo sio yaliozoeleka kwa viongozi wengine wa Africa..kwa sasa ni rais anaetembea na msafara mdogo sana kuliko wote E Africa pmoja na tishio la ugaidi kenya. Na wiki mbili zilizopita amekutwa akiwa na gari Moja na security details wanne akielekea hotelini kwenye kikao cha kifamilia, na alipo kuwa kwene trafic lights alimsalimia police, na watu wengine.

KIBOKO ni hii.
Jana amekuja tanzania kupitia Boda ya Namanga arusha na magari yasiyozidi nane (mengine ni ya serikali ya tanzania yaliyoenda kumpokea) na amesema baada ya kufungua bunge la Africa mashariki atarudi kenya kupitia boda ya Taveta ipo kilimanjaro rombo.

Ikumbukwe majuzi juzi rais huyu amejiondolea mshahara wake zaidi ya 20% na amewataka viongozi wa nyadhifa serikalini wapunguziwe 20%.

Ikumbukwe huyu rais hapendi kuzurura nchi za watu anaamini uchumi wa kenya sio yeye peke yake anaweza kuuinua ndio maana kadeligate power kwa waziri wa mashauriano ya kigeni..ana nguvu sana.

Lipo la kujifunza. Kenyatta sio limbukeni pengine ni kwa sababu ni mtoto wa aliekuwa rais wa kenya. Sijui but the guy ni gentleman hata uwezo wa kumanage diplomasia za nchi hizi masikini Tanzania, uganda, rwanda,burundi na kongo anaweza. Hana adui wa kudumu, hana rafiki wa kudumu. Ana maslahi ya kudumu.

Kazi kwa marais wengine Afrika Mashariki hasa rais wetu!
 
Hana shida ya pesa;
Ni matajiri waliobobea, yeye anachotaka ni umaarufu tu.
 
ninamkubali kenyatta. tofauti na kikwete, kenyatta ni mtu ambaye anajali wananchi wake kuliko obama. ni rais ambaye anajisimamia na hapendi sifa za kinafiki za marekani. NAHISI AIBU KUWA TZ INAYOONGOZWA NA FAMILIA YA WAUZA UNGA!
 
https://www.facebook.com/notes/the-...and-ownership/175784218108?comment_id=6237770

Kenyatta Family Land Ownership
October 19, 2009 at 11:44am
We got this from the Mars Group website (www.marsgroupkenya.org)

7032_162909102266_6591772_a.jpg

The Kenyatta family own land that can resettle all the IDP's in Kenya

The growing land crisis in the country, experts say, will be difficult to solve because the most powerful people in the country are also among its biggest landowners. However, as we celebrate Kenyatta Day, one of Kenya’s biggest land owners can help alleviate this crisis somewhat. The Kenyatta family should mark the day named after their patriarch, by donating some of the land they own to landless Kenyans.
When you consider how much land Kenya’s first family really own, it’s actually not too much of a request.

The Genesis of the Kenyatta Family Land Ownership
During Kenyatta’s 15-year tenure in State House, there was an elaborate scheme funded by the World Bank and the British Government, the Settlement Transfer Fund Scheme, under which the family “legally” acquired large pieces of land all over the country. Yaani, the World Back and the former colonial government funded the ‘Settlement Transfer Fund Scheme’ which was supposed to “buy” back land stolen by the colonial British government and give it back to Kenyans. Somehow, the Kenyatta family ended up owning hundreds of thousands of acres of land through this scheme.

The Land Ownership Breakdown

1. The extended Kenyatta family alone owns an estimated 500,000 acres of land in Kenya.

NB: Most of the holders of the huge parcels of land are concentrated within the 17.2 % part of the country that is arable. The remaining 80 % is mostly arid and semi arid land.
According to the Kenya Land Alliance, more than a half of the arable land in the country is in the hands of only 20 per cent of the 30 million Kenyans. That has left up to 13 per cent of the population absolutely landless while another 67 per cent on average own less than an acre per person.

2. The Kenyatta family also owns 24, 000 acres in Taveta sub-district (adjacent to the 74, 000 acres owned by former MP Basil Criticos).

3. Others are 50, 000 acres in Taita that is currently under Mrs Beth Mugo, Minister for Public Health & Sanitation and niece of the first President
4. They also own 29, 000 acres in Kahawa Sukari along the Nairobi Thika highway
5. 10, 000 acre Gichea Farm in Gatundu
6. A 5, 000 acre tract of land in Thika
7. 9,000 acres in Kasarani
8. 5, 000-acre Muthaita Farm.
9. The Brookside Farm, Green Lee Estate, Njagu Farm all in Juja (size unknown)
10. A quarry in Dandora in Nairobi
11. A 10, 000-acre ranch in Naivasha
12. A 52,000-acre farm in Nakuru
13. A 20,000-acre one, also known as Gichea Farm, in Bahati under Kenyatta’s daughter, Margaret
14. A 10, 000 acre farm in Rumuruti owned by former first lady Mama Ngina
15. A 40,000 acre farm in Endebes, Rift Valley Province
16. A 1,000-acre farm in Dagoretti owned by Kenyatta’s first wife Wahu

7032_162913582266_1726337_a.jpg

If this man is ever going to be a serious contender for president, he has to re-distribute the land his family owns

The acreage quoted in this report (Mars Group report) is not extracted from official government records there are none and those that exist are scattered and some cases incomplete but are estimates based on close to a year of interviews with farm staff, independent surveyors, Ministry of Lands experts and land rights NGOs.

Under President Kenyatta, most of the power wielders either formed or were associated with land buying companies through which they acquired huge chunks of land around the country, especially at the Coast and in Rift Valley. They took most of the land previously owned by the former white settlers, which had initially been earmarked for resettling those who had been turned into squatters by the colonial land policies.

Cc. Dhuks
Geza ulole
Mpendwa
Koborer
NairobiWalker
Nairoberry
Dr Job
 
vijana wa ufipa simulipeleka jeshi la ardhini kumnadi Odinga!!! na kulikoni leo hii huyu mnamuona tunu wakati mnapiga vita Ridh1 kugombea charinze? au kenya mtoto wa rais kugombea ruksa ila tanzania hamtaki! hili ndo linafanya muonekane kwa jamii kuwa wala hamjui munafanya nini na tatizo ni viroba ambavyo babu yenu anaviabudu.

Kenyata hakupata Uongozi kwa Nguvu ya Babaake Alipambana Tofauti ya hapa kwenu munachagua kwa kufikiria Pilau,,!
 
Kenyata hakupata Uongozi kwa Nguvu ya Babaake Alipambana Tofauti ya hapa kwenu munachagua kwa kufikiria Pilau,,!

Ni kweli. Uhuru aliingia kwenye siasa miaka mingi baada ya babake kufa, hivyo alijipambania. Tofauti na Ridhiwani ambaye sasa yuko mgongoni kwa Kikwete pale Chalinze
 
makubwa leo jamii inasifia mtoto wa rais uwiii huku kwenu mnawanyanyapaa, wapi ridhiwani

Watu wanachopinga kutumia mgongo wa BaBaake! UHURU KENYATA kapambana Mwenyewe ukichukulia wakenya kwenye mambo ya SIASA wengi wao wanaufahamu Hawachagui Mizoga km hapa kwetu! Mtu akitembeza Pilau na Kofia tayari anafaa kuwa Kiongozi,SHAME,,,,,,!
 
Siku wakimripua ndio mtajua kama ubora wa Rais unaonekana kwa kuji expose mitaani
 
A plane was about to crash and
there were only four parachutes on
the plane. Meanwhile there were
five people on it. The first person,
Lionel Messi, said, "I'm the world's
best footballer right now, I cant die
now!"
So he took one of the parachutes
and left. The second person, Bill
Gates, said, "I'm the richest man on
Earth, I can't die now, I'm needed in
the world!"
So he took the second parachute
and left. The third was the
Tanzanian President and he said,
"I'm the smartest President in the
world, so I cant die now, my people
still need me!"
So he took one and left.
Then it was left with the Pope and a
little school girl. The Pope said to
the little girl, "Take the last one, I'll
sacrifice my life for you."
The little girl replied, "No need for
that, There are two parachutes left."
The pope asked her, "How come?"
The little girl replied, "The
Tanzanian President took my school
bag." Ndio Huyu wa kwetu???
duh! mkuu umeua ina maana RAIS wa Tz alikuwa mjinga mpaka akachukua school bag instead of parachute ...maskinin kikwete jamani hana damu ya kupendwa huyu mbaba!!!! naye ka
zidi unafiki
 
Back
Top Bottom