mwache aendelee na safari maana ametuletea sifa sana, sasa hivi amevunja record ya vasco da gama kwa hiyo tumepata sifa.Rais wa tanzania afanye naye hivyo,asiwe mzigo kwa wanyonge
Maoni yangu ni kuwa tukutane Chalinze
sio hapendi kuzurura, hakuna wakumualika. nakumbuka alienda Urusi wala rais Putin hakuhangaika nae, na baada ya hapo akajipeleka China nako akapokelewa kwa kusuasua tu. Tofauti na Vasco Da gama wetu. mara kaalikwa Ufaransa, mara Obama kamualika, Mara kaitwa Yemen mara Rais wa china kaja, mara kaalikwa kwenye Economic forum conference and so on......
kwa kifupi ni watu wawili tofauti.
''Ikumbukwe huyu rais hapendi kuzurura nchi za watu anaamini uchumi wa kenya sio yeye peke yake anaweza kuuinua ndio maana kadeligate power kwa waziri wa mashauriano ya kigeni..ana nguvu sana.''
hapo kwenye magari nane siyo kweli nimeona msafara citizen tv. Baadhi wanalaumu kuwa na msafara mkubwa wa magari 40 toka Nairobi mpaka Namanga na walitumia lane zote mbili za barabara,maana yake barabara ilifungwa for almost 5 hours kupisha msafara.
rais wa tanzania afanye naye hivyo,asiwe mzigo kwa wanyonge
A plane was about to crash and
there were only four parachutes on
the plane. Meanwhile there were
five people on it. The first person,
Lionel Messi, said, "I'm the world's
best footballer right now, I cant die
now!"
So he took one of the parachutes
and left. The second person, Bill
Gates, said, "I'm the richest man on
Earth, I can't die now, I'm needed in
the world!"
So he took the second parachute
and left. The third was the
Tanzanian President and he said,
"I'm the smartest President in the
world, so I cant die now, my people
still need me!"
So he took one and left.
Then it was left with the Pope and a
little school girl. The Pope said to
the little girl, "Take the last one, I'll
sacrifice my life for you."
The little girl replied, "No need for
that, There are two parachutes left."
The pope asked her, "How come?"
The little girl replied, "The
Tanzanian President took my school
bag." Ndio Huyu wa kwetu???
riz hana makuu kijana wa watu,walivumisha,''ooh amekodi helcopter mgodini afanyie kampeni''.makubwa leo jamii inasifia mtoto wa rais uwiii huku kwenu mnawanyanyapaa, wapi ridhiwani
A plane was about to crash and
there were only four parachutes on
the plane. Meanwhile there were
five people on it. The first person,
Lionel Messi, said, "I'm the world's
best footballer right now, I cant die
now!"
So he took one of the parachutes
and left. The second person, Bill
Gates, said, "I'm the richest man on
Earth, I can't die now, I'm needed in
the world!"
So he took the second parachute
and left. The third was the
Tanzanian President and he said,
"I'm the smartest President in the
world, so I cant die now, my people
still need me!"
So he took one and left.
Then it was left with the Pope and a
little school girl. The Pope said to
the little girl, "Take the last one, I'll
sacrifice my life for you."
The little girl replied, "No need for
that, There are two parachutes left."
The pope asked her, "How come?"
The little girl replied, "The
Tanzanian President took my school
bag." Ndio Huyu wa kwetu???