Uhuru siyo kama marais wengine Afrika Mashariki, oneni

Uhuru siyo kama marais wengine Afrika Mashariki, oneni

Imekuwa ni tabia ya Uhuru Kenyatta rais wa Kenya kuishi maisha ambayo sio yaliozoeleka kwa viongozi wengine wa Africa..kwa sasa ni rais anaetembea na msafara mdogo sana kuliko wote E Africa pmoja na tishio la ugaidi kenya. Na wiki mbili zilizopita amekutwa akiwa na gari Moja na security details wanne akielekea hotelini kwenye kikao cha kifamilia, na alipo kuwa kwene trafic lights alimsalimia police, na watu wengine.

KIBOKO ni hii.
Jana amekuja tanzania kupitia Boda ya Namanga arusha na magari yasiyozidi nane (mengine ni ya serikali ya tanzania yaliyoenda kumpokea) na amesema baada ya kufungua bunge la Africa mashariki atarudi kenya kupitia boda ya Taveta ipo kilimanjaro rombo.

Ikumbukwe majuzi juzi rais huyu amejiondolea mshahara wake zaidi ya 20% na amewataka viongozi wa nyadhifa serikalini wapunguziwe 20%.

Ikumbukwe huyu rais hapendi kuzurura nchi za watu anaamini uchumi wa kenya sio yeye peke yake anaweza kuuinua ndio maana kadeligate power kwa waziri wa mashauriano ya kigeni..ana nguvu sana.

Lipo la kujifunza. Kenyatta sio limbukeni pengine ni kwa sababu ni mtoto wa aliekuwa rais wa kenya. Sijui but the guy ni gentleman hata uwezo wa kumanage diplomasia za nchi hizi masikini Tanzania, uganda, rwanda,burundi na kongo anaweza. Hana adui wa kudumu, hana rafiki wa kudumu. Ana maslahi ya kudumu.
JK HAJAWAHI KWENDA NCHI YOYOTE YA JIRANI KWA GARI!!!!!!Yeye ni pipa tuu hata morogoro mke wake anamkodishia helicopter ya polisi
 
Robo ya uchumi wa Kenya unashikiliwa na familia yake.Maeneo mazuri ya kilimo ya kikuyu kwa kiasi kikubwa sana yanamilikiwa na familia yake.
Alipotakiwa na ICC kutaja utajiri wake na jinsi alivyoupata alikataaa katakata kuutaja.
Hivyo kupunguza asilimia 20 ya mshahara wake sio issue kubwa.
Ningemsifia sana kama angetoa robo ya ardhi anayomiliki kwa watu masikini ili nao waweze kuwa na maeneo.

Hivi kesi ya Kenyatta kule ICC ina uhusiano gani na utajiri wake?

Tiba
 
Robo ya uchumi wa Kenya unashikiliwa na familia yake.Maeneo mazuri ya kilimo ya kikuyu kwa kiasi kikubwa sana yanamilikiwa na familia yake.
Alipotakiwa na ICC kutaja utajiri wake na jinsi alivyoupata alikataaa katakata kuutaja.
Hivyo kupunguza asilimia 20 ya mshahara wake sio issue kubwa.
Ningemsifia sana kama angetoa robo ya ardhi anayomiliki kwa watu masikini ili nao waweze kuwa na maeneo.

unaongea mambo makubwa sana hasa kwa sie tuliowahi kuishi kenya na kuifahamu familia ya kenyatta na utajiri wao ulio tupea ila tatizo unamwambia dogo wa memkwa
 
the richest man in Kenya, kwanini atake mshahara zaidi ya kipato anachokipata?? ni ajabu sana kuona watu wazima wakidangayika na pipi kijiti na kusahau nyama choma
 
Imekuwa ni tabia ya Uhuru Kenyatta rais wa Kenya kuishi maisha ambayo sio yaliozoeleka kwa viongozi wengine wa Africa..kwa sasa ni rais anaetembea na msafara mdogo sana kuliko wote E Africa pmoja na tishio la ugaidi kenya. Na wiki mbili zilizopita amekutwa akiwa na gari Moja na security details wanne akielekea hotelini kwenye kikao cha kifamilia, na alipo kuwa kwene trafic lights alimsalimia police, na watu wengine.

KIBOKO ni hii.
Jana amekuja tanzania kupitia Boda ya Namanga arusha na magari yasiyozidi nane (mengine ni ya serikali ya tanzania yaliyoenda kumpokea) na amesema baada ya kufungua bunge la Africa mashariki atarudi kenya kupitia boda ya Taveta ipo kilimanjaro rombo.

Ikumbukwe majuzi juzi rais huyu amejiondolea mshahara wake zaidi ya 20% na amewataka viongozi wa nyadhifa serikalini wapunguziwe 20%.

Ikumbukwe huyu rais hapendi kuzurura nchi za watu anaamini uchumi wa kenya sio yeye peke yake anaweza kuuinua ndio maana kadeligate power kwa waziri wa mashauriano ya kigeni..ana nguvu sana.

Lipo la kujifunza. Kenyatta sio limbukeni pengine ni kwa sababu ni mtoto wa aliekuwa rais wa kenya. Sijui but the guy ni gentleman hata uwezo wa kumanage diplomasia za nchi hizi masikini Tanzania, uganda, rwanda,burundi na kongo anaweza. Hana adui wa kudumu, hana rafiki wa kudumu. Ana maslahi ya kudumu.

Angerudisha japo 20% ya ardhi ya Kenya ningemuona wa maana sana. Hicho ki 20% cha mshahara wa Urais hakimtoshi hata kuendesha nyumba yake moja kwa nusu siku.

Changa la macho.
 
sixgates ni mapema sana kuanza kumsifia mkikuyu UK.give him more time in power i bet you'll see his true ruling colours.
linganisha miaka ya mwanzo ya JK madarakani na alivyo hivi sasa utajuwa namainisha nini.
 
Last edited by a moderator:
A plane was about to crash and
there were only four parachutes on
the plane. Meanwhile there were
five people on it. The first person,
Lionel Messi, said, "I'm the world's
best footballer right now, I cant die
now!"
So he took one of the parachutes
and left. The second person, Bill
Gates, said, "I'm the richest man on
Earth, I can't die now, I'm needed in
the world!"
So he took the second parachute
and left. The third was the
Tanzanian President and he said,
"I'm the smartest President in the
world, so I cant die now, my people
still need me!"
So he took one and left.
Then it was left with the Pope and a
little school girl. The Pope said to
the little girl, "Take the last one, I'll
sacrifice my life for you."
The little girl replied, "No need for
that, There are two parachutes left."
The pope asked her, "How come?"
The little girl replied, "The
Tanzanian President took my school
bag." Ndio Huyu wa kwetu???

Nilikuwa sijacheka toka asubuhi, hahaha hiiiiiii hihi hii
 
Msafara ni wa gari 40...na Ruto alimsindikiza hadi namanga halafu akarudi Nairobi
 
Akina January Makamba hawajui hata kinachoendelea,posibly hata mwenye nyumba hajui kuwa kwanini hawa wakenya ni makini kuliko hata sisi.
 
Nini tena Mpwa wangu? Nimeuliza tu kuwa Ndio Huyu wetu au pengine ni aliyepita???

Yaani mkuu umeua ile mbaya eti jamaa anajisevia begi la shule akifikri ni parachute? Aibu ya mwaka!!
 
Citizen ni tv ya Kenya na wametangaza kuwa Uhuru ameenda Arusha tz na msafara wa magari 40 sasa wewe juha wa mtaa Ufipa unakataa nini?

Mkuu Mingoi wanakushangaa wenzako..toka lin mimi nikawa wa ufipa,infact kwenye andiko langu nimesema africa mashariki lakini. Naona hii post ni kama jiwe limetupwa gizani
 
Last edited by a moderator:
Elli post yako ni kiboko imesambaa sana leo
 
Last edited by a moderator:
ImageUploadedByJamiiForums1395773653.041104.jpg
 
Pres. Kenyatta nadhani wakenya watamkubali , atakuja kupita kwenye uchaguzi ujao bila kupingwa!
 
A plane was about to crash and
there were only four parachutes on
the plane. Meanwhile there were
five people on it. The first person,
Lionel Messi, said, "I'm the world's
best footballer right now, I cant die
now!"
So he took one of the parachutes
and left. The second person, Bill
Gates, said, "I'm the richest man on
Earth, I can't die now, I'm needed in
the world!"
So he took the second parachute
and left. The third was the
Tanzanian President and he said,
"I'm the smartest President in the
world, so I cant die now, my people
still need me!"
So he took one and left.
Then it was left with the Pope and a
little school girl. The Pope said to
the little girl, "Take the last one, I'll
sacrifice my life for you."
The little girl replied, "No need for
that, There are two parachutes left."
The pope asked her, "How come?"
The little girl replied, "The
Tanzanian President took my school
bag." Ndio Huyu wa kwetu???

not funny ..
 
Back
Top Bottom