Uhuru siyo kama marais wengine Afrika Mashariki, oneni

Uhuru siyo kama marais wengine Afrika Mashariki, oneni

and the fun thing is,original author wa ile post ya ndg Elli ambayo imefunika thread yako wala siyo huyo Elli.
alichofanya ni ku- edit tu paragraph na kuongeza rais wa tz as the character in the story.
next time ni jambo la busara pia kwa post kama ile kuweka source/link ya kule ulikoitoa kuliko kuichakachua tu na kuileta jf ili ujichukulue ujiko wa bure.
people should be aware that jf ni jumba la ma-GT.tunapo amua ku-google tuna-google kama hatuna akili nzuri.lol

check this out : www.akposjokes.com/joke/smart-president-1
ni kweli sio mimi, nimeikopi tu mahali wala sio mimi,

CC: sixgates
 
Last edited by a moderator:
Ushawahi kufuatilia na kujua utajiri alionao huko Kenya?! Huo Mshahara ni peanut kwake....infact hahitaji huo Mshahara kuendeshea maisha yake na anaweza hata kutopokea senti moja still akaongoza vyema tu! Kwake yeye value ya Uprezidenti inamata zaidi kuliko ela. Lakini pia anastahili pongezi kwa kujaribu kuonyesha Kivitendo namna ya kubana MATUMIZI.
 
....
Lipo la kujifunza. Kenyatta sio limbukeni pengine ni kwa sababu ni mtoto wa aliekuwa rais wa kenya. Sijui but the guy ni gentleman hata uwezo wa kumanage diplomasia...

Nimeelewa uliporushia hilo jiwe, japo ulilirusha kitambo!
 
Back
Top Bottom