Uhuru siyo kama marais wengine Afrika Mashariki, oneni

kweli kabisa. haya makenge yanayomsifia kenyata yaende kuishi huko kenya.

Hii ni mada tu, so itakuwa na wapingaji hivyo sio lazima na wewe uunge mkono ndugu yangu mbona mnapenda kujipa stress ambazo hazina kichwa wala miguu! Hay msifie kikwete roho yako itulie
 
wakenya wanaubaguzi sana wa kikabila. na wakenya wanachukia sana watanzania...kuna usemi wa moi aliokuwa akipenda kuusema kuhusu nairobi na kenya kuwa kwa mgeni yoyote atakaeingia nairobi lazima aache pesa kwa mmoja kati ya hawa watoto wake watatu watundu. nao ni VIBAKA, POLISI AU MACHANGUDOA... hiyo ndio kenya mnayoisifia... wakenya wana maisha magumu sana nairobi ni shida tupu mpaka ikaitwa NAIROBERY!
 
Hii ni mada tu, so itakuwa na wapingaji hivyo sio lazima na wewe uunge mkono ndugu yangu mbona mnapenda kujipa stress ambazo hazina kichwa wala miguu! Hay msifie kikwete roho yako itulie

huyo kenyata mnaemsifia ni ukabila tu umembeba.. nendeni kwa wajaluo muone wanavyomchukia... hamna nchi wananchi wake wanateseka east afrika kama kenya
 
Mrugaruga hata nikikusamehe huwezi kujisamehe wewe mwenyewe.

Mara hii nishakuwa Ridhi one.

You are one nutcase.

Bila shaka utakuwa shabiki wa Manchester untd au kama sio basi utakuwa arsenal maana siku hizi hawa watu wana hasira kali sana! Jamani hapa tunapotezea muda kwa kujifurahisha tu haina maana kugombana, sorry once again
 
Bila shaka utakuwa shabiki wa Manchester untd au kama sio basi utakuwa arsenal maana siku hawa watu wana hasira kali sana! Jamani hapa tunapotezea muda kwa kujifurahisha tu haina maana kugombana, sorry once again

I don't watch or follow soccer Mrugaruga.

There you go again with your shallow assumptions.

Kama kijijini kwenu kila mtu ama ni mshabiki wa Manchester ama Arsenal basi unafikiri kila mtu ana ushabiki na mchezo huu.

Unazidi kujidhihirisha kuwa u mtupu.
 
huyo kenyata mnaemsifia ni ukabila tu umembeba.. nendeni kwa wajaluo muone wanavyomchukia... hamna nchi wananchi wake wanateseka east afrika kama kenya

Duhh kazi ipo, hivi nikikuulzia unioneshe comment yangu ambayo nimemsifia uhuru utanionesha?
 
I don't watch or follow soccer Mrugaruga.

There you go again with your shallow assumptions.

Kama kijijini kwenu kila mtu ama ni mshabiki wa Manchester ama Arsenal basi unafikiri kila mtu ana ushabiki na mchezo huu.

Unazidi kujidhihirisha kuwa u mtupu.

I'm wasted time to argue with VOYEUR! Tukutane kwenye mada ingine badae
 
Kuna watu hii mada imewauma sana utazani huwa wanaenda kupanga mstali ikulu ili wapate mahitaji yao muhimu! Hebu acheni complain za kijinga fanya kazi zako mkono uende kinywani, huyo Uhuru wala kikwete hawezi kukuletea mkate humu, ukereketwa gani wa kitoto huo. Mchana mwema
 
"I'm wasted time".

Hilarious.

You will do well to enroll in some basic language classes.

For both Swahili and English.
 
1395827427318.jpg
 
Kwa taarifa yako wabongo wote wanapanga mstari Ikulu kwa namna moja ama nyingine.

Halafu since umenivisha cheo cha kifimbocheza, "utazani" si neno, neno sahihi ni "utadhani". Pia "mstali" si neno, neno sahihi ni mstari. Inaonekana una tatizo la kuweka r panapotakiwa l na l panapotakiwa r.

Inawezekana una a dyslexic condition, magonjwa ya akili mengi sana hayawi diagnosed.
 
Imekuwa ni tabia ya Uhuru Kenyatta rais wa Kenya kuishi maisha ambayo sio yaliozoeleka kwa viongozi wengine wa Africa..kwa sasa ni rais anaetembea na msafara mdogo sana kuliko wote E Africa pmoja na tishio la ugaidi kenya. Na wiki mbili zilizopita amekutwa akiwa na gari Moja na security details wanne akielekea hotelini kwenye kikao cha kifamilia, na alipo kuwa kwene trafic lights alimsalimia police, na watu wengine.

KIBOKO ni hii.
Jana amekuja tanzania kupitia Boda ya Namanga arusha na magari yasiyozidi nane (mengine ni ya serikali ya tanzania yaliyoenda kumpokea) na amesema baada ya kufungua bunge la Africa mashariki atarudi kenya kupitia boda ya Taveta ipo kilimanjaro rombo.

Ikumbukwe majuzi juzi rais huyu amejiondolea mshahara wake zaidi ya 20% na amewataka viongozi wa nyadhifa serikalini wapunguziwe 20%.

Ikumbukwe huyu rais hapendi kuzurura nchi za watu anaamini uchumi wa kenya sio yeye peke yake anaweza kuuinua ndio maana kadeligate power kwa waziri wa mashauriano ya kigeni..ana nguvu sana.

Lipo la kujifunza. Kenyatta sio limbukeni pengine ni kwa sababu ni mtoto wa aliekuwa rais wa kenya. Sijui but the guy ni gentleman hata uwezo wa kumanage diplomasia za nchi hizi masikini Tanzania, uganda, rwanda,burundi na kongo anaweza. Hana adui wa kudumu, hana rafiki wa kudumu. Ana maslahi ya kudumu.

Kingine ambacho umesahau kuhusu kenyata ni bangi anapuliza ile mbaya, alafu swala la kuwa na msafara mcdogo wa magari ni kwajili ya kupata privace ya kufanya mambo yake ya kupiga mirungi/Bangi.

Msafara wake ni mdogo kuliko hata wa CDM jamaa anastahili pongezi kweli.
 
Imekuwa ni tabia ya Uhuru Kenyatta rais wa Kenya kuishi maisha ambayo sio yaliozoeleka kwa viongozi wengine wa Africa..kwa sasa ni rais anaetembea na msafara mdogo sana kuliko wote E Africa pmoja na tishio la ugaidi kenya. Na wiki mbili zilizopita amekutwa akiwa na gari Moja na security details wanne akielekea hotelini kwenye kikao cha kifamilia, na alipo kuwa kwene trafic lights alimsalimia police, na watu wengine.

KIBOKO ni hii.
Jana amekuja tanzania kupitia Boda ya Namanga arusha na magari yasiyozidi nane (mengine ni ya serikali ya tanzania yaliyoenda kumpokea) na amesema baada ya kufungua bunge la Africa mashariki atarudi kenya kupitia boda ya Taveta ipo kilimanjaro rombo.

Ikumbukwe majuzi juzi rais huyu amejiondolea mshahara wake zaidi ya 20% na amewataka viongozi wa nyadhifa serikalini wapunguziwe 20%.

Ikumbukwe huyu rais hapendi kuzurura nchi za watu anaamini uchumi wa kenya sio yeye peke yake anaweza kuuinua ndio maana kadeligate power kwa waziri wa mashauriano ya kigeni..ana nguvu sana.

Lipo la kujifunza. Kenyatta sio limbukeni pengine ni kwa sababu ni mtoto wa aliekuwa rais wa kenya. Sijui but the guy ni gentleman hata uwezo wa kumanage diplomasia za nchi hizi masikini Tanzania, uganda, rwanda,burundi na kongo anaweza. Hana adui wa kudumu, hana rafiki wa kudumu. Ana maslahi ya kudumu.

safi sana viongozi wengine waige toka kwake
 
Kama nchi za Afrika Mashariki zingeamua kuwa taifa moja basi, kwa maoni yangu, mtu ambaye kwa sasa angefaa kuliko wote kuwa Rais wake wa kwanza ni Uhuru Kenyatta. Wa pili kwa ubora ni Kagame. Wa tatu ni Museveni. Wengine wawili waliobaki hawangefaa hata kidogo.

Rais Uhuru Kenyatta anapigania muungano wa Afrika Mashariki kama alivyokuwa anapigania Mwalimu. Na kama alivyofanya Mwalimu, amepunguza mishahaara ya viongozi.

In a way, it is unfair, to JMK, to compare him with those who are completely out of his league.
 
Kwa taarifa yako wabongo wote wanapanga mstari Ikulu kwa namna moja ama nyingine.

Halafu since umenivisha cheo cha kifimbocheza, "utazani" si neno, neno sahihi ni "utadhani". Pia "mstali" si neno, neno sahihi ni mstari. Inaonekana una tatizo la kuweka r panapotakiwa l na l panapotakiwa r.

Inawezekana una a dyslexic condition, magonjwa ya akili mengi sana hayawi diagnosed.

Nashkuru kwa kugundua tatizo langu maana ata hospital ilishindikana! Nitatafuta tiba mapema mno ili nisiendelee kuku bore! Hapo vp doc naelewa somo au bado? Nikosoe tu naitaji kujua
 
"I'm wasted time".

Hilarious.

You will do well to enroll in some basic language classes.

For both Swahili and English.

Napenda sana watu wa kujitolea kama wewe ili me nijifunze hivo naomba nishkuru kwani uliacha mambo yako muhimu ambayo yangeingiza ata 100, lakini ukawa na kiherehere,kimuhemuhe bila kusahau muwasho hadi ukanielekeza mambo muhimu! Asante tena
 
Save the backhanded compliments to slopokes
My punishment is corporal
I'm cut from a different cloth
Cooked from a different broth
When I go in overdrive
You won't stay alive
I don't do it, I overdo it
Like Jada, I'll send my thugs to do it
In a black Buick
 
Back
Top Bottom