Uhuru siyo kama marais wengine Afrika Mashariki, oneni

Hii ni mada tu, so itakuwa na wapingaji hivyo sio lazima na wewe uunge mkono ndugu yangu mbona mnapenda kujipa stress ambazo hazina kichwa wala miguu! Hay msifie kikwete roho yako itulie

Sure thing
 
Kila Mtanzania lazima awe mlinzi wa mipaka ya nchi yetu-kama vile ilivo vigumu kutangaza mapungufu ya familia yako na iwe vigumu kutangaza mapungufu ya nchi yako-Katiba ndo hiyoo,uchaguzi mwakani mbona fursa zipo tuu pambana,rekebisha mambo mfunike kikwete.Sio kutuletea milinganyo isiyo na tija
 
Hiyo milinganyo isiyo na tija mwambie mtoa mada me ni mchangiaji tu kama walivyo wengine so usijifanye muongeaji mzuri kupitia comment ya mwenzio, andika yako watu wachangie sio, kila mmoja awe mlinzi wa mipaka ya nchi sasa wanaoishi mikoa ya kati walinde nini sasa!!!!!
 
Save the backhanded compliments to slopokes
My punishment is corporal
I'm cut from a different cloth
Cooked from a different broth
When I go in overdrive
You won't stay alive
I don't do it, I overdo it
Like Jada, I'll send my thugs to do it
In a black Buick

Waswahili wanasemaga "MAREHEMU MCHOKOZI" so kwa jinsi ulivyoniganda unanipa wasi wasi maaana utazani ulimuahidi mtu aone jinsi unavyojua kuandika kupitia mimi! Nisamehe bure ili ufanye mambo ya maendeleo sio kutia ujuaji humu unazani wanatoa tuzo kwa waandishi wazuri.... Endelea kusoma English course inaonesha upo katika majaribio ila samahani kayafanyie kwingine sio kwangu. VOYEUR
 
Ungetaka msamaha kweli usingetoa snotty remarks.

Unavyonijibu kwa nyodo ni kama unaomba niendelee kuku discipline, huku unajidai kuomba msamaha.
 
Kwa mbaali naona kampeni zinapigwa kwa akina MAKONGORO, DR. MWINYI et al
 
Ungetaka msamaha kweli usingetoa snotty remarks.

Unavyonijibu kwa nyodo ni kama unaomba niendelee kuku discipline, huku unajidai kuomba msamaha.

Nikuombe msamaha me nakujua me hapo najua naongea na mtoto hivo razima katika maongezi yangu nichanganye na ufuta ili uendelee kuwashwa!
 
"Razima", hahaha.

Halafu we kichwapanzi kweli, unaomba msamaha post moja, halafu nyingine unabeza kuniomba msamaha.

To the list of conditions afflicting you you may want to add Attention Deficit Disorder and early Alzheimer's for detection.

Si wewe uliyeandika

Nisamehe bure ili ufanye mambo ya maendeleo

Ushasahau mara hii?
 
Razima, hahaha.

Halafu we kichwapanzi kweli, unaomba msamaha post moja, halafu nyingine unabeza kuniomba msamaha.

To the list of conditions afflicting you you may want to add Attention Deficit Disorder and early Alzheimer's for detection.

Si wewe uliyeandika

Ushasahau mara hii?

Na wewe umesahau Kuwa nafanya hivo tu kwa sababu najua naongea na mtoto hivo lazima nikuchanganyie utamu! Ulivyo mtoto ukiona neno samahan unavimba kichwa umesahau kama kuku nayeye ni ndege japokuwa haishi kwenye kiota
 
Achen kupumbazwa na media za kikenya,Uhuru kaingia ikulu kwa pesa haramu na anajitahid kujisafisha ili aonekane mtu katka watu na n baada ya kutoungwa mkono na mataifa meng tajiri,,,jiulize mshahara wake n kiasi gan afu ndo uanze kufanya comparson sio kusema sema paspo kujua kama yy ndo rais anaekula mshahara mkubwa kulko marais wote Africa ya Masharik

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Imekuwa ni tabia ya Uhuru Kenyatta rais wa Kenya kuishi maisha ambayo sio yaliozoeleka kwa viongozi wengine wa Africa..kwa sasa ni rais anaetembea na msafara mdogo sana kuliko wote E Africa pmoja na tishio la ugaidi kenya. Na wiki mbili zilizopita amekutwa akiwa na gari Moja na security details wanne akielekea hotelini kwenye kikao cha kifamilia, na alipo kuwa kwene trafic lights alimsalimia police, na watu wengine.

KIBOKO ni hii.
Jana amekuja tanzania kupitia Boda ya Namanga arusha na magari yasiyozidi nane (mengine ni ya serikali ya tanzania yaliyoenda kumpokea) na amesema baada ya kufungua bunge la Africa mashariki atarudi kenya kupitia boda ya Taveta ipo kilimanjaro rombo.

Ikumbukwe majuzi juzi rais huyu amejiondolea mshahara wake zaidi ya 20% na amewataka viongozi wa nyadhifa serikalini wapunguziwe 20%.

Ikumbukwe huyu rais hapendi kuzurura nchi za watu anaamini uchumi wa kenya sio yeye peke yake anaweza kuuinua ndio maana kadeligate power kwa waziri wa mashauriano ya kigeni..ana nguvu sana.

Lipo la kujifunza. Kenyatta sio limbukeni pengine ni kwa sababu ni mtoto wa aliekuwa rais wa kenya. Sijui but the guy ni gentleman hata uwezo wa kumanage diplomasia za nchi hizi masikini Tanzania, uganda, rwanda,burundi na kongo anaweza. Hana adui wa kudumu, hana rafiki wa kudumu. Ana maslahi ya kudumu.

ana mazuri yake kwa ushapu wake kiuchumi na kuwekeza kwenye siasa kidogo tofauti na hapa kwetu...lakini watz tunaoenda sana kusifia vya wenzetu hata kama ukweli haupo jana nimeangalia citizen tv kenyatta kaenda arusha na msafara wa magari 40...wakenya wenyewe walikua wanalalamika
 
Imekuwa ni tabia ya Uhuru Kenyatta rais wa Kenya kuishi maisha ambayo sio yaliozoeleka kwa viongozi wengine wa Africa..kwa sasa ni rais anaetembea na msafara mdogo sana kuliko wote E Africa pmoja na tishio la ugaidi kenya. Na wiki mbili zilizopita amekutwa akiwa na gari Moja na security details wanne akielekea hotelini kwenye kikao cha kifamilia, na alipo kuwa kwene trafic lights alimsalimia police, na watu wengine.

KIBOKO ni hii.
Jana amekuja tanzania kupitia Boda ya Namanga arusha na magari yasiyozidi nane (mengine ni ya serikali ya tanzania yaliyoenda kumpokea) na amesema baada ya kufungua bunge la Africa mashariki atarudi kenya kupitia boda ya Taveta ipo kilimanjaro rombo.

Ikumbukwe majuzi juzi rais huyu amejiondolea mshahara wake zaidi ya 20% na amewataka viongozi wa nyadhifa serikalini wapunguziwe 20%.

Ikumbukwe huyu rais hapendi kuzurura nchi za watu anaamini uchumi wa kenya sio yeye peke yake anaweza kuuinua ndio maana kadeligate power kwa waziri wa mashauriano ya kigeni..ana nguvu sana.

Lipo la kujifunza. Kenyatta sio limbukeni pengine ni kwa sababu ni mtoto wa aliekuwa rais wa kenya. Sijui but the guy ni gentleman hata uwezo wa kumanage diplomasia za nchi hizi masikini Tanzania, uganda, rwanda,burundi na kongo anaweza. Hana adui wa kudumu, hana rafiki wa kudumu. Ana maslahi ya kudumu.
haya ndiyo mambo ya kuongea si malumbano na kushabikia waasi!
 
Huu ni mwanzo tu, ngoja aelewe kuwa yeye ni nani!
 
Uhuru is a visionary. Mungu Baba amuongezee uhai na afya njema aendelee kuongoza nchi yake. He's selfless, articulate and composed.
 
Tatizo kuu Tanzania ni elimu. Ukosefu wa elimu nzuri unawatoa viongozi limbukeni wakijidhania ni wajanja kwa kujipima na wananchi wao. Akizungumza Kiingereza cha Msimbazi na Bush aona yeye sasa ni world statesman! Hili ni tatizo kubwa. Kwanza tutengeneze elimu ya kweli.
 
Uhuru mtoto wa Ikulu kitambo aogopi na pia jamaa ukitaja mafia wa Kenya yumo anajua fitna zote za Wakenya na jinsi za kuzi handle , pia hela anazo siyo za kuunga unga hapana na pia jamaa anakula sn mmea hope inamuongezea confidence.
 
burning ganja it keep him calm,and make him smarter.Also, ganja is the king of the forest Babylon they don't like it.it is a healing of the nation i bet you never know
 
Back
Top Bottom