Uhuru katika Mahusiano?

KWELI kabisa yaani...unaweza piga TU simu ulalamike mi naona hunipendi..Basi unabembelezwa...
Huyu yeye anasema Kama umepiga Simu kulalamika KATA TU SIMU...

Naona hapa nijiongeze tu
Duuh!.. pole mweeeh.
Uyo ka ingekua mimi nkikata ndo sipigi teeena.
Hata kama naumia. Hamna namna.

Sent from my Redmi 5 using JamiiForums mobile app
 
Mmh aisee kazi unayo
 
si ndo mnachopenda mkuu? manake mwanaume akikuletea bebi kam beki tu mii nyingi mnaanza oooh huyu mwanaume wa Dar...au ukaksi umezidi?
 
Hatuna huo Muda wakukaa....chini..ameshasafiri kikazi..SIJUI KWELI SIJUI SIO KWELI... Ila Mimi nishaweka effort ... ambayo response imekuwa Negative.

So, nikiweka more pressure haitosaidia KITU...MAPENZI huwa yanaflow TU...hayaitaji nguvu nyingi
Huyo jamaa ana mtu wake lazima

Wewe ni second or third rated
 
Mmh hapo umeingia chaka dadaangu
 
Ukitaka uhuru kuwa single, ukishaingia kwenye mahusiano unakuwa umeuza uhuru.

Huwezi kuwa kwenye mahusiano na ukawa huru, huwa haviendi pamoja hivi vitu.
Sure thing ..ukiwa ktk mahusiano it means nusu ya Maisha yako umekubali kumpatia mwenzako
 
Daahh pole Sana [emoji1786][emoji1786] huyo upendo Hana huwenda ilikuwa alikutamani tu .. au Ni type ya wale wanaume wanao amini kwenye Violence ego and the likes ..wakiwa in relationship huwa wanapenda kutawala wenzao hawapendi majadiliano Wala masikilizano .... Inshort umeuvaa mkenge
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] anakuuliza hivyo !??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…