Uhuru katika Mahusiano?

Uhuru katika Mahusiano?

Kwa hiyo hakuna mapenzi bila uongo [emoji16][emoji16][emoji16]

mm najua hivo nijuavyo

Tufanye t yameisha
Hilo n sahihi kabsa Leo kesho
Na amin hakuna mapenz bila uongo
[emoji16][emoji16]
 
Mimi Siwezi kaa siku nzima... kimya I am a caring person... What I give I expect... essential kwa mtu ambae alifanya kila namna kunihakikishia kuwa ananipenda...so I blindly believed him

Sijui why people do the things they do.. am baffled... Why should you go to Xtreme to show someone you love them but just to toy with their hearts.
Girl it's simple....leave!
 
Dalili ya mvua ni mawingu.Kuna sehemu nimekuja kunywa bia moja sasa nimeangalia angani ghafla naona mawingu yametanda,sijui hata home nitarudije.

𝐁𝐢𝐧𝐚𝐝𝐚𝐦𝐮 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐞 𝐚𝐭𝐚𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐲𝐚𝐤𝐰𝐞𝐩𝐚 𝐦𝐚𝐩𝐞𝐧𝐳𝐢 𝐡𝐮𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐚𝐤𝐚𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐟𝐮𝐫𝐚𝐡𝐚 𝐳𝐚𝐢𝐝𝐢
 
Dalili ya mvua ni mawingu.Kuna sehemu nimekuja kunywa bia moja sasa nimeangalia angani ghafla naona mawingu yametanda,sijui hata home nitarudije.

𝐁𝐢𝐧𝐚𝐝𝐚𝐦𝐮 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐞 𝐚𝐭𝐚𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐲𝐚𝐤𝐰𝐞𝐩𝐚 𝐦𝐚𝐩𝐞𝐧𝐳𝐢 𝐡𝐮𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐚𝐤𝐚𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐟𝐮𝐫𝐚𝐡𝐚 𝐳𝐚𝐢𝐝𝐢
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...... Nikae tayari tayari..
 
Pole sana karembo, jipe thamani wewe Kwanza ndipo utaona huyo mtu hafai hata wewe kukuumiza namna hii

Mimi bhana nina dharau au sijui ndo kiburi sihangaikagi na mbwa aina hiyo uliyonayo,,
 
Miezi michache iliopita nilipata mwanaume ana tabia za ovyo ovyo kama huyo, nikimpigia simu anakasirika na badae akipiga ni ugomvi tu hata lugha ya mahaba hana. Nilichagua tu kuendelea na maisha mengine yaani usikubali mtu akuhangaishe.
Hahahah pole sana aisee.
 
Pole sana karembo, jipe thamani wewe Kwanza ndipo utaona huyo mtu hafai hata wewe kukuumiza namna hii

Mimi bhana nina dharau au sijui ndo kiburi sihangaikagi na mbwa aina hiyo uliyonayo,,
Hahahaha eti mbwa dah...jamaa angekusikia angekung'ata tu
 
Hatuna huo Muda wakukaa....chini..ameshasafiri kikazi..SIJUI KWELI SIJUI SIO KWELI... Ila Mimi nishaweka effort ... ambayo response imekuwa Negative.

So, nikiweka more pressure haitosaidia KITU...MAPENZI huwa yanaflow TU...hayaitaji nguvu nyingi
Hasa ukiwa na mtu anayekupenda in the same manner.
 
MTEME dunia yenyewe hatuishi milele wakati mwingine unaweza jinyima furaha ya kweli kwa fala mmoja hivi. Mi demu akinipenda huwa namheshimu na napokea simu zake muda wowote ule. Ni dharau kuacha kupokea simu ya mpenzi wako. Hakuna uhuru kwenye mapenzi ndio maana mnatiana.
Hahahah kweli eeh
 
Hayo Mapenzi ya KUOMBA msamaha... Hujakosea siyawezi...kubembeleza tu bila sababu Siwezi..Mimi pia nahitaji kuoneshwa hayo Mapenzi...Siwezi toa TU bila kupokea.
Bembeleza ww acha ununda😂😂😂
 
Hata sisi pia usipompenda mtu Simu na sms zake Ni kero... Ila tatizo ALINIAMINISHA Sana kuwa ananipenda... Yaani SANA...kumbe LOOOH it was a lie
Bora hata ungekuwa na mimi yani 😍 ila pole sana achana na hio sungura tope
 
Back
Top Bottom