Uhovyo wa wachache umetufikisha hapa

Uhovyo wa wachache umetufikisha hapa

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
618
Reaction score
726
"Zamani 'siku' zilikuwa za wanawake tu, mwanamke akisema haoni siku zake, watu walielewa. Siku hizi, wanaume nao tuna 'siku' zetu, tuna hasira, tunalia ovyo, tunahitaji chocolate na attention… karibia tutahitaji pads!" — Alloyce, P.R. 😄
 
IMG_0734.jpeg
 
Huoni aibu kutukana all men Kwa kutafuta tu engagement mtandaoni,wewe ni dhaifu sifa ya kuwa mwanaume kamili ni kupotezea baadhi ya mambo ya kijinga uyaonayo.

Tangu lini mwanaume akalilia chocolate,
Tangu lini mwanaume akaingia kwenye siku zake.

Acha upumbavu
 
NOMA SANA.....

Crying is a therapy, dont forget jesus wept and brother so can you...
 
Huoni aibu kutukana all men Kwa kutafuta tu engagement mtandaoni,wewe ni dhaifu sifa ya kuwa mwanaume kamili ni kupotezea baadhi ya mambo ya kijinga uyaonayo.

Tangu lini mwanaume akalilia chocolate,
Tangu lini mwanaume akaingia kwenye siku zake.

Acha upumbavu
Ukiacha kukurupuka utaelewa.
 
Milango ya Taasisi ya Magonjwa ya Afya ya Akili - Mirembe haijafungwa.
"Zamani 'siku' zilikuwa za wanawake tu, mwanamke akisema haoni siku zake, watu walielewa. Siku hizi, wanaume nao tuna 'siku' zetu, tuna hasira, tunalia ovyo, tunahitaji chocolate na attention… karibia tutahitaji pads!" — Alloyce, P.R. 😄
 
NOMA SANA.....

Crying is a therapy, dont forget
Ni kweli, Yesu aliwahi kulia, lakini hakuweka calendar ya kila mwezi ya kulia. Hakulilia kila jambo dogo, wala hakufanya machozi kuwa lifestyle. Tena alilia kwa huzuni ya msiba, si kwa sababu "hakupigiwa simu" au "kwa story ya mpenzi Instagram."

Naongelea mwelekeo wa kizazi cha wanaume waliosahau misingi ya uvumilivu, wamekumbatia udhaifu kama utambulisho, na wanatafuta faraja kwa emojis badala ya kusimama kama nguzo ya familia.

Ndiyo, crying can be therapy, lakini kama kila siku ni therapy, basi kuna matatizo zaidi ya machozi.
 
Mada zako nyingi nazisoma zimejaa u***ge Sana
Huo ndio uhovyo sasa, wewe unachotetea hapo ni kitu gani, ndio maana wakati mwingine naweka mada za kingereza humu kuepuka watu wasiowaelewa kama wewe humu. Mnakuwaga na mikurupuko sana.
 
"Zamani 'siku' zilikuwa za wanawake tu, mwanamke akisema haoni siku zake, watu walielewa. Siku hizi, wanaume nao tuna 'siku' zetu, tuna hasira, tunalia ovyo, tunahitaji chocolate na attention… karibia tutahitaji pads!" — Alloyce, P.R. 😄
Ukweli mchungu, watakataa watakusema ila ndio ukweli.

Hapa jf angalia tu MMU mada nyingi za kulilia lilia mapenzi ni wanaume, mara wanawake mna dharau mara hamjali mara sijui nini yani ni kujiliza tu kijinga.

Wanaume wengi wameamua kuishi uelekeo tofauti na wanavyopaswa kuishi, hii hali inapunguza kama sio kuondoa "uanaume" ndani yenu. Mnafanya tuwaone hamna tofauti na sisi hamjui tu.
 
Shukrani sana Evelyn Salt 🙏🙏
 
Mwanaume unapost "birthday loading...." 😂😂😂

Siku hiyo ni kurepost tu status za waliokuwish daaah vitu vya kidada kabisa, tena vidada vya chuo ambavyo vinaishi kwenye ulimwengu wa uongo
 
Huo ndio uhovyo sasa, wewe unachotetea hapo ni kitu gani, ndio maana wakati mwingine naweka mada za kingereza humu kuepuka watu wasiowaelewa kama wewe humu. Mnakuwaga na mikurupuko sana.
Kiingereza kinasaidia nini,wewe ni mtumwa wa fikra unayedhani uelewa wa mambo ni kujua kiingereza.

Watu wengi wajuzi na wataalamu wengi naofanya nao kazi wengi hawajui kiingereza, hata wakiongea ni broken tu,

Lakini ndiyo hao waliofanya Nyerere hydro power stations, kuonekana,

Wamefanya Standard gauge railway,ndiyo hiyo inafanya kazi,lakini pia architectures wengi wanaongea lugha za kwao lakini ndiyo hao wanasimamisha towers nyingi kwenye mataifa mengi.

Hoja yako ya kiingereza ni mfu nyie ndiye mmechangia pakubwa vitengo mbalimbali zimejaa watu wasio na ujuzi Kwa kuongea tu lugha isiyo na mantiki yeyote.

R.I.P Magufuli
 
Duh! Umehamia tena huko mkuu 😂😂😂 tuliza kichwa na hii👇👇👇

Sijahama,najaribu kukutoa kwenye jela ya fikira Kwa kudhani lugha ya kigeni inafanya mtu aonekane smart kichwani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom