Ni kweli, Yesu aliwahi kulia, lakini hakuweka calendar ya kila mwezi ya kulia. Hakulilia kila jambo dogo, wala hakufanya machozi kuwa lifestyle. Tena alilia kwa huzuni ya msiba, si kwa sababu "hakupigiwa simu" au "kwa story ya mpenzi Instagram."
Naongelea mwelekeo wa kizazi cha wanaume waliosahau misingi ya uvumilivu, wamekumbatia udhaifu kama utambulisho, na wanatafuta faraja kwa emojis badala ya kusimama kama nguzo ya familia.
Ndiyo, crying can be therapy, lakini kama kila siku ni therapy, basi kuna matatizo zaidi ya machozi.