Habari zenu Wana wa Jamii forum? Ni matumaini yangu kuwa wote mnaendelea vizuri na pirikapirika za utafutaji mkate wa kila siku.
Bila kupoteza muda Leo acha nitowe hoja ya kizushi. Wanawake wengi ila sio wote wa Kafrika au weusi kwa ujumla hawajui maana ya kupenda. Wengi wao wanaigiza kupenda ili wajikwamuwe kimaisha. Mwanamke wa Kiafrika akitaka kukuonyesha upendo sana sana atakununulia zawadi, hata yeye, akinunuliwa zawadi au akipewa pesa basi anajuwa anapendwa.
Wanawake wengi weusi wanajua kupendwa maana yake ni kupewa vitu au kuwa saidia kuwatoa kwenye umasikini. Mimi nayasema haya kutokana na uzoefu wangu wa kuwa na mausiano ya ki mapenzi na wanawake kutoka katika mabara matatu. Yaani kutoka Asia, North America na Europe. Yes wapo wanawake wachache wa Kiafrika kupenda kweli. Hata wanaume wengi wa Kiafrika wanajua kupenda nikuhudumia, na kutunza.
Baada ya kusoma comments za watu nimeona watu wengi wanataka kujuwa nini kifanyike ili wabadilike au wa jifuze kupenda kiuhalisia bila kuigiza. Kwanza kabisa sisi mwanadamu tuna uwezo wa kitu kimoja ambacho wanyama wengine wote Hawana. Kitu hicho kinaitwa freedom of choice. Au free will au uhuru wa kuchaguwa. Kila binadam anao uhuru wa kuchaguwa. Uhuru huo tume pewa na muumba wetu. Na hakuna kitu chochote chenye uwezo wa kuupoka. Binadam wabaya wanaweza kuupunguza ila sio kuuchukuwa wote, haiwezekani. Sasa basi mtu ili uweze kupenda kwanza unaanza kuipenda mwenyewe. Kuijipenda haimanishi kujinunuria vitu vizuri au kujifurahisha kwa kufanya anasa za kila Aina. Kujipenda maana yake ni kujitambuwa. Wewe ni nani bila kuhusisha vitu ulivyo navyo. Watu weusi kwa ujumla tulipoteza uwezo kujitambuwa kutokana na biashara utumwa na utawala wa kikoloni wa mda mlefu. Watu weusi bila kujari wanaishi wapi, hawajui thamani zao bila kuhusisha material wealth walio kuwa nayo. Mtu mweusi akiwa masikini haoni thamani yake yeye kama binadam. Hii inatokana na mafundisho yenye misingi ya utumwa na ukoloni. Kipindi cha utumwa watu weusi walikuwa wanauzwa kama bidhaa . Na thamani zao zilikuwa inatokana na uwezo kufanya kazi. Physical fitness. Vipindi vyote vya utumwa na ukoloni ili mtu mweusi aweze kuthaminiwa alitakiwa awe na Mali, au madaraka au vitu vyovyote vyenye thamani machoni machoni mwa wakoloni na wamiliki wa watumwa. Shida hata baada ya utumwa na ukoloni kuisha hakuna hatuwa zilizo chukuliwa kuifuta thanna ya utumwa na ukoloni kwenye taasisi za elimu na utawala. Hivyo hata wasomi hawezi kuondoa mind set za kiutumwa na kikoloni. Mtu anayejipenda kwanza anajipenda yeye mwenyewe kama alivyo. Na hufanya kila awezalo kukaa kama alivyo ubwa bila kubadili kitu. Yaani hujilinda kimwili na kiakiri kubaki original. Hilo ni la kwanza. Lapili mtu anaye jipenda hututenga mda wa kukaa peke yake na kutafakali ni kitu gani kina mfurahisha na kina mpa Amani. Yeye kama yeye bila kujari watu wengine wanasema je. Hiyo itakusaidia kujiwekea miiko na mipaka katika kila kitu afanyacho. Aliye jitambuwa hawezi kufanya vitu vya ujinga kama kupaka mkologo, hawezi kuipokea wala kutowa rushwa. Au kukubali kuhongwa kwa aina yoyote au kwa kusudi lolote. Unapo kubali kufanya kitu kwa sababu kupata kitu ambacho hukifanyia kazi au hukupaswa kupewa. Unakuwa umeidhurumu nafusi yako kitu mhim Sana. Yaani unapoteza free will yako. Unapoteza uwezo kufanya maamuzi sahihi yanayo endana nafusi yako.