Ninawasalimka ndugu wajumbe.
Ninatafuta mtaalamu wa Kompyuta kwa Dodoma. Komyuta yangu imekuwa na changamoto inapowashwa hai-display chochote. Kama yuko fundi humu kwa upande wa Dodoma tunaweza kuwasiliana PM, ikiwa kuna mtu anamfahamu fundi mikini nitashukuru kupata mwongozo tafadhali!