mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,432
ukipata jibu na mie unitagi aisee!You heard ndio nini?
Haha eti anapaliwaaaSoudy ananipa raha sana umbea hadi anapaliwa
Ni kipindi cha Soudy brown habari za umbea( ushilawadu) kinachorushwa kupitia Clouds fm radio!You heard ndio nini?
ukipata jibu na mie unitagi aisee!
Anasoma kozi ganiSijui kwanini wameachana walikua wanaonekana wanapendana
huyo Florah katika course zote kaona hiyo ndiyo nzuri kusomea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha umbea nawewe unauweza?Hahahahahha soudy brown nitafute uniajiri maaana najihisi hiyo kazi n iwezaaa
Hahaha mkali wao! Ulitusua lakini??? Au ulikosa mwana na maji ya motoDah huwa najutia sana nafasi niliyopotezaga kubinjuka NA huyo binti....tukiwa o level kalikuwa kana ni mind kichiz kwa vile nilikuwa mtabe class ....she's zilikuwa zinamwangika tu kwangu sema ndio hivyo nikajifanya John kisomo (eti mgumu)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan wameachana. Jaman nlikuwa naipenda hiyo couple na watoto wao.Sijui kwanini wameachana walikua wanaonekana wanapendana
huyo Florah katika course zote kaona hiyo ndiyo nzuri kusomea?
Sent using Jamii Forums mobile app