Uheard leo tarehe 18/08/2017 Flora Mvungi na Hbaba

Dah huwa najutia sana nafasi niliyopotezaga kubinjuka NA huyo binti....tukiwa o level kalikuwa kana ni mind kichiz kwa vile nilikuwa mtabe class ....she's zilikuwa zinamwangika tu kwangu sema ndio hivyo nikajifanya John kisomo (eti mgumu)

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkali wao! Ulitusua lakini??? Au ulikosa mwana na maji ya moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba mtu aliyefungwa hiyo video anipe muhtasari maana sitaki kupoteza mb zangu bure

Simpi Kiki kunguni wa mwendokasi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom