Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,331
- 8,254
Nimekwenda ofisi kama tatu za watu binafsi nimeshindwa kupata huduma kwa kutumia kitambulisho cha passport eti hakitambuliki. Yaani kitabu hakitambuliki?
Ni kweli karne ya 22 kuna baadhi ya ofisi hazitambui kama passport ya kusafiria ni kitambulisho.
Wananiambia hicho hakitambuliki sisi hapa tunahitaji NIDA na kitambulisho cha MPIGA kura.
Kweli nimeshangaa nimejisemea hiki sasa ni nini. Nimetamani kuutangazia uma palepale kuitambua passport kama kitambulisho kwenye ofisi zote za serikali na binafsi.
Passport na NIDA kipi ni kitambulisho.
Uhamiaji tusaidieni ni kwanini passport haitumiki kama National Identification card baadhi ya ofisi.

Kitambulisho cha Taifa, Passport nini cha muhimu zaidi?
Kitambulisho cha Taifa nini umuhimu wake kwa walio tayari na vitambulisho vingine vinavyotambuliwa kitaifa hata kimataifa? Kuna wenye Passport ambayo humvusha nje ya Tanzania Kitambulisho cha mpiga kura nacho kinaonyesha uzawa wa mwenye kumiliki Driving licence nisingependa kukiambatanisha na...
www.jamiiforums.com