Uhalisia wa nyimbo hii ya SIKULAUMU iliyoimbwa na Triple S

Frustration

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
3,095
4,059
Habari a jioni wana ndugu wote wa jamiiforum na pole kwa changamoto za maisha za hapa na pale.

Leo nakuja na kisa cha mwanamke mmoja ambaye alifukuzwa kazi na hatimae kwa hasira akaenda studio kurekodi nyimbo ili kutoa ya moyoni.

Ni stori inayotia simanzi kiasi chake hasa ukiwa na moyo wa binadamu.

Mwanamke huyu anaitwa Suraiya S .Saidi na anatumia Triple S kama jina lake la usanii.

Kitaaluma ni nurse na hajapata bahati ya kuajiliwa katika taasisi yoyote. Awali alikuwa anajitolea kwenye hospitali ya serikali na alipata kudumu kwa miaka 4.

Sababu ya yeye kwenda kujitolea hapo ni kuombwa na daktari wa hospitali hiyo kuenda kusaidia katika kutibu wagonjwa kutokana na uchache wa watumishi katika hospitali hiyo

Siku moja kuna mwanamke alikuja kwa ajili ya kupata huduma katika hospitali hiyo na hiyo siku mwanamke huyu(Triple S) hakuwa kazini.

Kwa maelezo ni kuwa mwanamke aliyekuja kupata huduma hakuhudumiwa kisa hakuwa na hela hali iliyopelekea hali yake kuwa tete.

Bahati mbaya hiyo siku viongozi toka mkoani walitembelea hospitali hiyo na kwa ujasiri yule mwanamke alitoa kero yake kwa viongozi.

Basi yule daktari aliyekuwa siku hiyo alitakiwa aende kwenye ofisi za wilaya akajieleze sababu ya kutomhudumia mgonjwa. Yule daktari alimwangushia jumba bovu Triple S kuwa yeye ndie aliyemfukuza. Na alienda mbali kueleza kuwa binti anajitolea na hana ujuzi mwingi hasa katika care.

Kwa maelezo hayo ilipelekea Triple S afukuzwe kazi ya kujitolea na hadi sasa anapambana mtaani kilimo na Music.
Nyimbo aliyoimba kwa ubaya aliofanyiwa ni hiyo hapo.

NYIMBO YAKE YA PILI NI HII
 
We donlucchese angalia ya pili na ukibisha nitakupa ya tatu ila tambua mwanzo ni mgumukwa kwa kila msanii na wote wananyimbo zao kabla ya kutoka kimziki
 
Habari a jioni wana ndugu wote wa jamiiforum na pole kwa changamoto za maisha za hapa na pale.
Leo nakuja na kisa cha mwanamke mmoja ambaye alifukuzwa kazi na hatimae kwa hasira akaenda studio kurekodi nyimbo ili kutoa ya moyoni.
Ni stori inayotia simanzi kiasi chake hasa ukiwa na moyo wa binadamu.
Mwanamke huyu anaitwa Suraiya S .Saidi na anatumia Triple S kama jina lake la usanii.
Kitaaluma ni nurse na hajapata bahati ya kuajiliwa katika taasisi yoyote. Awali alikuwa anajitolea kwenye hospitali ya serikali na alipata kudumu kwa miaka 4.
Sababu ya yeye kwenda kujitolea hapo ni kuombwa na daktari wa hospitali hiyo kuenda kusaidia katika kutibu wagonjwa kutokana na uchache wa watumishi katika hospitali hiyo
Siku moja kuna mwanamke alikuja kwa ajili ya kupata huduma katika hospitali hiyo na hiyo siku mwanamke huyu(Triple S) hakuwa kazini.
Kwa maelezo ni kuwa mwanamke aliyekuja kupata huduma hakuhudumiwa kisa hakuwa na hela hali iliyopelekea hali yake kuwa tete.
Bahati mbaya hiyo siku viongozi toka mkoani walitembelea hospitali hiyo na kwa ujasiri yule mwanamke alitoa kero yake kwa viongozi.
Basi yule daktari aliyekuwa siku hiyo alitakiwa aende kwenye ofisi za wilaya akajieleze sababu ya kutomhudumia mgonjwa. Yule daktari alimwangushia jumba bovu Triple S kuwa yeye ndie aliyemfukuza. Na alienda mbali kueleza kuwa binti anajitolea na hana ujuzi mwingi hasa katika care.
Kwa maelezo hayo ilipelekea Triple S afukuzwe kazi ya kujitolea na hadi sasa anapambana mtaani kilimo na Music.
Nyimbo aliyoimba kwa ubaya aliofanyiwa ni hiyo hapo

NYIMBO YAKE YA PILI NI HII
Kumbe umetumwa um promote dada musician nurse.
 
Sikiliza triple s, mi nakupenda nataka nikuoe
Unata kumpenda Triple S? Huyu hapa

IMG-20220331-WA0007.jpg

58ba7816d7ad4c8eadf8b8aec2efb7e5.jpg
 
Back
Top Bottom