No PT maana yake ni PIGA TU!
Hahahaha! Aisee yaani linaleta maana kabisa!! Kumbe Pinda alkuwa anakumbushia tu!!
No PT maana yake ni PIGA TU!
nahisi nimewahi kuona gari za jwtz zinatumia MT, hii inakuwaje
Escort 1,2- Usalama wa Taifa (Walinzi wa Rais)
Cs - Chief Secretary
State Car- Ikulu
2371 JW 15. Namba ya gari-JWTZ-kisha mwaka uliosajiliwa
J21- Jaji wa 21
S - Spika
MT - Magereza Tanzania
SM - Seriakali ya Manispaa
SU - Shirika la Umma
una uhakika Escort 2 ni ya Rais?usiropoke usilolijua!!
Siku za hivi karibuni nimeona MT .......
T CD 560 EAC
Gari no 560 la Jumuiya ya Afrika Mashariki.Laweza kuwa la ofisa ubalozi au la ubalozi wenyewe
T CD EACJ J1
Gari la Jaji Number 1 Mahakama ya Jumuiya ya Afr. Mash
T CD M1 EAC
Gari lililombeba Katibu Mkuu Jum Afrika Mashariki.Laweza kuwa lake binafsi au la ubalozi.
NB: Gari lolote la Ubalozi lenye tarakimu M1 hilo ni la Kiongozi Mkuu wa Ubalozi huo.Akiwemo katika gari basi lazima iwepo bendera.
Kwa ujumla ukitoa gari za EAC pekee, number zote za kibalozi zina mfumo ufuatao.
T 247 CD 5
T = Tanzania
247= Number ya usajili wa ubalozi
CD = Commissioned Diplomat
Mf. T 258 CD 1458 ni gari ya ICTR ya 1458.
NB: ICTR ndio ubalozi wenye magari mengi yenye number za kibalozi Tanzania.
AFCHPR J1
Gari ya judge number moja ya Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu.
Maswali yanakaribishwa.
magereza tz mthayo magari toka msumbiji.
una uhakika Escort 2 ni ya Rais?usiropoke usilolijua!!
Kijana pole sana. Wasomi leo wamekuwa WAJINGA!
DFP ni Donor Funded Project. Zamani zilikuwa ni TX.
ST ni Serikali ya Tanzania. Hapo sasa zipo ST, STA hadi sasa kuna STL. Ni muendelezo wa namba tu.
ST47A hizi ni namba za magari ya Ikulu ya serikali ya Tanzania.
SM ni serikali za mitaa. Haya ni magari ya halimashauri.
SU ni shirika la Umma.
MT Magereza Tanzania
PT ni Polisi Tanzania.
Angalau kwa Ufupi tu.