Uhalali wa plate namba za magari

Uhalali wa plate namba za magari

Kijana pole sana. Wasomi leo wamekuwa WAJINGA!

DFP ni Donor Funded Project. Zamani zilikuwa ni TX.

ST ni Serikali ya Tanzania. Hapo sasa zipo ST, STA hadi sasa kuna STL. Ni muendelezo wa namba tu.

ST47A hizi ni namba za magari ya Ikulu ya serikali ya Tanzania.

SM ni serikali za mitaa. Haya ni magari ya halimashauri.

SU ni shirika la Umma.

MT Magereza Tanzania

PT ni Polisi Tanzania.

Angalau kwa Ufupi tu.

Kuna zile za ikulu zimeandikwa kabisa "STATE CAR"
 
Mkuu kuna: T9CD9
JW 9
RAC 9
T9EAC9
J9


Kijana pole sana. Wasomi leo wamekuwa WAJINGA!

DFP ni Donor Funded Project. Zamani zilikuwa ni TX.

ST ni Serikali ya Tanzania. Hapo sasa zipo ST, STA hadi sasa kuna STL. Ni muendelezo wa namba tu.

ST47A hizi ni namba za magari ya Ikulu ya serikali ya Tanzania.

SM ni serikali za mitaa. Haya ni magari ya halimashauri.

SU ni shirika la Umma.

MT Magereza Tanzania

PT ni Polisi Tanzania.

Angalau kwa Ufupi tu.
 
zamani ilikua GT= Government of Tanzania, wakabadili na kua ST= Serikali ya Tanzania, ikafuatia na initial "A" sasa imefikia "L" , DFP= Donor Funded Project. mnisamehe kama nitakua nimewalisha matango, anayejua zaidi anisaidie
 
Nina masikitiko makuu dhidi ya wachangiaji na nakuomba uwe na subira ewe uliyeomba kujuzwa najua hawa wamedhamiria mzaha za ila bahati mbaya kwa upeo wao hawakutambua kuwa wewe hukuja kimzaha!
 
Naombeni ufafanuzi wadau katika namba za magari hizi zinamaanisha nini?
DFP
STJ
STK
STL
ST inafuata namba lisha A

DFP ni Donor Funded Project, ST(J,K,J) ni Serikali ya Tanzania - hizo herufi zinazofuatia ni kiuendeleza usajli baada ya herufi ya mwanzo kujaa, ST halafu A ni serikali ya tanzania lakini specific kwa intelligence unit

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
LHD= Left hand drive
RHD=Right hand drive
Hii ni alama inayo mjulisha dereva kuwa usukani upo upande gani, au atumie barabara upande wa kushoto/kulia. Mafano ukienda DRC wanatumia LHD, hapa kwetu tunatumia RHD.
 
PT=PANDA TWENDE POLISI
SU=SOMA ULE
KUB=KAMBI YA UPINZANI BUNGENI
JW=JESHI LA WANANCHI TANZANIA
SMZ=SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.
Ngoja nikumbuke zingine kwa Kishindo.
 
S=Spika
J=Jaji
JK=Jaji Kiongozi

................
................
..............
 
Salaam,
sina hakika kama hii kitu ilishawahi zungumziwa humu au la...kama tayari basi itakuwa vyema sana kama ntapata link ya thread hiyo..ila kama bado ningependa kwa wanaofahamu hizi namba huwa zinamaanisha nini??

STK
STJ
STL
na zinginezo....

mi nazifahamu hizi tu:
SU: Shirika la Umma (sina hakika kama niko sahihi au lah)
SMZ: Serikali ya Mapinduzi Zanzibar..

Hizi zingine zinamaanisha nini wadau...??!
 
hizo namba kutofautisha jipya na lazamani km wanavyofanya kwenye magari ya kawaida. Ukiona leo hii STL ujue jipya kabisa ukiona STH ujue lazamani na limechoka kweli kweli
 
Back
Top Bottom