Uhalali wa plate namba za magari

Uhalali wa plate namba za magari

Naombeni ufafanuzi wadau katika namba za magari hizi zinamaanisha nini?
DFP
STJ
STK
STL
ST inafuata namba lisha A

Kijana pole sana. Wasomi leo wamekuwa WAJINGA!

DFP ni Donor Funded Project. Zamani zilikuwa ni TX.

ST ni Serikali ya Tanzania. Hapo sasa zipo ST, STA hadi sasa kuna STL. Ni muendelezo wa namba tu.

ST47A hizi ni namba za magari ya Ikulu ya serikali ya Tanzania.

SM ni serikali za mitaa. Haya ni magari ya halimashauri.

SU ni shirika la Umma.

MT Magereza Tanzania

PT ni Polisi Tanzania.

Angalau kwa Ufupi tu.
 
Ahsante, hata mimi mengine nilikuwa sijui kirefu chake
Kijana pole sana. Wasomi leo wamekuwa WAJINGA!

DFP ni Donor Funded Project. Zamani zilikuwa ni TX.

ST ni Serikali ya Tanzania. Hapo sasa zipo ST, STA hadi sasa kuna STL. Ni muendelezo wa namba tu.

ST47A hizi ni namba za magari ya Ikulu ya serikali ya Tanzania.

SM ni serikali za mitaa. Haya ni magari ya halimashauri.

SU ni shirika la Umma.

MT Magereza Tanzania

PT ni Polisi Tanzania.

Angalau kwa Ufupi tu.
 
Naombeni ufafanuzi wadau katika namba za magari hizi zinamaanisha nini?
DFP
STJ
STK
STL
ST inafuata namba lisha A

STL, ni muendelezo wa series za namba za serikali. Walianza STA, STB, STC, STD, STE, STF, STG, STH, STJ, STK na sasa STL, Wakikamilisha magari 10000, watahamia STM, then STN, kama hawatabadilisha mtiririko huo kwa kila magari 10000, basi siku moja utasoma STZ!! Hiyo ST, ni magari ya State House.

Kijana pole sana. Wasomi leo wamekuwa WAJINGA!

DFP ni Donor Funded Project. Zamani zilikuwa ni TX.

ST ni Serikali ya Tanzania. Hapo sasa zipo ST, STA hadi sasa kuna STL. Ni muendelezo wa namba tu.

ST47A hizi ni namba za magari ya Ikulu ya serikali ya Tanzania.

SM ni serikali za mitaa. Haya ni magari ya halimashauri.

SU ni shirika la Umma.

MT Magereza Tanzania

PT ni Polisi Tanzania
.

Angalau kwa Ufupi tu.

Hapo kwenye redi ni PIGA TWENDE! au PIGA TU! au PIGENI TUWAKOMESHE! kwa mujibu wa Mheshimiwa Pinda-bungeni
 
Najiuliza lengo la mleta uzi, sipati jibu.

Hapa kijana alitaka kupata elimu wewe huelewi nini? Hapa kuna makundi mawili yaani waelimisha au watoa taarifa na waelimishwaji au wapokea taarifa. Msikatishe watu tamaa vijana wanahitaji kukua.
 
Nimekusoma
 
Back
Top Bottom