Uhalali wa plate namba za magari

https://www.jamiiforums.com/habari-...amba-za-hili-gari-ni-sahihi.html#post13868823
Nimekutana na magar manne tofauti, yana registration number tofauti na hizi tulizozizoea, ila kwenye plate number kuna bendera ndogo ya tanzania, kuonyesha imesajiliwa tanzania, gari la kwanza plate number yake imeanzia TCDN101 ( sina uhakika na number) nyingine ni TJNN111(toyota GX110) mengine nimesahau ila usajili wake upo dizaini hiyo.... Je huo mfumo wa registration number ni kwa ajili ya magar gan?

Hii tulishajadili humu.......na wataalamu wakasema.......ni namba kabla ya namba halisi.......yaani badala ya chassis number siku hizi ni hizo.......

https://www.jamiiforums.com/habari-...amba-za-hili-gari-ni-sahihi.html#post13868823
 
Nimekutana na magar manne tofauti, yana registration number tofauti na hizi tulizozizoea, ila kwenye plate number kuna bendera ndogo ya tanzania, kuonyesha imesajiliwa tanzania, gari la kwanza plate number yake imeanzia TCDN101 ( sina uhakika na number) nyingine ni TJNN111(toyota GX110) mengine nimesahau ila usajili wake upo dizaini hiyo.... Je huo mfumo wa registration number ni kwa ajili ya magar gan?

Well,
Hii ni plate number, anasema number plate anakosea. Kurudi kwenye jibu lako nilipata kuuliza nikaambiwa ni namba za makampuni.

Yaani JNN au CDN ni vifupi vya majina ya makampuni. Hivi ndivyo nilivyojibiwa
 
Mithali 26:4-5.

Ukisoma hapo juu naomba upitie hapa https://en.m.wikipedia.org/wiki/Vehicle_registration_plate

Hiyo Mithali nimeshindwa kuipata kwa Sasa. Ila Wikipedia yako nimeisoma na sijaona cha tofauti ilichozungumzia zaidi ya kwamba inakubaliana na mimi nilichosema.

Ukweli mmoja ni kua kiengereza kuja kiswahili kinasomwa kinyume nyume mkuu. Hii Wikipedia inazungumzia plate, Sasa plate ya namba haitakua platennumber, bali kiengereza chake kitakua kinyume.
Yaani Number Plate = Plate ya Namba
Plate Number = Namba ya Plate.
Sio maswala ya Wikipedia mkuu, ni kanuni za kiengereza tu.
 
Nimekutana na magar manne tofauti, yana registration number tofauti na hizi tulizozizoea, ila kwenye plate number kuna bendera ndogo ya tanzania, kuonyesha imesajiliwa tanzania, gari la kwanza plate number yake imeanzia TCDN101 ( sina uhakika na number) nyingine ni TJNN111(toyota GX110) mengine nimesahau ila usajili wake upo dizaini hiyo.... Je huo mfumo wa registration number ni kwa ajili ya magar gan?

Hizo ni registration number za watu wenye 'showroom' au bonded warehouse.....inawarahisishia kutoa/kusafirisha magari kwani inalipiwa insurance.

Kila showroom au bonded warehouse wanakuwa na namba yao
 
Hiyo Mithali nimeshindwa kuipata kwa Sasa. Ila Wikipedia yako nimeisoma na sijaona cha tofauti ilichozungumzia zaidi ya kwamba inakubaliana na mimi nilichosema.

Ukweli mmoja ni kua kiengereza kuja kiswahili kinasomwa kinyume nyume mkuu. Hii Wikipedia inazungumzia plate, Sasa plate ya namba haitakua platennumber, bali kiengereza chake kitakua kinyume.
Yaani Number Plate = Plate ya Namba
Plate Number = Namba ya Plate.
Sio maswala ya Wikipedia mkuu, ni kanuni za kiengereza tu.

au number plate=kile kibati cha kuandikia namba
plate number=zile tarakimu
 
Hivi tarakimu zinahusisha na herufi pia? Nilifikiri tarakimu ni namba tu.
Ila Ahsante sana Mkuu. Sasa muuliza swali anauliza zile herufi + namba, jamaa mmoja pale juu anamwambia hizo ni number plate
 
Hiyo Mithali nimeshindwa kuipata kwa Sasa. Ila Wikipedia yako nimeisoma na sijaona cha tofauti ilichozungumzia zaidi ya kwamba inakubaliana na mimi nilichosema.

Ukweli mmoja ni kua kiengereza kuja kiswahili kinasomwa kinyume nyume mkuu. Hii Wikipedia inazungumzia plate, Sasa plate ya namba haitakua platennumber, bali kiengereza chake kitakua kinyume.
Yaani Number Plate = Plate ya Namba
Plate Number = Namba ya Plate.
Sio maswala ya Wikipedia mkuu, ni kanuni za kiengereza tu.

Uko sahihi mkuu
 
Je, iko sawa hii ya gari la mhe.John Magufuli lina plate number ya nyuma= Hapa kazi tu.
Plate number ya mbele= Magufuli.
 
Back
Top Bottom