Sijuwi mzee kingunge atakwenda wapi masikini ya mungu.
Kachambia gomba yule. Ukisikia kuzeeka vibaya ndio vile.
Kaukata mkono uliokuwa unamlisha.
Sijuwi mzee kingunge atakwenda wapi masikini ya mungu.
Hahaa..Marekani na Israel?. Sawa mkuu ngoja tukuache usiongee sana
Nimeshangaa Kweli.Katika hali ya kawaida database huwa replicated na copy kuhifadhiwa kwenye server tofauti.
Majimbo ni zaidi ya mia tatu matokeo mpaka sasa ni majimbo 13 tuu hakuna stronghold hata moja ya Lowassa iliyokwisha guswa mpaka sasa
Majimbo yako 264Majimbo ni zaidi ya mia tatu matokeo mpaka sasa ni majimbo 13 tuu hakuna stronghold hata moja ya Lowassa iliyokwisha guswa mpaka sasa
Acha kujibaraguza, mbona mie simtaki Lowassa? Hii ndio sababu imewafanya mpigwe kila kona kwa kujifanya hazimo bichwani mwenu/ Wewe unategemea mtu anaye simama kwa dakika mbili ashinde? How pathetic is that?watanzania wana hamu kuona na kusikia mgombea wa urais kupitia mwamvuli wa ukawa ndugu Edward lowasa ameshinda uchaguzi lakini matumaini yao yanazidi kuyeyuka baada ya kusikiliza vyombo vya habari....[itaendelea]
Mpaka sasa CCM imeshachukua majimbo 176 nchi nzima na pia imeyakomboa majimbo 12 yaliyochukuliwa na wapinzani miaka mitano iliyopita- January MakambaMajimbo ni zaidi ya mia tatu matokeo mpaka sasa ni majimbo 13 tuu hakuna stronghold hata moja ya Lowassa iliyokwisha guswa mpaka sasa
Siamini tanga lowasa kapata asilimia 38 only???
Ila Songea wamekua nyuma sana kimabadiliko. Check n balance imewashinda hawa ndugu zangu wangoni
Kilimanjaro, Pemba, Arumeru, Tanga tayari. Sasa sijui mnasubiri wapi zaidi
Kuna watoto huu ndo uchaguzi wao wa kwanza kushiriki hivyo mihemko ilikuwa juu sana ukijaribu kuwakumbusha unaambulia matusi. Slaa na Pro.Lipumba wangeshiriki kampeni Mikoa ya Kusini kwa Lipumba na Dr.Slaa mikoa ya kanda ya ZIWA hali ingekuwa mbaya sana kwa Ccm na kama Zitto angekuwa amekubaliwa kuwa Ukawa kama alivoomba Lowassa ili asaidie Magharibi hali ingekuwa si mchezo.