Uhakika wa Lowassa kushinda sasa ni mdogo

Kilimanjaro, Pemba, Arumeru, Tanga tayari. Sasa sijui mnasubiri wapi zaidi

Wewe Kichaa kilimanjaro ina majimbo mangapi ??? Limetajwa moja tu mshaanza kuchanganyikiwa kesho jioni saa 6 ndio tukutane hapa
 
Majimbo ni zaidi ya mia tatu matokeo mpaka sasa ni majimbo 13 tuu hakuna stronghold hata moja ya Lowassa iliyokwisha guswa mpaka sasa

Hahaaa! Fisi Anasubiri Mkono Udondoke....Haudondoki Hata Siku Moja.
 
1445881872166.jpg
 
watanzania wana hamu kuona na kusikia mgombea wa urais kupitia mwamvuli wa ukawa ndugu Edward lowasa ameshinda uchaguzi lakini matumaini yao yanazidi kuyeyuka baada ya kusikiliza vyombo vya habari....[itaendelea]

Usihofu, atashinda 67%
 
Hiyo ni brainwash wanayoifanya hao wanaotoa matokeo kushirikiana na chama Tawala ni swala la muda tu kitawatokea puani ,halafu police kwa kujifanya mnakomoa mnawashika watu Wa upinzani wanaojumlisha matokeo yao ,hivi chini ya Kachero Apson mnafikiri hili hakulijua ???
Mmekamata watu Wa dar bila kujua kwamba kwa Technology hii kunaweza kukawa na base Marekani au Israel inayokusanya matokeo haya kwa niaba ya ukawa .....anyway nisiongee Sana
 
Majimbo ni zaidi ya mia tatu matokeo mpaka sasa ni majimbo 13 tuu hakuna stronghold hata moja ya Lowassa iliyokwisha guswa mpaka sasa

stronghold za mjini kama arusha,moshi,mbeya,amefanya vizuri sana tu,,,ili ukitoka nje ya mji performance inadecrease kadri unavyouacha mji..

niliwambia waende kijijini,,wakadai kuna mbu sana,,hamna hoteli zenye hadhi etc
 
Wewe Kichaa kilimanjaro ina majimbo mangapi ??? Limetajwa moja tu mshaanza kuchanganyikiwa kesho jioni saa 6 ndio tukutane hapa

Idadi ya wapiga kura Kilimanjaro ni laki 9 tu msitegemee maajabu huko. Njombe ruvuma katavi tumewagaragaza majimbo yote
 
stronghold za mjini kama arusha,moshi,mbeya,amefanya vizuri sana tu,,,ili ukitoka nje ya mji performance inadecrease kadri unavyouacha mji..

niliwambia waende kijijini,,wakadai kuna mbu sana,,hamna hoteli zenye hadhi etc

Ukichukua overall performance ya mkoa kwa Mbeya CCM itaibuka kidedea
 
Idadi ya wapiga kura Kilimanjaro ni laki 9 tu msitegemee maajabu huko. Njombe ruvuma katavi tumewagaragaza majimbo yote

Unajua Kati ya hayo majimbo 9 ukawa kwa matokeo ya awali wameshinda mangapi ??? Endelea kujifariji naona mnakaribia kumaliza kutangaza ngome za Magufuli ..baada ya hapo ni kilio niamini
 
Matokeo ya nchi nzima watu wanayajua, sasa kama tume haijatangaza wapi mnapotegemea Hata lowassa apate kura za kushinda? Jifanyeni hamuelewi mtaelewa tu
 
Hiyo ni brainwash wanayoifanya hao wanaotoa matokeo kushirikiana na chama Tawala ni swala la muda tu kitawatokea puani ,halafu police kwa kujifanya mnakomoa mnawashika watu Wa upinzani wanaojumlisha matokeo yao ,hivi chini ya Kachero Apson mnafikiri hili hakulijua ???
Mmekamata watu Wa dar bila kujua kwamba kwa Technology hii kunaweza kukawa na base Marekani au Israel inayokusanya matokeo haya kwa niaba ya ukawa .....anyway nisiongee Sana

Hahaa..Marekani na Israel?. Sawa mkuu ngoja tukuache usiongee sana
 
Hiyo ni brainwash wanayoifanya hao wanaotoa matokeo kushirikiana na chama Tawala ni swala la muda tu kitawatokea puani ,halafu police kwa kujifanya mnakomoa mnawashika watu Wa upinzani wanaojumlisha matokeo yao ,hivi chini ya Kachero Apson mnafikiri hili hakulijua ???
Mmekamata watu Wa dar bila kujua kwamba kwa Technology hii kunaweza kukawa na base Marekani au Israel inayokusanya matokeo haya kwa niaba ya ukawa .....anyway nisiongee Sana

Nimeshangaa Kweli.Katika hali ya kawaida database huwa replicated na copy kuhifadhiwa kwenye server tofauti.
 
Back
Top Bottom