Uhakika wa Lowassa kushinda sasa ni mdogo

Uhakika wa Lowassa kushinda sasa ni mdogo

watanzania wana hamu kuona na kusikia mgombea wa urais kupitia mwamvuli wa ukawa ndugu Edward lowasa ameshinda uchaguzi lakini matumaini yao yanazidi kuyeyuka baada ya kusikiliza vyombo vya habari....[itaendelea]
Mbona unakata tamaa
 
Lowassa lazime ashinde uchaguzi huu.

hakuna namna nyingine. Matokeo tofauti hayataeleweka.
 
Kilimanjaro, Pemba, Arumeru, Tanga tayari. Sasa sijui mnasubiri wapi zaidi
 
Wanatangaza mkoa inaweza kuwa jimbo moja the watarudia majimbo mengine katika mkoa huo
 
Mpaka sasa Magufuli hawezi kupita kwa kura za Tanzania visiwani pekee anatakiwa awe na asilimia ngapi ya kura ?????
Labda muibe za unguja vinginevyo Tanzania visiwani lowassa ameshapigilia msumari
 
Back
Top Bottom