Uhakika wa Lowassa kushinda sasa ni mdogo

Uhakika wa Lowassa kushinda sasa ni mdogo

Wamegusa Moshi Mjini tu...ambapo kampiga Magufuli gap la kura elfu 20!

Hilo gap Dogo sana sikutegemea Kama magufuli angefika kura elf 2 kwa moshi mjin. Hata hivyo tumelizima hilo gap maana peramiho magufuli kamtwanga lowasa kwa gap Kama hilo
 
Mzee wa nyeti za kuku teh teh teh , kafulila , wenje , Vincent nyerere , hawa ghasia , Omar nundu , Moses machali , ole sendeka , wamepumzishwa.
 
Magufuli mwanzo mwisho.

Tunakata, tunafunua, kudadeki.

Tunapiga chini Lowasa
 
watanzania wana hamu kuona na kusikia mgombea wa urais kupitia mwamvuli wa ukawa ndugu edward lowasa ameshinda uchaguzi lakini matumaini yao yanazidi kuyeyuka baada ya kusikiliza vyombo vya habari....[itaendelea]

mtaelewa baadae lowasa ni raisi awamu ya 5
 
mtaelewa baadae lowasa ni raisi awamu ya 5

Duh! Kuna watu wana moyo Dunia hii! Hata hivyo mmetoka mblai na misemo tangu hakatwi mtu CCM mpaka leo hii Magufuli anaongoza kwa mbali sana lkn bado mnaamini kwamba Lowasa ndiye Raisi!
Hii Dunia inahitaji watu kama ninyi, msiokata tamaa!


 
Watanzania hatuna akili.unamshangilia MTU anapita kwa wizi cyo kwa kupendwa na wananchi.humu kwenye jf asilimia kubwa ni upinzani.je hizo kura za USHINDI znatoka wapi.miaka mitano tena ya uchaguzi cpigi kura tena..
 
Dah hivi tuliokuwa tunazimia kudeki barabara tumesalitiana!!!
 
mtaelewa baadae lowasa ni raisi awamu ya 5

nina uhakika Lowasa ndo alkua mshindi wa uchaguzi huu, lakn he has been handcapped

kwasasa akubali yaishe, ts too late kugeuza mambo!!!!

sina hamu ya kupiga kura tena, sitakuja kupiga kura ktk maisha yangu ABADANI

wacha tu wamtangaze magufuli wao leo
 
Daaah kwa hali hii kusema kweli lazima tukubali kulingana na matokeo yanayosomwa na NEC mtoa mada yupo sahihi japo tunapinga ukweli kujipa imani
 
Back
Top Bottom