Watanzania hatuna akili.unamshangilia MTU anapita kwa wizi cyo kwa kupendwa na wananchi.humu kwenye jf asilimia kubwa ni upinzani.je hizo kura za USHINDI znatoka wapi.miaka mitano tena ya uchaguzi cpigi kura tena..
Acha kupiga kura..sababu ni uamuzi wako..ulisikia jf ndo daftari la wapiga kura?he he he....mabadilikooooooo....Lowasaaaaa...mamaeeee..huku mnazungusha mikono mbele..mnarudisha nyuma..hamkujua kuwa hayo sio mabadiliko sababu mnabaki hapo hapo???? lowasaaaaaa my fooot
Narudia tena ACHA UMALAYA WA KICENGE
Mbwakoko wewe Acha umalaya wa kicenge
Hata mimi nilifikiri hivyo kwani Mshana Jr ninayemjua ana busara sana na huelimisha watu kifalsafa. Lakini najua pia ni "mwanamabadiliko". Pengine maumivu ya kukatwa ni makali mno. Tuvumiliane!Matusi yanadhihirisha kushindwa Hoja umekuwa ukiheshimika sana,endelea kujiheshimu au account yako imeingiliwa?
Matusi yanadhihirisha kushindwa Hoja umekuwa ukiheshimika sana,endelea kujiheshimu au account yako imeingiliwa?
Hata mimi nilifikiri hivyo kwani Mshana Jr ninayemjua ana busara sana na huelimisha watu kifalsafa. Lakini najua pia ni "mwanamabadiliko". Pengine maumivu ya kukatwa ni makali mno. Tuvumiliane!