Ugwadu! Kiboko ya mchawi

Kumbe Ndimu n noma
 
Jamaa Mshana Jr.ameanza porojo za kufurahisha genge la Jamiiforum.Sijui aliwaonea wapi hao wachawi wakikimbia ndimu.Duu!! hizi porojo zingine zimevuka mpaka.
 
Jamaa Mshana Jr.ameanza porojo za kufurahisha genge la Jamiiforum.Sijui aliwaonea wapi hao wachawi wakikimbia ndimu.Duu!! hizi porojo zingine zimevuka mpaka.
Nimeona unanichokonoa kwenye post zangu! Unaona hizi ni porojo achana nazo nimekuwa nikikupuuza lakini pengine ulikuwa hujui! Nimekujibu leo ili ujue
Hiki unachoitwa genge la Jamiiforum ni upuuzi na dhihaka ya aina yake kwakuwa hukuwakejeli members tu bali hata moderators walio ruhusa hii post iwe hapa
Ufinyu wako wa mawazo usifanye ndio wa kila mtu, kitu ukikiona ni porojo kipotezee, nenda kwa ambavyo sio porojo, ukikijibu jua kimekuvutia bali unajaribu kuonyeshwa upumbavu wako kwa kuandika upuuzi
Hizi mada sikuanza kuandika jana ama juzi nimeshakutana na watu wa kaliba yako kwenye mada zangu, niliwapuuza kwakuwa nilikuwa najua hawajui kama wewe usivyojua..kwahiyo naomba ujue fika kuwa nimekuwa nakupuuza na nitaendelea kufanya hivyo
 
Kama anaweza kuingia ndani ukiwa umefunga milango na madirisha. Atashindwaje kuiona ndimu chini ya mto?
Sio kila kitu ana uwezo wa kukiona, kuingia ndani ya nyumba kupitia njia za giza ni tofauti na kuona kitu kilicho chini ya mto ...hizo ni formula mbili tofauti
 
Kaka kama nimiikata giyo ndimu na kuiweka chini ya mto huo mto c utalowana kwa yale maji maji ya ndimu?
 
Sio kila kitu ana uwezo wa kukiona, kuingia ndani ya nyumba kupitia njia za giza ni tofauti na kuona kitu kilicho chini ya mto ...hizo ni formula mbili tofauti
It's all the same brother!!!
 
Ok may be you know better than me...! So tell me about it
Ninavyo fikiri ni kuwa, kama anaweza kuingia ndani bila kizuizi basi na kuona kilicho chini ya kichwa cha mlengwa anaweza ona. Au labda kama hiyo ndimu ndio inatumika kama kinga ya kuto kuonekana!
Niko tayari kueleweshwa zaidi.
 
ndimu imeshamreplace Mungu, ile ya kulala na mfupa wa nguruwe imeshaexpire??... aisee!!

ila ni vizuri pia kujua ni jinsi gani ya kupigina vita ya kiroho (visivyoonekana) kwa kutumia physical things (vinavyoonekana)
 
Mchawi anapoingia ndani ya nyumba hupitia kwenye pembe tena kinyume nyume, akishafika ndani husoma mazingira na kuchagua cha kufanya
Ndimu chini ya mto huwa kinga ya kumzuia asikuwangie na kuishia kuzunguka zunguka tu ndani ya chumba na kisha kutokomea
 
ndimu imeshamreplace Mungu, ile ya kulala na mfupa wa nguruwe imeshaexpire??... aisee!!

ila ni vizuri pia kujua ni jinsi gani ya kupigina vita ya kiroho (visivyoonekana) kwa kutumia physical things (vinavyoonekana)
Sidhani kama silaha ni kisu panga na bunduki tuu
 
Nimekuelewa. Ahsante...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…