Ugwadu! Kiboko ya mchawi

mashana hivi ni kweli ukijaza maji kwenye kifaa chochote au kwenye kikombe ukaweka mlangoni machawi akija anaona bahari, kingine ni kile kifaa kinachotumika kutwangia(mwichi kama sijakosea) kweli ukiweka mlangoni mchawi hawezi kuruka.
 
Reactions: MC7

Haya nami nimeshawahi kuyasikia lakini yanaambatana na manuizi
 
Sasa hapo wakienda kujipanga tena si watakuja na juju kali ya kudhibiti ndimu, unanishauli nilale na nini sasa baada ya ndimu?
 
Sawa nzuri ni ile ya kumgandisha mchawi alafu unamtoa nguvu hapo hatoki hadi uamue wewe sasa kakinasa kabinti kazuri zuri hapo KWENYE unajigegedea mwezi mzima ndo unakaruhusu kutoka
 
Usimsikilize huyo dogo. We tafuna kipande cha mnyama wa kikatoliki.... walah wanaizaya hawatakusogelea....
Hahahah kabisa Babu, gheto kwangu naenda kufunga mfupa wa kitimoto mlangoni
 
Sasa hapo wakienda kujipanga tena si watakuja na juju kali ya kudhibiti ndimu, unanishauli nilale na nini sasa baada ya ndimu?
Hawana huo ubavu kivile lakini kuna ndulele mfupa wa noa na kubwa kuliko yote BIBLE kwa wale waamini na waaminio lakini
 
Niliwahi kuibiwa pesa kwa njia za kutatanisha ofisin watu wakaniambia niweke ndimu iliyochomwa sindano kwenye droo ninayoweka hela Hawataiba kwachuma ulete ambayo ndio ushirikina huo kwahili naweza kuamini
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…