Aisee, kuna nyumba ya bi mkubwa wangu alizinguana na mpangaji akamtimua loo akasema utafugia vumbi tu tangu januari mpaka leo watu wanakuja kuangali hawarudi, haaahaa nacheka kweli kila akiniambia "leo tena mwingine kaja lakini hajarudi". ila nimemwambia asiamini sana ulozi ni mambo ya mwendo kasi tu watu wana hali mbaya., teh!Haivunji ila inafreeze kama kuna usumbufu ulikuwa unapata unakoma ila Inategemea ni uchawi wenye nguvu kiasi gani
Kumbuka mchawi/mwanga kwanza ni kiumbe muoga sana na ndio maana mambo yake hufanya kwa kificho na hizo ishu za ndimu ni huu uchawi/ulozi daraja la kawaidaMshana kuna mambo mengine uwa unaongea nashindwa jua utafiti unaufanya vipi....yaani mchawi anauwezo wa kuingia ndani huku kila upenyo umeufunga....aje hashindwe kuiona ndumu/ugwadu uliouweka chini ya mto?
Njoo pmAisee, kuna nyumba ya bi mkubwa wangu alizinguana na mpangaji akamtimua loo akasema utafugia vumbi tu tangu januari mpaka leo watu wanakuja kuangali hawarudi, haaahaa nacheka kweli kila akiniambia "leo tena mwingine kaja lakini hajarudi". ila nimemwambia asiamini sana ulozi ni mambo ya mwendo kasi tu watu wana hali mbaya., teh!
Naja fasta mkuu.Njoo pm
kilugha chetu tafadhaliRectifier kwa negative forces
nieleweshe kwa mapana bado nikonnjia panda[emoji3] [emoji3] [emoji3]kichocheo cha nguvu hasi
Kumbuka mchawi/mwanga kwanza ni kiumbe muoga sana na ndio maana mambo yake hufanya kwa kificho na hizo ishu za ndimu ni huu uchawi/ulozi daraja la kawaida
Kama akiwa mahiri kweli hahitaji kukufuata mpaka ndani bali kivuli chako tu kinatosha
Hivyo kuiweka ndimu chini ya mto itabidi akusogeze kwanza ndio aitoe
Vilevile ukuta hauna roho hivyo ni rahisi kuingia lakini kukufikia ili akusogeze ni kazi na ukizingatia kuwa tayari kuna nguvu ya ndimu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akiona atakula?
Mungu hana mbadala yeye peke yake anatosha....Tiba mbadala
Huo ndio ukweli Mkuu.Jamani kwa nini mnapenda porojo za ajabu ajabu.