Ooohoo! Shindwa pepo!
Hiki ni kipindi cha majaribu makali sana kwenye ndoa yetu! Unatakiwa kuzidisha maombi maana kupambana na haya maroho inahitaji maombi mpz! God is on our side na hakika tutashinda! In the name of,......![/QUOTE]
who?? sweetlady?
why dont you understand? Angalia usijeingia majaribuni!
mume wangu naona sasa kuna tatizo... utamfukuza hata Roho Mtakatifu kwa style hii
sweetlady..... I wish ningekuwa karibu nkupikie ndizi mchemsho zileee uzipendazo ukiugua!!!!!![]()
sweetlady nipo naye nampikia uji...... siyo mambo mengine............. narudia siyo mambo mengine ni kwa ajili ya kumhudumia kumpikia uji kiroho hapa ndo kafika kabisa. nadhani my Lily Flower atakuwa kanielewa

I wish safari ya Tanga ingekuwa ni kesho.....tarehe 28 ni mbali sana na hizi stress... Babu Dark City naomba ushauri.. utu uzima dawa.....
mkuu sasa nani atamhudumia? mi sina maana mbaya ni usamaria tu mkuu.
sweetlady knows nipo na my waifu Lily Flower.......... ila ukileta za kuleta namkwarua afu Lily Flower hatajua ebo!