Ugua pole Sweetlady

Ugua pole Sweetlady

Pole sana sweetlady! Mungu akupe nguvu, upone haraka!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
sweetlady pole mpenzi! Mwenyewe hapa najisikia homa inaninyemelea...sijakwambia. Nway Get Well Soon sweetheart! CHA MWISHO why umezima lifone lako?

lifoni la sweetlady niko nayo, halipatikani hewani kwa sabu nimeweka laini yangu
 
Last edited by a moderator:
Duh! Jukwaa hili lina wenyewe!

Na kwa kuwa ni Ndg zangu,marafiki zangu,na hata ni jamaa zangu na ndiyo maana unanikuta siachi kupita huku!
sweetlady; pole sana mpendwa wetu! Malaria ni gonjwa hatari sana kwa mwandamu! Kuwa makini mara dufu na dawa unayotumia na hata hivyo ukila kwa IMANI ya kutosha ya ushindi dhidi ya magonjwa!


Ugua pole sweetlady
 
Last edited by a moderator:
Pole sana sweetlady ndo maana kumbe sikupati lol
 
Last edited by a moderator:
Afu muwe mnapita thread zingine shem, sa siunaona unataka kujipatia mastress!

Shem Mungi nimekupa ruhusa kesho urushe uzi kwamba naumwa .. Wakiuliza sana, wajibu ulcers
 
Last edited by a moderator:
Mashaka ninayo mume wangu... Kila siku wewe tu...why?Ni nini kimebadilika katika ndoa yetu?

Hiki ni kipindi cha majaribu makali sana kwenye ndoa yetu! Unatakiwa kuzidisha maombi maana kupambana na haya maroho inahitaji maombi mpz! God is on our side na hakika tutashinda! In the name of,......!
 
Shindwa................. mi nipo na my Lily Flower tumetulia mda huu tupo na Gillette mambo ni pole poleeeeee hatuna haraka. nitonye analalamika kuwa mkewe sweetlady halali nyumbani, anasema mara ya mwisho alimwona sijui alilala kwa Filipo sijaelewa vizuri.
Sihusiki mkuu

shindwa shetani!!!
 
Last edited by a moderator:
Hiki ni kipindi cha majaribu makali sana kwenye ndoa yetu! Unatakiwa kuzidisha maombi maana kupambana na haya maroho inahitaji maombi mpz! God is on our side na hakika tutashinda! In the name of,......![/QUOTE]

who?? sweetlady?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom