Amefika
PakaJimmy nashukuru! Ubarikiwe sana mpendwa! Wana chit chat nashukuru sana kwa upendo wenu wa dhati, natamani ningeweza kumshukuru kila mmoja kwa nafasi yake ila kiukweli afya bado hainiruhusu, bado napepesuka kama
Filipo kalewa viroba... Ongezeni maombi wapendwa Mungu akipenda ntarejea tena kwa kasi , nguvu na ari mpya ila sio kama JK! Mbarikiwe sana sana!(mwaaaaaa to you all except
Filipo)
Naomba nitoe shukrani za kipekee kwa kaka zangu
PakaJimmy na
LiverpoolFC yaani nyie sina cha kuwalipa zaidi ya kuwaombea Mungu awape maisha marefu! Mmejitahidi sana kupokezana kupika uji wa mgonjwa.... Nawapenda sana ndugu zangu nyie! (Special Mwaaaaaaa)...
Mwisho napenda kumwambia
Mungi aache majungu manake sio mtaji afu nasisitiza tena acha kujipendekeza manake nampenda my only and lovely husband
nitonye! Nakuchukia wewe!