Ugua pole Sweetlady

Ugua pole Sweetlady

Amefika PakaJimmy nashukuru! Ubarikiwe sana mpendwa! Wana chit chat nashukuru sana kwa upendo wenu wa dhati, natamani ningeweza kumshukuru kila mmoja kwa nafasi yake ila kiukweli afya bado hainiruhusu, bado napepesuka kama Filipo kalewa viroba... Ongezeni maombi wapendwa Mungu akipenda ntarejea tena kwa kasi , nguvu na ari mpya ila sio kama JK! Mbarikiwe sana sana!(mwaaaaaa to you all except Filipo)


Naomba nitoe shukrani za kipekee kwa kaka zangu PakaJimmy na LiverpoolFC yaani nyie sina cha kuwalipa zaidi ya kuwaombea Mungu awape maisha marefu! Mmejitahidi sana kupokezana kupika uji wa mgonjwa.... Nawapenda sana ndugu zangu nyie! (Special Mwaaaaaaa)...



Mwisho napenda kumwambia Mungi aache majungu manake sio mtaji afu nasisitiza tena acha kujipendekeza manake nampenda my only and lovely husband nitonye! Nakuchukia wewe!

viroba ni nini!? Naombeni wajuzi mnijuze maana mi bado mgeni!
 
Last edited by a moderator:
Ukimtaja marejesho mgonjwa homa inaongezeka so plz acha mara moja kwa faida ya mgonjwa!
Maadui wa ndoa yangu ni wengi lakini hakika tutashinda. My wife U marejesho ongeza maombi maana lile pepo limemwingia na [MENTION=33860]sweetladyMENTION]
 
Last edited by a moderator:
Hata marejesho alipumzika sana ulipokuwa mgonjwa. Bora homa ikupe ban hata ya mwezi ili tufurahie raha za dunia! Unatusumbua sana! Hivi hakuna sindano ya malaria sugu uchomwe!
Ukimtaja marejesho mgonjwa homa inaongezeka so plz acha mara moja kwa faida ya mgonjwa!
 
Last edited by a moderator:
Hata marejesho alipumzika sana ulipokuwa mgonjwa. Bora homa ikupe ban hata ya mwezi ili tufurahie raha za dunia! Unatusumbua sana! Hivi hakuna sindano ya malaria sugu uchomwe!

mkuu wangu Filipo inabidi uvumilie tu manake huyu mgonjwa wetu sweetlady anaonekana jeuri sana
 
Last edited by a moderator:
Hata marejesho alipumzika sana ulipokuwa mgonjwa. Bora homa ikupe ban hata ya mwezi ili tufurahie raha za dunia! Unatusumbua sana! Hivi hakuna sindano ya malaria sugu uchomwe!
Hahahahahaha! Ushindwe na ulegee lol. Mwambie sasa ndo nimerejea kwa nguvu mpya.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom